Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Usiwe mjinga kiasi hicho ina maana unapinga sasa hata Marekani kuwa namba moja kiuchumi duniani na pia Nigeria kwa Africa ama kweli wewe ni zuzu.

Kwa chanzo chako chochote niwekee hapa nchi tajiri kwa dunia na kwa Africa afu ujione ulivyo panga boi, eti wanaijeria wanaikimbia nchi yao kwenda nchi nyingine kama ulikuwa hujui wale jamaa ni wanacheza na fursa yani wakiona fursa sehemu lazima waende nayo na kukuhakikishia hilo wapo wamarekani wengi tu wameondoka marekani nchi zingine kupiga mishe mishe na marekani ndo nchi tajiri.

Swali; leta orodha ya nchi tajiri duniani na Afrika kutoka kwenye chanzo chako chochote tumalize kwa ubishi hapa
Your dad wasted his sperms to get an idiot son like you. Simply a fucking bastard.

Bye.
 
Umemaliza kila kitu hapo nilipokozesha wino.Aya yako ya pili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Au sio!! Umesema twende na fact leta hizo fact hapa au hayo matusi ndio fact [emoji23][emoji23][emoji23]. Jiamini leta fact hapa upopolewe Mimi numekuwekea hapo juu
Your dad wasted his sperms to get an idiot son like you. Simply a fucking bastard.

Bye.
 
Mwanza toka miaka ya 1990 Ina Media za kitaifa na kimataifa. Star tv, Kiss FM na RFA, Hadi sasa TV na Radio zenye Coverage nchi nzima ni za dar na Mwanza. Hivi Arusha kuna TV station kweli?
 
Mkuu watu hapa wanibisha kwa hisia badala ya uhalisia tu yani Arusha hii hii ya kufananisha na Mwanza ambayo ni ka mji kadogo yani kwa kutembea kwa mguu nakamaliza bila shida na hata sichoki
Arusha ukipiga filimbi jiji lote wanasikia
 
Arusha kuna umimi sana. Kama unataka kuwekeza biashara yako ndogo nenda Mwanza utafanikiwa ila Arusha lazma ufeli labda na wewe uwe mtu wa hukohuko. Mji wa kingese sana ule, utalii umeharibu maisha halisi ya utanzania pale.
 
Arusha kiuchumi ipo juu sababu ya utalii. Je jiulize swali mleta mada. Ukuaji wa kiuchumi wa Arusha unamsaada gani kwako wewe mtu wa chini na familia yako binafsi. Hapo utakuja kugundua bora uende Mwanza ukafanye biashara kuliko uishi au kufanya biashara Arusha.
 
No boss haya mambo yanaenda realistic...Ukiona mji wako hauujui au haufahamiki figures zake za kiuchumi jua hata kwenye level ya ushindani na miji ya nje bado!!
Watu wanataka figures na si blah blah kibao. Mimi nimeuliza hili swali kimakusudi na nilijua kabisa litawaletea kigugumizi.
Mkuu nilitoa kanuni ya kutafuta per capital income na sikuwa najibu swali lako directly
 
Arusha kiuchumi ipo juu sababu ya utalii. Je jiulize swali mleta mada. Ukuaji wa kiuchumi wa Arusha unamsaada gani kwako wewe mtu wa chini na familia yako binafsi. Hapo utakuja kugundua bora uende Mwanza ukafanye biashara kuliko uishi au kufanya biashara Arusha.
Huu ni mjadala si vinginevyo
 
Mkuu vitaje hivyo viwanda,ukiondoa cha General Tyre ambacho kilishajifia,Mkuu kabisa bila kupepesa macho na wewe unaamini kwamba Arusha inaizidi Mwanza kiuchumi?
A to Z Textile. Nadhani ni kikubwa mno baada ya Dangote cement
 
Back
Top Bottom