Jihadhari sana kabla hujamkopesha mtu, Kuna wengine kila anayemkopesha anakufa au anapata ugonjwa mbaya sana

Mwanzisha thread kakosea anapofungamanisha mikopo na uchawi au imani potofu. Ninachojua mimi ni kuwa kukopa na kukopesha kunatakiwa kusifanywe na watu binafsi bali taasisi zenye kazi hii. Hasa ngozi nyeusi, siyo waaminifu. Wengi tumeshapoteza fedha kwa sababu tu waliokopa walitugeuka.
Na hapo kazungumzia mtu baona ya mtu na sio taasisi baina ya mtu
 
Mwanzisha thread kakosea anapofungamanisha mikopo na uchawi au imani potofu. Ninachojua mimi ni kuwa kukopa na kukopesha kunatakiwa kusifanywe na watu binafsi bali taasisi zenye kazi hii. Hasa ngozi nyeusi, siyo waaminifu. Wengi tumeshapoteza fedha kwa sababu tu waliokopa walitugeuka.
Sana mkuu lakini si unajua maisha yetu waswahili.. Kuna watu bila mikopo, michezo, vicoba na kaushal damu hawatoboi
 
Ndio maana nchi masikini zina Laana
Kazi ya kukopa kopa hiyo
Ila cha ajabu hii ni opposite yaani wanaotukopa wala wanadunda tu
Na kuwaroga hamuwezi ili wasahau
 
Back
Top Bottom