Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

mwanza ni maskini
Weka hizo takwimu hapa,niende nkazisome wapi tena?

Kwa akili tu ya kawaida Jiji la mwanza lililo na manispaa 2 kwa mujibu wa Sensa ya 2012 lina watu zaidi ya 2 milioni,Arusha lina watu zaidi ya laki 4 ,hapa naongelea Jiji kama Jiji siyo mkoa,sasa inapaswa uone ni kwanini watu wanakimbilia Mwanza kuliko Huko Arusha
 
Daah chalaa angu naona leo mmetamulia,ila haina paringi arifu.
Huyo jamaa atakuwa ni wale jamaa wanaojiita "MACHALII WA R" wao wanakwambiaga Arusha hakuna mji hapa Afrika unaoukaribia kwa uzuri,na hii ni baada ya kuvuta GANJA na kunywa BANGE [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Arusha kuna viwanda vipi tofauti na general tyre ambayo nayo isha jifia?,hebu vitaje
Just to mention few, A to Z kikubwa sana hichi nahsi EA nzima, Tanalec, Pepsi, TBL, Ukiwa Highway hii ya Moshi Arusha ukifika Philips na Sanawari kuna vibao vina ku direct kuwa Hii njia inaenda Industrial Area ambayo ni Njiro
Sambamba na hayo ila kwangu Mwanza ni bora sana, Arusha saa tatu au nne usiku Mtaani kweupe, Arusha hata stand hawana
 
Usipende kufanya kila kitu ni mashindano. I can learn from you and you can learn from me. Usipende kupoteza muda kama jambo unalofanya halina faida kwako.
Wewe una data za jiji la mwanza? Mimi sina, unazo za jiji la Arusha? Mimi sina.
Ila nakuhakikishia, na nimeangalia mambo mengi kuwa Jiji la Mwanza halikjachangamka kiuchumi zaidi ya Arusha. Naona unazungumzia sijui Bombardier wakati Arusha hata Dar haiifikii kwa civil aviation.
Matajiri wa Arusha wana ndege uwani na husafiria Cessna zao. Hii ni Culture ya matajiri wa Arusha tangu enzi za Nyerere. Wewe unazungumza Bombardier??
Bruh, from the looks of thangs you seem to be a bit misinformed but thats just me thinking.

Unaongelea kile kindege kama cha babu sambeke?Kile hakifikii hata bei ya ma V8 haya ya wabunge.

BTW kuna ki cessna kilikua kinamilikiwa na wizara ya kilimo kwa ajili ya kupulizia madawa huko mashambani wizara hio ilikiuza kwa mtu binafsi kwa Tsh.500,000(Laki tano tu) mpk serikali ikashtuka.

The point is,hivyo vi ndege used sio bei ghali na wala sio big deal.
 
Arusha ina Air strip ulitaka KIA kuwe na Uwanja mkubwa na Arusha pia uwanja mkubwa? Tumia aliki basi mara moja moja

Stand ndo inasaidia nini? Nairobi hawana Stand ila ni kubwa kuliko Dar Kiuchumi, Arusha sio mji wa kukaaa masikini masikinu, ule ni mji wa Kitaliii
Just to mention few, A to Z kikubwa sana hichi nahsi EA nzima, Tanalec, Pepsi, TBL, Ukiwa Highway hii ya Moshi Arusha ukifika Philips na Sanawari kuna vibao vina ku direct kuwa Hii njia inaenda Industrial Area ambayo ni Njiro
Sambamba na hayo ila kwangu Mwanza ni bora sana, Arusha saa tatu au nne usiku Mtaani kweupe, Arusha hata stand hawana
 
GDP ndo inakubeba mpaka kuonesha umwamba wako na sio blah blah! Marekani yupo namba moja duniani pale sababu ya GDP, Nigeria yupo namba moja African sababu ya GDP ukija kwa Tanzania ukitoa Dar mkoa unaofata kwa GDP ni Mwanza sasa me nawashangaa mnaobwabwaja
Screenshot_2020-06-05-06-58-46.jpeg
Screenshot_2020-06-05-06-54-13.jpeg
Screenshot_2020-06-05-07-06-46.jpeg
 
Upo sahihi mkuu kwamba Airbus haiwezi kushuka Ars airport. Ni ndege ndogo size ya Precision tu. Fast jet haipo tena. Lakini kumbuka KIA ina serve Jiji la Ars. Hao abiria from 7 flights per day ni wa Ars. Hapa nakupa data za uhakika maana nipo kwenye hiyo sekta. Ask me anything about this particular field. Nitakupa idadi ya ndege, mizigo na abiria wanaopita KIA kwa mwezi na kwa mwaka including revenue collected therein...
Arusha to dar ni bei Gan kwa precision?
 
Dah hiyo bombardier wewe unaelewa imetokea nini hadi nimeiongeleaje? Hiyo mada mmeileta ninyi. Kwanza mmeanza kuushusha hadhi uwanja wetu,mkasema sio uwanja ni kituko tu,haya,mkaendelea mkasema ninyi mna KIA,..halafu mkamaliza kwa kusema kuwa Dar-KIA-Ars ni safari saba kwa siku!! Sasa mi ndo nikauliza Hiyo Dar-KIA-Ars ni route gan ilhali hata ndege aina ya Bombardier ukiachilia mbali Airbus haiwezi tua kiwanja chenu?,...Sasa naona wewe ndo ukaamua kushika hapo kwenye bombardier na hata sijaelewa kosa langu ni lipi hapo...
Huo uwanja umejengwa kwa Kodi za watanzania sio uwanja wenu ni uwanja wa watanzania hata mtanzania alieko kisarawe au Namtumbo acheni mambo yenu bana ya kujimilikisha vitu.

Eti uwanja wetu. Mna uwanja ninyi.
 
Stand ndo inasaidia nini? Nairobi hawana Stand ila ni kubwa kuliko Dar Kiuchumi, Arusha sio mji wa kukaaa masikini masikinu, ule ni mji wa Kitaliii
Acha basi mkuu yani umeniona mimi mgeni sana Arusha nimekaa apo for five years, Unaongelea Arusha hii ya muriet hata public transport tu za kueleweka hakuna kuna vipanya ni uchafu mjini, Arusha hii ya unga limited na matejoo mpaka city centre kuna nyumba za Miti, Arusha is overrated
 
GDP ndo inakubeba mpaka kuonesha umwamba wako na sio blah blah! Marekani yupo namba moja duniani pale sababu ya GDP, Nigeria yupo namba moja African sababu ya GDP ukija kwa Tanzania ukitoa Dar mkoa unaofata kwa GDP ni Mwanza sasa me nawashangaa mnaobwabwajaView attachment 1469093View attachment 1469094View attachment 1469095
Una akili fupi Sana wewe, nani kakwambia GDP ndio kila kitu ... Hiyo Nigeria utailinganisha na south Africa , mbona wanaijeria wengi wanaikimbia nchi Yao kwenda huko south Africa kwenye nchi yenye GDP ndogo kushinda wao.

Achen theories ndugu zangu leten actual facts ...

Africa Kuna nchi Kama Morocco, Tunisia na misri hiyo naijeria Ni takataka tu japo wana GDP kubwa.. Ukiza watu ambao wamezuru hizi nchi na sio unaleta vijimaandishi kutoka Wikipedia...
 
Arusha ina Air strip ulitaka KIA kuwe na Uwanja mkubwa na Arusha pia uwanja mkubwa? Tumia aliki basi mara moja moja
Mimi naongelea issue aliyo raise mshakji khs watu kumiliki cessna ,wewe unaleta story zako za KIA.

Next time kabla ya kuja kubishana mbele ya wanaume jitahidi uwe unarekebisha shanga kwanza ndio uje kukaa kwny jamvi.
 
Una akili fupi Sana wewe, nani kakwambia GDP ndio kila kitu ... Hiyo Nigeria utailinganisha na south Africa , mbona wanaijeria wengi wanaikimbia nchi Yao kwenda huko south Africa kwenye nchi yenye GDP ndogo kushinda wao.

Achen theories ndugu zangu leten actual facts ...

Africa Kuna nchi Kama Morocco, Tunisia na misri hiyo naijeria Ni takataka tu japo wana GDP kubwa.. Ukiza watu ambao wamezuru hizi nchi na sio unaleta vijimaandishi kutoka Wikipedia...
Usiwe mjinga kiasi hicho ina maana unapinga sasa hata Marekani kuwa namba moja kiuchumi duniani na pia Nigeria kwa Africa ama kweli wewe ni zuzu.

Kwa chanzo chako chochote niwekee hapa nchi tajiri kwa dunia na kwa Africa afu ujione ulivyo panga boi, eti wanaijeria wanaikimbia nchi yao kwenda nchi nyingine kama ulikuwa hujui wale jamaa ni wanacheza na fursa yani wakiona fursa sehemu lazima waende nayo na kukuhakikishia hilo wapo wamarekani wengi tu wameondoka marekani nchi zingine kupiga mishe mishe na marekani ndo nchi tajiri.

Swali; leta orodha ya nchi tajiri duniani na Afrika kutoka kwenye chanzo chako chochote tumalize kwa ubishi hapa
 
Huo uwanja umejengwa kwa Kodi za watanzania sio uwanja wenu ni uwanja wa watanzania hata mtanzania alieko kisarawe au Namtumbo acheni mambo yenu bana ya kujimilikisha vitu.

Eti uwanja wetu. Mna uwanja ninyi.
Swap 'yetu' for 'Mwanza' umeridhika sasa?
 
Back
Top Bottom