Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Anza kusoma page ya 391
Ni kweli Arusha city(17,978,653,000) imeoneka kuwa na pato kubwa kuliko Mwanza city(13,785,496,776) kwenye ripoti uliyoambatanisha, lakini Mwanza ina manispaa ya Ilemela pia(8,051,895,514) ambayo inajitegemea kimapato hata kwenye hiyo ripoti yako. Hivyo basi ukijumulisha pato la Mwanza Jiji na Ilemela manispaa utapata (21,837,392,290) where Arusha city itazidiwa. So Mwanza itaendelea kuwa bora zaidi ya Arusha hata kama ukiamua kutumia mapato kama kilinganishi cha miji hii shindani.
Ahsante kwa takwimu.
 
Moja ya sifa ya jiji ni kwamba ni jiji lililojengwa na kuendelezwa na wana Mwanza wenyewe kwa upambanaji wao sio kama majiji ya Dar, Arusha na Dom yanayojengwa na serikali.
Mleta mada next time usiilinganishe Mwanza na hiyo mbuga ya wanyama
 
Acha hasira jadili mada kwa ushahidi sio vinginevyo
 
Ar wapo juu zaidi the city is beautiful naturally na makusanyo Tra ni makundi zaidi ya Mwanza
 
Jiji la Mwanza linaundwa na Manispaa mbili

1. Ilemela
2. Nyamagana

Arusha inaundwa na Manispaa ngapi?

Mwanza inaweza kusavaivu bila Utalii, Arusha utalii ukisheki nayo inasheki!

Acheni kuifananisha Mwanza
Bangi haikufai mkuu
 
Mwanza -> ziwa Victoria, madini kidogo.

Arusha -> Utalii, Madini, Viwanda, kilimo cha kahawa na Maua yanayokuwa exported
 
Maarufu sana kwa kilimo cha mbogamboga zinazosafirishwa Ulaya na kwingineko duniani
 
Ni kweli Arusha city(17,978,653,000) imeoneka kuwa na pato kubwa kuliko Mwanza city(13,785,496,776) kwenye ripoti uliyoambatanisha, lakini Mwanza ina manispaa ya Ilemela pia(8,051,895,514) ambayo inajitegemea kimapato hata kwenye hiyo ripoti yako. Hivyo basi ukijumulisha pato la Mwanza Jiji na Ilemela manispaa utapata (21,837,392,290) where Arusha city itazidiwa. So Mwanza itaendelea kuwa bora zaidi ya Arusha hata kama ukiamua kutumia mapato kama kilinganishi cha miji hii shindani.
 
Ni kweli Arusha city(17,978,653,000) imeoneka kuwa na pato kubwa kuliko Mwanza city(13,785,496,776) kwenye ripoti uliyoambatanisha, lakini Mwanza ina manispaa ya Ilemela pia(8,051,895,514) ambayo inajitegemea kimapato hata kwenye hiyo ripoti yako. Hivyo basi ukijumulisha pato la Mwanza Jiji na Ilemela manispaa utapata (21,837,392,290) where Arusha city itazidiwa. So Mwanza itaendelea kuwa bora zaidi ya Arusha hata kama ukiamua kutumia mapato kama kilinganishi cha miji hii shindani.
Ahsante kwa takwimu.
Hawaelewi hawa Mkuu, nimerepost tena post yako
 
Ni kweli Arusha city(17,978,653,000) imeoneka kuwa na pato kubwa kuliko Mwanza city(13,785,496,776) kwenye ripoti uliyoambatanisha, lakini Mwanza ina manispaa ya Ilemela pia(8,051,895,514) ambayo inajitegemea kimapato hata kwenye hiyo ripoti yako. Hivyo basi ukijumulisha pato la Mwanza Jiji na Ilemela manispaa utapata (21,837,392,290) where Arusha city itazidiwa. So Mwanza itaendelea kuwa bora zaidi ya Arusha hata kama ukiamua kutumia mapato kama kilinganishi cha miji hii shindani.
Jiji la Mwanza halina halmashauri mbili kama unavyodai. Tembelea tovuti ya Tamisemi kwa clarity zaidi
 
Binafsi Kama mkazi temporale wa Arusha, Arusha bila utalii ni hovyo sana , mwanza ni mji mkubwa sana haswa kwa coverage na population na wanashughuri nyingi sana za kuwaingizia kipato tofauti na chuga, chuga ni utalii sana, wenye kampuni za utalii na watu wa madini ndo wenye ela the rest kiana tu,

Kingine Arusha maisha ni tough sana kwa mwanainchi wa kipato cha chini kisa hawa watalii wanakuja ku spend san huku na kuifanya hela kuwa nyepesi kupatikana kumbe hawajui maisha kwa watu wa kawaida yanapanda
 
Back
Top Bottom