Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Mtu na akili zako unalinganisha arusha na mwanza???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli hamna kaz
Arusha ni mji wa tatu sio hivyo2 bali arusha imezidiwa mbali na mwanza,mbali sana
 
Majiji makubwa yote duniani,kutafuta pesa ni ngumu sana. Usipopambana utakufa njaa.
 
Majiji makubwa yote duniani,kutafuta pesa ni ngumu sana. Usipopambana utakufa njaa.
Alafu hii ni kweli the more city inapozidi kuwa modern ndio the more suffering and hard life inatamalaki unlike mwanza pekee ambapo maisha ni murua licha ya jiji kuzidi kuwa modern.
 
Arusha wako juu kwa kula bangi na mirung lakin si kwa ukubwa wa jiji
 
Nimekaa sana Capri point kwa watoto wa kishua
Kwa hiyo ukawa unapishana na watu wakielekea kunya ziwani...?! Au na wewe ulikuwa ukielekea ziwani...?!

Hebu assume mtu anakaa Bugarika au hata Mahina anabanwa inawezekanaje achukue usafiri hadi ziwani...?! Hata vile vyoo vya stand anapita...
 
Endelea kufunguka tuwajue vizuri wazee wa kula ugali
 
Hizi topic za wapi kuzuri zimezidi humu JF. Anayeleta hizo nyuzi atuambie katika huo uzuri anaousifia yeye anakaa wapi? Kule vilimani kwenye mawe kisha "Mwanza kuzuri" au kwenye zile nyumba za treni kisha "Arusha kuzuri". Uzuri wa Mwanza au Arusha au sehemu nyingine yeyote wakati umepigika na unakaa sehemu isiyopendeza havina maana.
 
Mi nilie huku paris niseme nn. Watu mko msitun mnatambishiana, mi naona wote mpo bush. Mwanza mjini ni mapori makubwa ya kutisha wakat arusha ni vichaka mwanzo mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…