24th DECEMBER
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 401
- 167
Nlishaagiza tablet kwenye e-bey na nguo ya mtoto kwenye alibaba.com, vyote nilivichukulia posta na sikuulizwa masuala ya ushuru wala bargaining yoyote.
Ingawa kunastory kwamba posta ni wapigaji ila sidhan kama kunaukweli
Ndugu naku PM kwa taarifa zaidi..
hii ndio tabia isiyotakiwa, kila mtu angekuwa anasema nakuPM ingekuaje hapa?
Jamani kwa mlio wahi kununua simu ebay naomba mnifahamishe uki compare bei za ebay na maduka ya hapa kwetu wapi kuna unafuu
Ahsante sana mkuuhamna unafuu wowote bora nunua hapa bongo ili ikiharibika inakua rahisi ku solve shida
Tofauti ipo ila ukiweka hela ya kusafirisha utakuta ume save 50,000/= ambayo kwangu mm ni ndogo maana simu ikiharibika au ikipatwa tatizo itakugharimu hela nyingine kuirudish mwisho wa siku ni mule mule
Ilikuwa ni taarifa ya kisiri confidential
Kama ni taarifa ambayo ni ya msaada kwa wadau toa cc kwa wote basi ili watu wote wanufaike! Vinginevyo labda kama mnatongozana!
Unajua mkuu ilibidi nirudi kwenye ile post yako uliosema unam-PM jamaa kuona kama kuna uhalali wa icho unachodai kilikuwa ni siri sirini! Hamad, sikuona kitu kama hicho wala hakuna uhusiano wowote na huo usiri ndo maana nikasema pengine mlikuwa mnatafutana kwenye michepuko!!Hahaha hapana mkuu sio kwa tafsiri hiyo kabisa....
Jamani kwa mlio wahi kununua simu ebay naomba mnifahamishe uki compare bei za ebay na maduka ya hapa kwetu wapi kuna unafuu