pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,296
- 1,748
Nani mwenye nyingi hapo? achana na aibusawa sasa wewe ndugu huoni aibu hapo maana bln 21 vs bln 17 as far as population is concerned
Nani mwenye nyingi hapo? achana na aibusawa sasa wewe ndugu huoni aibu hapo maana bln 21 vs bln 17 as far as population is concerned
acha uchuro mkuu,kila mji una aina ya shughuli kuu.Pale mwanza bila uvuvi hakuna maisha..pili kwani ukitoa dar na pwani viwanda vingi vinapatikana wapi zaidi ya arusha? kwamba huko arusha kila myu yuko sekta ya utalii au..muwe mnafikiria kabla ya kuandika
Kwa hiyo Mwanza ndo hayasimami hayo majengo si ndio, yani majengo ya Mwanza unataka kuyalinganisha na tumajengo twa Arusha tunatohesabika..!w
we jamaa kajipange,huko mwanza mumelundikana lakini hakuna pesa..Tofauti na Dar na Dodoma ,Arusha ndio jiji ukienda baada ya mwaka unakuta mji umebadilika maana majengo yanasimama kila siku
Aibu gani mkuu? kwani 21b vs 17b ipi kubwa? na arusha kufikisha hiyo 17b probably ni makusanyo ya kipindi cha high season ya utalii no wonder kipindi cha low season makusanyo ni less than thatsawa sasa wewe ndugu huoni aibu hapo maana bln 21 vs bln 17 as far as population is concerned
Eti mwanza inajikongoja!!!
Mwanza hii inayojenga stendi mbili Kwa wakati mmoja nyegezi,na nyamhongolo.
Mwanza hii inayojenga soko kuu pale mjini Kati.
Mwanza hii kunapojengwa jengo kubwa la wasafiri wa ndege.
Mwanza hii kunapojengwa meli mpya kubwa na nyingine mbili zimekarabatwa na bandari ya kusini imejengewa chelezo la kujengea meli.
Mwanza hii ambayo barabara za busweru national, busweru ilemela, zipo zinajengwa.
Mwanza hii ambayo hiace zinaanza kufifia mjini na macosta tena Yale marefu yanaongezeka Kwa Kasi.
Nk nk.
Haya bishana na hizi shida mnabisha bisha tu hamjui hata mnabisha nini View attachment 1486644View attachment 1486654
Pole mkuu, lakini wewe unafikiri umeshindwa kufanikiwa kwenye biashara yako kwa sababu unafanyia mwanza? vipi kuhusu maelfu ya biashara zilizofanikiwa hapo mwanza tena nyingi za watu kutoka mikoa ya kaskazini, jitathimini vizuri kabla hujahama kuja arusha pengine kuna ulichokosea kwenye biashara yako maana hata arusha biashara nyingi sana zinafungwa pengine kutoka na mdororo wa kiuchumi kwa ujumlaNo bias Niko Mwanza nina mpango wa kuondoka soon. Arusha inapata kura yangu no offense. Biashara hapa inategemea sana ni ya nini. Majority ya watu hali mbaya.
Utoto uko wap kwenye kutaja miradi ya jiji.Acha utoto!
Wanamwanza hivi mtu mshamba wa hivi asiyejua nchi yake mnabishana nae wa nini?Hivi mwanza mna hata barabara nzuri ya dual carriage kama ya Arusha? Mwanza bado saaana kwa Arusha
Pole sana boss ni uelewa wako tu wa kushindwa kutofautisha kati ya GDP na revenue za kawaida. Hayo makusanyo ya revenue yanabadilika mara kwa mara kutokana na kipindi husika.Kuna kipindi Dom ilikuwa juu ya Ilala,Kinondoni na Temeke hadi watu wakaanza kuhoji na wengine kusema serikali inapika data ili kuibeba Dom.Ila ndo kama unavyoona tena kwenye jedwali lako manispaa za dar zimerudi tena juu.
Ila upande wa GDP tuseme yenyewe ni stable fulani hivi.Haishuki na kupanda hovyo kama hizo revenues. Na ndio kipimo halisi cha uchumi na maendeleo.Hata nchi zinapimwa hivyo kujua ipi ina ubavu zaidi kiuchumi. Na usitegemee kamwe milele GDP ya Dodoma ije iipite ile ya Dar es salaam. Na it's unlikely GDP ya mji/jiji lolote lile iipite ya Dar sababu GDP ya dar ni almost nusu ya GDP ya Tz yote.Ila upande wa revenue collection Mh.Rais majuzi kasema dar inakusanya karibia 80%.So unaweza kuona how the two terms differ.
Cheki hapa chini nilipobord:
[email protected]
Mwanza. Mwanza has launched its regional investment guide as it puts itself on the right path to grow its contribution to Tanzania’s gross domestic product (GDP) by the year 2025.
The Mwanza Regional Investment Guide is a brainchild of the region’s authorities in partnership with the United Nations Development Program (UNDP) and the economic and social research foundation (ESRF).
It seeks to lead Mwanza on the implementation of development projects in major economic sectors including, agriculture, fishing, mining, manufacturing industries and livestock, according to Regional Commissioner, Mr John Mongella.
Currently, Mwanza contributes about Sh7.4 trillion to Tanzania’s Sh103 trillion GDP. It is second from Dar es Salaam.
“Our goal is to raise Mwanza’s contribution to GDP to Sh10 trillion per annum come the year 2025,” he said.
To achieve the goal, in line with the launched regional investment guide, there shall be established a special team from government institutions which will be trusted with the powers of dealing with investment licenses and certificates so as to cut beauracracy.
Hiyo ni habari waliitoa The Citizen mwaka 2017.
Wasaidie na hii kama hawajui, mwanza ndio jiji lapili kuupokea mradi wa BRT tanzania, wakati wanapambana na NOHA na vile vihice mikate jijiniArusha bado wanatumia Noah na hiace halafu route sasa utacheka mwenyewe
Eti mwanza inajikongoja!!!
Mwanza hii inayojenga stendi mbili Kwa wakati mmoja nyegezi,na nyamhongolo.
Mwanza hii inayojenga soko kuu pale mjini Kati.
Mwanza hii kunapojengwa jengo kubwa la wasafiri wa ndege.
Mwanza hii kunapojengwa meli mpya kubwa na nyingine mbili zimekarabatwa na bandari ya kusini imejengewa chelezo la kujengea meli.
Mwanza hii ambayo barabara za busweru national, busweru ilemela, zipo zinajengwa.
Mwanza hii ambayo hiace zinaanza kufifia mjini na macosta tena Yale marefu yanaongezeka Kwa Kasi.
Nk nk.
[/QUOT
hao wakazi weng wa arusha hawajawahi fika mwanza sa watabishana sana yan
itoshe tu kusema dar yenye halmshaur 5 haiwez shndanishwa na jiji lolote vivyo hvyo kwa mwanza yenye halmshaur mbil haitaweza shindanishwa na arusha yenye moja naomba kuwasilisha
weka picha sio porojo japo moja tu ya barabara ya mfano wa tengeru arushaWanamwanza hivi mtu mshamba wa hivi asiyejua nchi yake mnabishana nae wa nini?
ukitaka kujua nani ana nyingi chukua kilichopo afu gawanya na watu wa jiji husika utapata majibu ya swali lakoNani mwenye nyingi hapo? achana na aibu
Nje ya Dar na Pwani viwanda vingi na biashara kubwa iko Arusha,njaa ipi unayoizungumzia wewe tofauti na hiyo ya huko kwenu?Wewe huijui Mwanza! eti bila uvuvi Mwanza hakuna kitu,Mwanza kuna kila aina ya shughuli za kiuchumi na zote zipo vizuri ila Arusha bila utalii watu wanalala njaa
acha wishful thinking ukiacha utalii arusha ni jiji la viwandaAibu gani mkuu? kwani 21b vs 17b ipi kubwa? na arusha kufikisha hiyo 17b probably ni makusanyo ya kipindi cha high season ya utalii no wonder kipindi cha low season makusanyo ni less than that
yaani unazungumzia stori za kwenye makaratasi hata renders bado wakati wenzenu kuna dual carrige inajengwa kuanzia arusha moshi hadi holili mpakani nyie mnaleta stori hapaWasaidie na hii kama hawajui, mwanza ndio jiji lapili kuupokea mradi wa BRT tanzania, wakati wanapambana na NOHA na vile vihice mikate jijiniView attachment 1486829