Mwanza iko juu kiuchumi kutokana na kuwa na population kubwa hii inachagizwa zaid na kuwa ni jiji pekee kwa upande wa kanda ya ziwa lililoendelea na lenye mahitaji yote muhim kupita mikoa inayoizunguka
Mikoa ming inayoizunguka Mwanza bado haijaendelea sana
Arusha ni jiji lenye population ndogo ya watu ni jiji lililo katika kanda ya miji ming iliyoendelea Moshi, Tanga hii yote ni miji yenye huduma muhim Tanga ni jiji , Moshi ilikuwa ina fight kuwa jiji hapa unaona ni kwa jins gani ni ngum Arusha kuwa na population kubwa
Arusha ni mji wa kitalii , ni mji unaojishughulisha na madini maisha ni ghali hii inafanya population kuwa ndogo maan ni ngum mtu wa maisha ya chin kupata kipato kirahis