Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Kwanini unauliza swali hilo la kimasihara namna hiyo?
we kua na heshima na maswali yako
jitathimin ujiulize y chuga mlinyanganywa hadhi ya jj had mlipopewa tena na jk 2012?
arusha hotel zenu za mchin zisiwapagawishe mkajiona ni bora sana
in reality arusha cty ni sawa tu na nyamagana
 
Unasoma darasa ngapi!?
 
Ntaanza na arusha,
*population ndogo naiko cetralized haija tanuka na bado mji umejifinya

*utalii ndo moyo wa arusha:
*climatic condition nzuri
*sehemu za starehe nyingi
*maisha yako juu sababu ya utalii
*barabara nzuri na kiwango sana
*biashara ni zile zinazo husika na utalii tu, nje ya hapo hamna kitu
*uchangamfu wa mji uko vizuri
*majengo marefu yapo ya wastani
*usafi na mpangilio wa mji kawaida
*huduma za afya wastani nadhani arusha rufaa ni KCMC iko kilimanjaro
* bado kuna tu hice katikati ya mji na noa kama vyombo vya usafiri

Mwanza
*population kubwa na mji ni umetanuka sana hakuna utengano wa ilemela, nyamagana, misungwi na magu(kisesa) unaeza jua ni mji mmoja

* kila biashara mpaka utalii unafanyika mwanza
*climatic condition ya wastani
*sehemu za starehe ni nyingi sana
*maisha very cheap, yoyote anaishi mwanza
*bara bara nzuri kiwango kawaida
*uchangamfu wa mji wakiwango cha juu
* majengo marefu yapo mengi
*usafi na mpangilio wa mji uko vizuri kulingana na ukubwa wa mji

*huduma za afya rufaa ni BUGANDO, kuna zngine zenye hadhi kama uhuru hospital, mwananchi, kwasabato pale pasiansi.

*urefu wa root za costa, mwanza ina ruti ndefu zaid kuliko arusha na hakuna noha ingawa hice bado zipo zipo

FACTS

*Kwa root za ndani za ndege mwanza - Dar dar -mwanza ndio root inayo ongoza kwa root za ndani za ndege na mapato pia!

*mwanza ndio air port yenye run way kubwa kuliko zote Tanzania

*mwanza ndio mji unao weza kufika nchi zote za afrika ya mashariki kuliko mkoa wowote tanzania

*mwanza ndio jiji pekee linalo jengwa kwa mapato ya wanajiji lake tofauti na dar, dodoma na hiyo arusha

*mwanza ndio jiji lenye shoping mall kubwa tanzania

*mwanza air port kwa sasa baada ya DSM na KIA ndio airport ndege inaweza nyanyuka moja kwa moja mpka taifa lolote lile duniani!!

*mwanza ndio mji wenye meli nyingi baada ya DSM

NB: arusha ni jiji lakini hata rank za kiserikali,
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Mjipange wenyewe huko!!
 
Yani ww sio fala ni fuala kabsa, arusha kuna mbuga na ipo arusha penbeni ya mji kidogo lami kwanzia town mpaka getini na ni Arusha national park au Momela kutokana na maziwa makubwa mawili yaitwayo ziwa momela au lake momela
Sasa Arusha aliyekwambia Jiji la Arusha lina mbuga ya wanyama nani? mbuga za wanyama Ngorongoro, hapa tunachoongelea ni Jiji kama jiji
 
Ntaanza na arusha,
*population ndogo naiko cetralized haija tanuka na bado mji umejifinya

*utalii ndo moyo wa arusha:
*climatic condition nzuri
*sehemu za starehe nyingi
*maisha yako juu sababu ya utalii
*barabara nzuri na kiwango sana
*biashara ni zile zinazo husika na utalii tu, nje ya hapo hamna kitu
*uchangamfu wa mji uko vizuri
*majengo marefu yapo ya wastani
*usafi na mpangilio wa mji kawaida
*huduma za afya wastani nadhani arusha rufaa ni KCMC iko kilimanjaro
* bado kuna tu hice katikati ya mji na noa kama vyombo vya usafiri

Mwanza
*population kubwa na mji ni umetanuka sana hakuna utengano wa ilemela, nyamagana, misungwi na magu(kisesa) unaeza jua ni mji mmoja

* kila biashara mpaka utalii unafanyika mwanza
*climatic condition ya wastani
*sehemu za starehe ni nyingi sana
*maisha very cheap, yoyote anaishi mwanza
*bara bara nzuri kiwango kawaida
*uchangamfu wa mji wakiwango cha juu
* majengo marefu yapo mengi
*usafi na mpangilio wa mji uko vizuri kulingana na ukubwa wa mji

*huduma za afya rufaa ni BUGANDO, kuna zngine zenye hadhi kama uhuru hospital, mwananchi, kwasabato pale pasiansi.

*urefu wa root za costa, mwanza ina ruti ndefu zaid kuliko arusha na hakuna noha ingawa hice bado zipo zipo

FACTS

*Kwa root za ndani za ndege mwanza - Dar dar -mwanza ndio root inayo ongoza kwa root za ndani za ndege na mapato pia!

*mwanza ndio air port yenye run way kubwa kuliko zote Tanzania

*mwanza ndio mji unao weza kufika nchi zote za afrika ya mashariki kuliko mkoa wowote tanzania

*mwanza ndio jiji pekee linalo jengwa kwa mapato ya wanajiji lake tofauti na dar, dodoma na hiyo arusha

*mwanza ndio jiji lenye shoping mall kubwa tanzania

*mwanza air port kwa sasa baada ya DSM na KIA ndio airport ndege inaweza nyanyuka moja kwa moja mpka taifa lolote lile duniani!!

*mwanza ndio mji wenye meli nyingi baada ya DSM

NB: arusha ni jiji lakini hata rank za kiserikali,
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Mjipange wenyewe huko!!
Hapo Kwenye shopping mall umeteleza mkuu, huenda hujazunguka vizuri mji wa Dar, napia kwenye running way ikitoka JK na KIA inafata Songwe international Airport
 
Ni kweli Arusha city(17,978,653,000) imeoneka kuwa na pato kubwa kuliko Mwanza city(13,785,496,776) kwenye ripoti uliyoambatanisha, lakini Mwanza ina manispaa ya Ilemela pia(8,051,895,514) ambayo inajitegemea kimapato hata kwenye hiyo ripoti yako. Hivyo basi ukijumulisha pato la Mwanza Jiji na Ilemela manispaa utapata (21,837,392,290) where Arusha city itazidiwa. So Mwanza itaendelea kuwa bora zaidi ya Arusha hata kama ukiamua kutumia mapato kama kilinganishi cha miji hii shindani.
Ahsante kwa takwimu.
sawa sasa wewe ndugu huoni aibu hapo maana bln 21 vs bln 17 as far as population is concerned
 
Moja ya sifa ya jiji ni kwamba ni jiji lililojengwa na kuendelezwa na wana Mwanza wenyewe kwa upambanaji wao sio kama majiji ya Dar, Arusha na Dom yanayojengwa na serikali.
Mleta mada next time usiilinganishe Mwanza na hiyo mbuga ya wanyama
serikali imejenga jiji la arusha wapi? weka maelezo
 
Binafsi Kama mkazi temporale wa Arusha, Arusha bila utalii ni hovyo sana , mwanza ni mji mkubwa sana haswa kwa coverage na population na wanashughuri nyingi sana za kuwaingizia kipato tofauti na chuga, chuga ni utalii sana, wenye kampuni za utalii na watu wa madini ndo wenye ela the rest kiana tu,

Kingine Arusha maisha ni tough sana kwa mwanainchi wa kipato cha chini kisa hawa watalii wanakuja ku spend san huku na kuifanya hela kuwa nyepesi kupatikana kumbe hawajui maisha kwa watu wa kawaida yanapanda
acha uchuro mkuu,kila mji una aina ya shughuli kuu.Pale mwanza bila uvuvi hakuna maisha..pili kwani ukitoa dar na pwani viwanda vingi vinapatikana wapi zaidi ya arusha? kwamba huko arusha kila myu yuko sekta ya utalii au..muwe mnafikiria kabla ya kuandika
 
w
Ntaanza na arusha,
*population ndogo naiko cetralized haija tanuka na bado mji umejifinya

*utalii ndo moyo wa arusha:
*climatic condition nzuri
*sehemu za starehe nyingi
*maisha yako juu sababu ya utalii
*barabara nzuri na kiwango sana
*biashara ni zile zinazo husika na utalii tu, nje ya hapo hamna kitu
*uchangamfu wa mji uko vizuri
*majengo marefu yapo ya wastani
*usafi na mpangilio wa mji kawaida
*huduma za afya wastani nadhani arusha rufaa ni KCMC iko kilimanjaro
* bado kuna tu hice katikati ya mji na noa kama vyombo vya usafiri

Mwanza
*population kubwa na mji ni umetanuka sana hakuna utengano wa ilemela, nyamagana, misungwi na magu(kisesa) unaeza jua ni mji mmoja

* kila biashara mpaka utalii unafanyika mwanza
*climatic condition ya wastani
*sehemu za starehe ni nyingi sana
*maisha very cheap, yoyote anaishi mwanza
*bara bara nzuri kiwango kawaida
*uchangamfu wa mji wakiwango cha juu
* majengo marefu yapo mengi
*usafi na mpangilio wa mji uko vizuri kulingana na ukubwa wa mji

*huduma za afya rufaa ni BUGANDO, kuna zngine zenye hadhi kama uhuru hospital, mwananchi, kwasabato pale pasiansi.

*urefu wa root za costa, mwanza ina ruti ndefu zaid kuliko arusha na hakuna noha ingawa hice bado zipo zipo

FACTS

*Kwa root za ndani za ndege mwanza - Dar dar -mwanza ndio root inayo ongoza kwa root za ndani za ndege na mapato pia!

*mwanza ndio air port yenye run way kubwa kuliko zote Tanzania

*mwanza ndio mji unao weza kufika nchi zote za afrika ya mashariki kuliko mkoa wowote tanzania

*mwanza ndio jiji pekee linalo jengwa kwa mapato ya wanajiji lake tofauti na dar, dodoma na hiyo arusha

*mwanza ndio jiji lenye shoping mall kubwa tanzania

*mwanza air port kwa sasa baada ya DSM na KIA ndio airport ndege inaweza nyanyuka moja kwa moja mpka taifa lolote lile duniani!!

*mwanza ndio mji wenye meli nyingi baada ya DSM

NB: arusha ni jiji lakini hata rank za kiserikali,
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Mjipange wenyewe huko!!
we jamaa kajipange,huko mwanza mumelundikana lakini hakuna pesa..Tofauti na Dar na Dodoma ,Arusha ndio jiji ukienda baada ya mwaka unakuta mji umebadilika maana majengo yanasimama kila siku
 
Kwamba mwanza hapajengwi.

Mwanza imepanuka kiasi kwamba wilaya za magu zimeanza kuvamiwa( kisesa) na wilaya ya misungwi ( usagara na nyashishi).

Mjini Kati kuna majengo kibao yanajengwa bila kusahau huko busweru Hadi isela watu wanajenga sana
 
acha kukurupuka kama hii sio futuhi,tulia usome kwa makini nilichoandika..nimesema kasi ya ujenzi hasa majengo ya ghorofa ni kubwa kwa Dar,Dom na Arusha kiasi kwamba ukienda baada ya mwaka unakuta mabadiliko ,miji mingine inajikongoja ukiwemo mwanza..kwa mwanza labda vijumba vya kawaida
 
Wewe unamjua ChoiceVariable wewe? Itakuwa ndo unakutana nae mara ya kwanza sekta hizi.Watu washanyanyua mikono hapo.Saa mbili hii wahi kazini.
 
acha kukurupuka kama hii sio futuhi,tulia usome kwa makini nilichoandika..nimesema kasi ya ujenzi hasa majengo ya ghorofa ni kubwa kwa Dar,Dom na Arusha kiasi kwamba ukienda baada ya mwaka unakuta mabadiliko ,miji mingine inajikongoja ukiwemo mwanza..kwa mwanza labda vijumba vya kawaida
Eti mwanza inajikongoja!!!

Mwanza hii inayojenga stendi mbili Kwa wakati mmoja nyegezi,na nyamhongolo.

Mwanza hii inayojenga soko kuu pale mjini Kati.

Mwanza hii kunapojengwa jengo kubwa la wasafiri wa ndege.

Mwanza hii kunapojengwa meli mpya kubwa na nyingine mbili zimekarabatwa na bandari ya kusini imejengewa chelezo la kujengea meli.

Mwanza hii ambayo barabara za busweru national, busweru ilemela, zipo zinajengwa.

Mwanza hii ambayo hiace zinaanza kufifia mjini na macosta tena Yale marefu yanaongezeka Kwa Kasi.

Nk nk.
 
Acha utoto!
 
Mnatapa tapa sana nyie..utasikia mwanza inajijenga yenyewe sio serikali sasa hiyo miradi sio ya serikali? Kwanza hoja yangu ilikuwa kiujumla jumla kati ya sekta binafsi na serikali na hasa kwenye majengo ya sekta binafsi Arusha imechangamka na iko speed kuliko Mwanza..tukianza ku mention miradi hapa mtakimbia ndio maana kuna mdau kasema acheni utoto
Mradi tu wa PAP na Safari City ungejengwa mwanza wasingepata mpangaji hata mmja maana huko watu karibu wote ni maskini..Kuna sehemu ambako barabara sijui stend hazijengwi? Hivi mwanza mna hata barabara nzuri ya dual carriage kama ya Arusha? Mwanza bado saaana kwa Arusha
 
Hapo Kwenye shopping mall umeteleza mkuu, huenda hujazunguka vizuri mji wa Dar, napia kwenye running way ikitoka JK na KIA inafata Songwe international Airport
Haya bishana na hizi shida mnabisha bisha tu hamjui hata mnabisha nini
IMG_20200623_004035.jpeg
IMG_20200623_104911.jpeg
 
Ntaanza na arusha,
*population ndogo naiko cetralized haija tanuka na bado mji umejifinya

*utalii ndo moyo wa arusha:
*climatic condition nzuri
*sehemu za starehe nyingi
*maisha yako juu sababu ya utalii
*barabara nzuri na kiwango sana
*biashara ni zile zinazo husika na utalii tu, nje ya hapo hamna kitu
*uchangamfu wa mji uko vizuri
*majengo marefu yapo ya wastani
*usafi na mpangilio wa mji kawaida
*huduma za afya wastani nadhani arusha rufaa ni KCMC iko kilimanjaro
* bado kuna tu hice katikati ya mji na noa kama vyombo vya usafiri

Mwanza
*population kubwa na mji ni umetanuka sana hakuna utengano wa ilemela, nyamagana, misungwi na magu(kisesa) unaeza jua ni mji mmoja

* kila biashara mpaka utalii unafanyika mwanza
*climatic condition ya wastani
*sehemu za starehe ni nyingi sana
*maisha very cheap, yoyote anaishi mwanza
*bara bara nzuri kiwango kawaida
*uchangamfu wa mji wakiwango cha juu
* majengo marefu yapo mengi
*usafi na mpangilio wa mji uko vizuri kulingana na ukubwa wa mji

*huduma za afya rufaa ni BUGANDO, kuna zngine zenye hadhi kama uhuru hospital, mwananchi, kwasabato pale pasiansi.

*urefu wa root za costa, mwanza ina ruti ndefu zaid kuliko arusha na hakuna noha ingawa hice bado zipo zipo

FACTS

*Kwa root za ndani za ndege mwanza - Dar dar -mwanza ndio root inayo ongoza kwa root za ndani za ndege na mapato pia!

*mwanza ndio air port yenye run way kubwa kuliko zote Tanzania

*mwanza ndio mji unao weza kufika nchi zote za afrika ya mashariki kuliko mkoa wowote tanzania

*mwanza ndio jiji pekee linalo jengwa kwa mapato ya wanajiji lake tofauti na dar, dodoma na hiyo arusha

*mwanza ndio jiji lenye shoping mall kubwa tanzania

*mwanza air port kwa sasa baada ya DSM na KIA ndio airport ndege inaweza nyanyuka moja kwa moja mpka taifa lolote lile duniani!!

*mwanza ndio mji wenye meli nyingi baada ya DSM

NB: arusha ni jiji lakini hata rank za kiserikali,
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Mjipange wenyewe huko!!
Ntaanza na arusha,
*population ndogo naiko cetralized haija tanuka na bado mji umejifinya

*utalii ndo moyo wa arusha:
*climatic condition nzuri
*sehemu za starehe nyingi
*maisha yako juu sababu ya utalii
*barabara nzuri na kiwango sana
*biashara ni zile zinazo husika na utalii tu, nje ya hapo hamna kitu
*uchangamfu wa mji uko vizuri
*majengo marefu yapo ya wastani
*usafi na mpangilio wa mji kawaida
*huduma za afya wastani nadhani arusha rufaa ni KCMC iko kilimanjaro
* bado kuna tu hice katikati ya mji na noa kama vyombo vya usafiri

Mwanza
*population kubwa na mji ni umetanuka sana hakuna utengano wa ilemela, nyamagana, misungwi na magu(kisesa) unaeza jua ni mji mmoja

* kila biashara mpaka utalii unafanyika mwanza
*climatic condition ya wastani
*sehemu za starehe ni nyingi sana
*maisha very cheap, yoyote anaishi mwanza
*bara bara nzuri kiwango kawaida
*uchangamfu wa mji wakiwango cha juu
* majengo marefu yapo mengi
*usafi na mpangilio wa mji uko vizuri kulingana na ukubwa wa mji

*huduma za afya rufaa ni BUGANDO, kuna zngine zenye hadhi kama uhuru hospital, mwananchi, kwasabato pale pasiansi.

*urefu wa root za costa, mwanza ina ruti ndefu zaid kuliko arusha na hakuna noha ingawa hice bado zipo zipo

FACTS

*Kwa root za ndani za ndege mwanza - Dar dar -mwanza ndio root inayo ongoza kwa root za ndani za ndege na mapato pia!

*mwanza ndio air port yenye run way kubwa kuliko zote Tanzania

*mwanza ndio mji unao weza kufika nchi zote za afrika ya mashariki kuliko mkoa wowote tanzania

*mwanza ndio jiji pekee linalo jengwa kwa mapato ya wanajiji lake tofauti na dar, dodoma na hiyo arusha

*mwanza ndio jiji lenye shoping mall kubwa tanzania

*mwanza air port kwa sasa baada ya DSM na KIA ndio airport ndege inaweza nyanyuka moja kwa moja mpka taifa lolote lile duniani!!

*mwanza ndio mji wenye meli nyingi baada ya DSM

Credit: yoga
 
Back
Top Bottom