Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Wasikupotezee muda hao...Achana nao.Revenue from Tax ama
Na vipi kuhusu total value ya production ya jiji husika
Wasikupotezee muda hao...Achana nao.Revenue from Tax ama
Na vipi kuhusu total value ya production ya jiji husika
Hapo kwenye usafirishaji labda wa majini tuu lakini anga na ardhini Arusha ni kiongozi nje ya Dar maana uwanja wa Kia uko una sevu arusha zaidi licha ya kuwa Hai kilimanjaro,pili kampuni za usafirishaji za malori ukiacha Dar Arusha inafuata,media industry labda Star tv tuu/sahara
2. Usafiri upi? Airstrip?
3. Media zipi? Sahara group? (irrelevant media)
Sahara imejifiaHapo kwenye usafirishaji labda wa majini tuu lakini anga na ardhini Arusha ni kiongozi nje ya Dar maana uwanja wa Kia uko una sevu arusha zaidi licha ya kuwa Hai kilimanjaro,pili kampuni za usafirishaji za malori ukiacha Dar Arusha inafuata,media industry labda Star tv tuu/sahara
HopelessArusha kinachoizidi Mwanza labda ni:-
1.UVUTAJI WA BANGE
2.BARIDI
3.MA**YA WA KIMBULU
4.MENO YA CHOKOLETI
5.VUMBI
6.VIJANA KUONEKANA KAMA WAZEE
7.UJUAJI
8.UBINAFSI
9.UBISHI
10.KUFUGA RASTA ILI WAOLEWE NA WAZUNGU
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Nigeria ina GDP kubwa kuliko South Africa, nchi ipi kati ya hizi mbili ina uchumi bora? Au ipo bora kiuchumi?Pole sana boss ni uelewa wako tu wa kushindwa kutofautisha kati ya GDP na revenue za kawaida. Hayo makusanyo ya revenue yanabadilika mara kwa mara kutokana na kipindi husika.Kuna kipindi Dom ilikuwa juu ya Ilala,Kinondoni na Temeke hadi watu wakaanza kuhoji na wengine kusema serikali inapika data ili kuibeba Dom.Ila ndo kama unavyoona tena kwenye jedwali lako manispaa za dar zimerudi tena juu.
Ila upande wa GDP tuseme yenyewe ni stable fulani hivi.Haishuki na kupanda hovyo kama hizo revenues. Na ndio kipimo halisi cha uchumi na maendeleo.Hata nchi zinapimwa hivyo kujua ipi ina ubavu zaidi kiuchumi. Na usitegemee kamwe milele GDP ya Dodoma ije iipite ile ya Dar es salaam. Na it's unlikely GDP ya mji/jiji lolote lile iipite ya Dar sababu GDP ya dar ni almost nusu ya GDP ya Tz yote.Ila upande wa revenue collection Mh.Rais majuzi kasema dar inakusanya karibia 80%.So unaweza kuona how the two terms differ.
Cheki hapa chini nilipobord:
[email protected]
Mwanza. Mwanza has launched its regional investment guide as it puts itself on the right path to grow its contribution to Tanzania’s gross domestic product (GDP) by the year 2025.
The Mwanza Regional Investment Guide is a brainchild of the region’s authorities in partnership with the United Nations Development Program (UNDP) and the economic and social research foundation (ESRF).
It seeks to lead Mwanza on the implementation of development projects in major economic sectors including, agriculture, fishing, mining, manufacturing industries and livestock, according to Regional Commissioner, Mr John Mongella.
Currently, Mwanza contributes about Sh7.4 trillion to Tanzania’s Sh103 trillion GDP. It is second from Dar es Salaam.
“Our goal is to raise Mwanza’s contribution to GDP to Sh10 trillion per annum come the year 2025,” he said.
To achieve the goal, in line with the launched regional investment guide, there shall be established a special team from government institutions which will be trusted with the powers of dealing with investment licenses and certificates so as to cut beauracracy.
Hiyo ni habari waliitoa The Citizen mwaka 2017.
sahara media imejifia,ukishakuwa tawi la ccm kama channel ten sijui nanai atakusikiliza..Sijasema kia ipo arusha ila inasevu arusha zaidi kuliko kwingineko.KIA haipo Arusha kwa mji kama mji. Hesabu uwanja wenu wa Arusha ambao wa Mwanza ambao upo under construction ukikamilika sidhani kama Arusha itafika hiyo level
Usafiri wa reli vipi ??.. na kampuni za usafirishaji ambazo zinahudumia zaidi lake zone ??...
Media industry unaiongelea star tv tu, vipi kuhusu rfa upande wa Radio. Usisahau kuna Jembe fm ma Lake fm ambazo zina uwezo wa kuandaa festivals kubwa na kuleta wasanii hadi kutoka Nigeria. What about Arusha ??...
Lol...Dg em kalale aiseeNigeria ina GDP kubwa kuliko South Africa, nchi ipi kati ya hizi mbili ina uchumi bora? Au ipo bora kiuchumi?
Kwa miji ambayo inakatwa kodi sawa (under the same tax regime) unafikiri kwanini mji mmoja uwe unachangia kodi mara mbili ya mji mwingine?
Jibu ni kwamba, economic vibrancy, hela inatembea mno Arusha kulinganisha na Mwanza. Jiji la Mwanza hsalizalishi hela kama Jiji la Arusha. Jiji la mwanza ni sawa na Kariakoo tu kwa revenue.
Nitafutie quarter ambapo Mwanza ilitoa mapato makubwa kuliko Arusha na hutopata kwa sababu haijawahi kutokea.
Kwa hiyo, kujibu swali la mtoa mada, Arusha is by far more economically vibrant than Mwanza.
Hauna akili weweNigeria ina GDP kubwa kuliko South Africa, nchi ipi kati ya hizi mbili ina uchumi bora? Au ipo bora kiuchumi?
Kwa miji ambayo inakatwa kodi sawa (under the same tax regime) unafikiri kwanini mji mmoja uwe unachangia kodi mara mbili ya mji mwingine?
Jibu ni kwamba, economic vibrancy, hela inatembea mno Arusha kulinganisha na Mwanza. Jiji la Mwanza hsalizalishi hela kama Jiji la Arusha. Jiji la mwanza ni sawa na Kariakoo tu kwa revenue.
Nitafutie quarter ambapo Mwanza ilitoa mapato makubwa kuliko Arusha na hutopata kwa sababu haijawahi kutokea.
Kwa hiyo, kujibu swali la mtoa mada, Arusha is by far more economically vibrant than Mwanza.
Arusha kuna redio kadhaa pia,Sunrise,Triple A,arusha one fm,sauti ya injili,radio safina,kuna sauti ya wakulima(ors)tanzanite radio na nyingine nimezisahau!! Ila tv station hakuna aisee,kwa arusha kila kitu kitu kipo under one roof!!ndiyo maana wana arusha huwaambii kitu na arusha yao, na wanajua ku spend kiukweli,kijana wa arusha ukimpa laki saa moja jioni,ukaja kumuuliza saa moja kesho yake asubuhi ana ngapi,utakuwa unamuonea bure!! Kama ana nyingi ni 10,000/ mwanza unaweza ukampa mtu sh 10,000,baada ya wiki ukamkuta badi ana chenji sh 6,000/ huwa nayatamani maisha ya mwanza niyaishi arusha ila nimeshindwa kabisa.KIA haipo Arusha kwa mji kama mji. Hesabu uwanja wenu wa Arusha ambao wa Mwanza ambao upo under construction ukikamilika sidhani kama Arusha itafika hiyo level
Usafiri wa reli vipi ??.. na kampuni za usafirishaji ambazo zinahudumia zaidi lake zone ??...
Media industry unaiongelea star tv tu, vipi kuhusu rfa upande wa Radio. Usisahau kuna Jembe fm ma Lake fm ambazo zina uwezo wa kuandaa festivals kubwa na kuleta wasanii hadi kutoka Nigeria. What about Arusha ??...
Huo ndiyo ukweli, ukiondoa misaada na mikopo, hivyo vituo vya afya na hela wanazolipwa walimu, kodi kutoka Arusha ni miongoni mwa vyanzo vikuu.Lol...Dg em kalale aisee
Hehe .....Hauna akili wewe
Angalia revenue ndo itakuokupa picha halisi, Arusha ina watu wachache Zaid ya mwanza Ila Ina shughuli nyingi za kibiashara kuliko mwanza, ndo maana imeipita mwanza kwenye revenue
Hope kuna relevant media houses from Arachuga
Nigeria ina GDP kubwa kuliko South Africa, nchi ipi kati ya hizi mbili ina uchumi bora? Au ipo bora kiuchumi?
Kwa miji ambayo inakatwa kodi sawa (under the same tax regime) unafikiri kwanini mji mmoja uwe unachangia kodi mara mbili ya mji mwingine?
Jibu ni kwamba, economic vibrancy, hela inatembea mno Arusha kulinganisha na Mwanza. Jiji la Mwanza hsalizalishi hela kama Jiji la Arusha. Jiji la mwanza ni sawa na Kariakoo tu kwa revenue.
Nitafutie quarter ambapo Mwanza ilitoa mapato makubwa kuliko Arusha na hutopata kwa sababu haijawahi kutokea.
Kwa hiyo, kujibu swali la mtoa mada, Arusha is by far more economically vibrant than Mwanza.
Nyakato hii?
Yeah,,hi industrial area imechangamkaNyakato hii?