Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

huisha thread tuone wapi pazuri. naona ligi hizi mnazipenda sana.
 
Wewe ndo limbukeni mkubwa huna evidence za kutosha kuhusu Mwanza Vs Arusha la sivyo na wewe ni wa arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka nikaanze maisha mapya moja kati ya sehemu hzo mbili.Uzuri niusemao mazingira,kuendelea kiuchumi,afya nk
Ukubwa wa mji au mkoa jJiji sio majengo na barabara sasa hivi ukubwa ni uchumi jiji la kwanza kwa Ukubwa wa kiuchumi ni Dar es Salaam la pili ni Jiji la Mwanza la tatu ni Mbeya inafuatia Jiji la Arusha hivyo ukubwa wa eneo na majengo si kitu kama uchumi upo chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaanzaje kulinganisha Geneva of Africa na Uchafu kama Mwanza..

Mwanza ipambane na Iringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…