Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Hapana boss hiyo ilikuwa ni region ambapo kwa mwaka huu imefika kama 4M hivi.
Ila za majiji ni Dar ni 6M,...Mwanza city ni 1.2M...Zanzibar City 7K.
Arusha city ni 4K.
Nimeambatanisha link ya Mwanza City hapa chini.Pia inakuonyesha projections hadi za 2050.
Majiji mengine teremka chini upande wa kushoto utayaona.

Mwanza, Tanzania Metro Area Population 1950-2020
Weka projections za NBS sio hizo source za ajabu ajabu
 
Naam! Umemaliza Mkuu. Naomba nikuhost next time
Nimekaa mikoa yote miwili ....


Mwili na roho yangu imeangua Arusha zaidi huwa nikifika Arusha nahisi kutua mzigo mzito wa dhambi huko nilikotoka. Nikikaa zangu chini ya safu za mlima meru huku nikibamizwa na kiubaridi napata Raha na kusahau shida zote.


Arusha Arusha ARUSHA nimekuita Mara tatu Arusha.
 
Soma hapo nilipo bord
Mwanza. Mwanza has launched its regional investment guide as it puts itself on the right path to grow its contribution to Tanzania’s gross domestic product (GDP) by the year 2025...
weka source ya taarifa kutoka NBS sio hadithi za kufikirika
 
Kiwanda cha cha AtoZ kimeajiri wafanyakazi rasmi zaidi ya 8,000, kuna sunflag,lodhia steel,trishala rolling mills,Tanzania breweries,tanzania phamacetical,fibreboards africa ltd,mount meru millers,bansal steels,kuna kiwanda cha gypsum cha lodhia pia,pepsi,shine&lovely,viwanda kadhaa vya plastics products,halais pro chemie,chemi and cotex (Emco) hanspaul auto mech,banana wine, mega beverages(K vant) sunkist,kiltex, na vingine vingi vidogo na vingine ambavyo kwa sasa havizalishi, ila yote kwa yote bado Mwanza ipo juu sana ya Arusha,labda arusha itaishinda tu mwanza kwa ughali wa maisha na vistarehe vya bei mbaya ambavyo hata hivyo asilimia 99 ya wakazi wa arusha hawa vi afford,wanaishia tu kuona kwa mbali ama kuhadithiwa,kuhusu mazingira pia arusha is Ok!! Nje ya mji huko kuna sehemu ukifika utadhani uko jirani na peponi,kiuchumi jumla arusha lazima ipige goti kwa mwanza,nimeishi na kufanya kazi na starehe miji yote miwili,naijua in&out, chuganian wenzangu mnisamehe kwa ukweli huu.
Safi sana Comrade Uko Sahihi
 
Mwanza haioni ndani kwa Arusha by far...Arusha kuna viwanda vya A2Z tena kubwa sana, kiwanda cha madawa ya mifugo inayosambaza dawa katika nchi za Rwanda, Zambia, Uganda, Malawi, Kenya na Burundi. Kuna kiwanda cha Alizeti na viwanda vya usindikaji maziwa na nyama. Na viwanda kibao. Kesho ntaweka list hapa.

Mwanza kwa uwingi wa watu maskini na wingi wa mawe kwakweli hapo mmeshinda Arusha
Nimewaambia hao jamaa ukitoa Dar na Pwani jiji lingine la viwanda ni Arusha wengine wanabahatisha bahatisha
 
Unasimulia hadithi lakini facts zinakueleza kitu kingine,weka facts mkuu kama idadi ya viwanda,mchango wa kimapato TRA nk nk
Ukweli ni kwamba Mwanza ni mji baada ya Dar es Salaam,mimi naishi Mwanza na ninafanya kazi Arusha, hii miji miwili inataka kama kufanana lakini Mwanza inaendesha mambo makubwa kuliko Arusha kuanzia uchumi wa watu na mengineyo..pia ina watu wengi zaidi kuliko Arusha,idadi tu ya watu ni tosha kuifanya ikue kiuchumi, nowdays Arusha imekosa watalii na imebaki kama kijiji cha ujamaa,ni vile tu watu hupenda kuvutia kwao lakini Mwanza ni zaidi ya Arusha,hata watu wenye pesa Mwanza ni matajiri wakubwa sana lakini kamwe huwezi kuwasikia na mambo ya hovyo mitaani,
 
Nawewe ni mjinga mwingine kwa hiyo tukuamini wewe tusimwamini CAG hivi unaakili kweli
Haya bwana
Screenshot_20200604-213927.jpeg
 
Jiji la mwanza lina watu million 2+
Jiji la Arusha lina watu laki 5+
Alafu kuna mpuuzi mmoja anakuja kusema Arusha ni bora kuliko Mwanza
Idadi ya watu si kipimo sahihi kujua ubora wa maisha,Sweden yenye watu wachache ina maisha bora kuliko china yenye utitiri wa watu,ila ni ukweli usiopingika kuwa mwanza kiuchumi iko juu sana ya arusha.
 
Big but irrelevant. Media gani ina broadcast news za juzi badala ya leo? Sahara media group ya zamani ikoap? Kiss FM ikoap? Radio Free Africa ikoap?

Who is watching Star TV to be honest?

Mwanza airport sio International airport, ni airstrip. This at least am quite sure. Ni majuzi tu kwa mara ya kwanza Rwanda Air iliruka from Mwanza to Brussels kwasababu tu ya Samaki. Period
Hvi watu wa Arusha ni nini ambacho huwa kinawatoa ufahamu?,ni harufu ya Bange au Baridi?,yaani unashindwa kuelwa ya kwamba uwanja wa ndege wa Mwanza ni International Airport?,yes of kozi Sahara ni among of the bigest media in this country,hilo nalo unabisha?

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom