uyo ameuliza kwa chuki binafsi ndio nilikua na sema pamoja na changamoto tulizonazo Arusha bado kwenye nyanja zingine tupo bora sana mfano halmashauri ya Arusha jiji ndio inayoongoza kwa kuwa na makazi bora nchi nzima sasa uyo anayesema aliona nyumba ya udongo Arusha basi ujue huko alipotoka kuna utitiri wa hizo nyumba na ndio maana hapa watu wenye constructive arguments ni wachache mtoa mada kasema Arusha hamna vituo mtu anachangia eti Arusha aliona nyumba ya udongo seriously [emoji1787] ni kweli Arusha inachangamoto na kubwa ni taa za barabarani ambazo mwezi huu wa 12 wanaanza kufunga mpya manake sio kwamba zilikua hazipo zilikuwepo ila zilikua haziwaki na kuhusu stendi ya kilombero it's just a temporary thing japo kama halmashauri kuna uzembe stendi haiwezi kuachwa kuwa vile lakini hilo haliondoi uzuri wa mengi ambao Arusha inao na bado ndio halmashauri iliyoendelea zaidi nje ya dar. Naomba kuwasilisha
View attachment 2019268
View attachment 2019269