Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
Arusha kuna redio kadhaa pia,Sunrise,Triple A,arusha one fm,sauti ya injili,radio safina,kuna sauti ya wakulima(ors)tanzanite radio na nyingine nimezisahau!! Ila tv station hakuna aisee,kwa arusha kila kitu kitu kipo under one roof!!ndiyo maana wana arusha huwaambii kitu na arusha yao, na wanajua ku spend kiukweli,kijana wa arusha ukimpa laki saa moja jioni,ukaja kumuuliza saa moja kesho yake asubuhi ana ngapi,utakuwa unamuonea bure!! Kama ana nyingi ni 10,000/ mwanza unaweza ukampa mtu sh 10,000,baada ya wiki ukamkuta badi ana chenji sh 6,000/ huwa nayatamani maisha ya mwanza niyaishi arusha ila nimeshindwa kabisa.
Jitahidi mkuu, saving habit nzuri ni muhimu. Mwanza bado gharama za maisha zipo chini kiasi na hata watu bado wana utu kiasi