Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Kwa nini hizi thread za kulinganisha Mwanza na Arusha wanaanzishaga watu wa Mwanza tu?
we umejuaje kuwa aliyeanzisha thread hii anayokea mwanza. people of Arusha wana inferiority ya ajabu kiasi kwamba hata sehemu zisizo na mkoa vs mkoa wao wanakurupuka kulinganisha.
 
Huyu inaonekana sio wa Mwanza wala Arusha, ila hii sio thread ya kwanza ya kulinganisha hiyo mikoa miwili, na wanaoanzisha wanakua side ya Mwanza, ukitaka ushahidi search thread za aina hii, ukishindwa nitakusaidia
 
mwanza ni next to dar huwezi linganisha na arusha. kwa upana wa mji hata jiji la Tanga linaizidi Arusha. mbeya ndo kabisa.
 
Huyu inaonekana sio wa Mwanza wala Arusha, ila hii sio thread ya kwanza ya kulinganisha hiyo mikoa miwili, na wanaoanzisha wanakua side ya Mwanza, ukitaka ushahidi search thread za aina hii, ukishindwa nitakusaidia
I hate threads of this type kwasababu zinatuclassify kikanda na tusivyowasitaarabu tunatukanana bila sababu zozote.
 
we umejuaje kuwa aliyeanzisha thread hii anayokea mwanza. people of Arusha wana inferiority ya ajabu kiasi kwamba hata sehemu zisizo na mkoa vs mkoa wao wanakurupuka kulinganisha.
Thread zote hapa JF kuhusu Arusha na Mwanza zinaanzishwa na watu wa Mwanza...
 
kuna thread ilianzishwa inasema.
Mwanza inarudi nyuma Arusha inazidi kupaa unahisi aliyeanzisha katokea mwanza.
 
Yes! Yule jamaa alitokea Mwanza..maana kadiri tulivyokuwa tunawachapa Mwanza uzalendo ukamshinda akaanza kurusha mawe kwa Wachangiaji wa Arusha..

Na yule jamaa ni mtu wa Mwanza pure
 
Kiukweli mwanza ni kubwa kuliko Arusha interms of area and population hata gharama ya maisha ni ndogo ukilinganisha na Arusha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…