Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Upo sahihi mkuu kwamba Airbus haiwezi kushuka Ars airport. Ni ndege ndogo size ya Precision tu. Fast jet haipo tena. Lakini kumbuka KIA ina serve Jiji la Ars. Hao abiria from 7 flights per day ni wa Ars. Hapa nakupa data za uhakika maana nipo kwenye hiyo sekta. Ask me anything about this particular field. Nitakupa idadi ya ndege, mizigo na abiria wanaopita KIA kwa mwezi na kwa mwaka including revenue collected therein...
Napanda ndege sana tu,hadi za mashirika ya kimataifa... Bombardier achilia mbali Airbus haiwezi tua Arusha!! Huko ni ndege ndogo tu kama precision na fast jet.
 
Upo sahihi mkuu kwamba Airbus haiwezi kushuka Ars airport. Ni ndege ndogo size ya Precision tu. Fast jet haipo tena. Lakini kumbuka KIA ina serve Jiji la Ars. Hao abiria from 7 flights per day ni wa Ars. Hapa nakupa data za uhakika maana nipo kwenye hiyo sekta. Ask me anything about this particular field. Nitakupa idadi ya ndege, mizigo na abiria wanaopita KIA kwa mwezi na kwa mwaka including revenue collected therein...
KIA sio yenu sasa!!! Msijimilikishe uwanja wa watu! Halafu Route ya Dar-KIA ni seven route per day toka lini?
 
Yes.
Hakuna GDP calculations zilizofanywa na miji hii miwili, kwa hiyo GDP zote zinaishia kwenye regional level. Mwanza is almost if not more than twice as much when it comes to population size. Arusha as a region has a higher GDP per capita.
Kwa hiyo, ukiangalia regional GDP kama kigezo cha kuonyesha ubora wa majiji haya kichumi unakuwa unakosea na hutaakisi uasilia. Ndiyo maana nikamjibu jamaa kuwa Quality ya uchumi haipimwi na ukubwa wa GDP. (labda ungeangalia niliyemnukuu ungeelewa).

Not exactly cos I;m not the one compiling them ila tourism and financial services (Banking) kwa Arusha zinaweza kuwa top. Pia Hospitaslity na Transportation.
GDP ya Arusha ni ngapi? Tuonyeshe hiyo GDP per capita unayosema ni high
 
Mkuu tema mate. Huku kuna airport mbili KIA na Kisongo. Asbh saa 12, 2, 4, saa 8 mchana, 11jioni na saa mbili usiku ni KIA-DAR/DAR-KIA. Na saa sita mchana ni Dar - Ars(Kisongo) Airport.

This mean, kuna flights zaidi ya mara saba route ya ARS/KIA - DAR kwa siku.

Nasisitiza there is no airport in Mwanza just an airstrip
Yani kuna wengine humu nawastukia akili zenu ni kama haziko sawa
 
Yes.
Hakuna GDP calculations zilizofanywa na miji hii miwili, kwa hiyo GDP zote zinaishia kwenye regional level. Mwanza is almost if not more than twice as much when it comes to population size. Arusha as a region has a higher GDP per capita.
Kwa hiyo, ukiangalia regional GDP kama kigezo cha kuonyesha ubora wa majiji haya kichumi unakuwa unakosea na hutaakisi uasilia. Ndiyo maana nikamjibu jamaa kuwa Quality ya uchumi haipimwi na ukubwa wa GDP. (labda ungeangalia niliyemnukuu ungeelewa).

Not exactly cos I;m not the one compiling them ila tourism and financial services (Banking) kwa Arusha zinaweza kuwa top. Pia Hospitaslity na Transportation.

Naelewa facts zote unazotoa ni secondary data lakini nilikuuliza ili nijue kuna kitu gani Arusha "city" ambayo ina manispaa moja ambayo inaweza kuwa ni economical muscles za kulingana na jiji lenye manispaa mbili.

Nakumbuka kwenye thread ya contribution ya Dar kimapato kuna watu walisema kuna makampuni yanaoperate mikoani lakini yanaenda kulipia kodi dar. Nikirudi kwa Mwanza vs Arusha, Mwanza city ndio inabeba mkoa wakati Arusha City haibebi Arusha kimkoa.

With the same context, What if tozo za tourism zinapitia Arusha city council na kufanya ionekane ipo vizuri while in reality mapato hayakutokana na production iliyofanyikia jijini Arusha !!!.. itakuwa fair kweli kulinganisha na Mwanza

Nakuuliza ili kujua zaidi brother
 
[emoji23][emoji23][emoji23] siuoneshe tu mkuu kwani shingapi

Alimaanisha GDP per total population.
Mwanza ina population kubwa zaidi ya Arusha hivyo kwa kutumia njia hiyo unaweza kuta per capital income ya Arusha ikaizidi mwanza japo zote ni guessing tu na hata ukitumia per capital income kama kielelezo cha uchumi bado ina exceptions kibao. Sikutaka tu kufanya mjadala uwe mreeeefuu
 
Hayo mapato ni regional.
 
No boss haya mambo yanaenda realistic...Ukiona mji wako hauujui au haufahamiki figures zake za kiuchumi jua hata kwenye level ya ushindani na miji ya nje bado!!
Watu wanataka figures na si blah blah kibao. Mimi nimeuliza hili swali kimakusudi na nilijua kabisa litawaletea kigugumizi.
 
Wewe amini tu, utauona ufalme wa mbingu.
Nilijua hauna jibu.Ukweli ni kuwa mji wenu ni mchanga ila mnalazimisha kupambana na giants tu. Sijawahi ona uzi wa dar vs mwanza ila humu nyuzi za dar vs arusha sijui mwanza vs arusha zimejaa kama nini halafu mnaozianzisha ni ninyi! Sasa wewe upambane na Dar yenye manispaa 5 wewe unayo moja kama kina Tanga utaiweza?
Halafu hamjui tu hata huko nje mnajulikana kama mji wa utalii tu sijui ninyi binafsi mnajionaje.
Endeleeni kujenga mji wenu ambao hata bila lockdown umekuwa hoi kupindukia.
 
No boss haya mambo yanaenda realistic...Ukiona mji wako hauujui au haufahamiki figures zake za kiuchumi jua hata kwenye level ya ushindani na miji ya nje bado!!
Watu wanataka figures na si blah blah kibao. Mimi nimeuliza hili swali kimakusudi na nilijua kabisa litawaletea kigugumizi.
Nilijua hauna jibu.Ukweli ni kuwa mji wenu ni mchanga ila mnalazimisha kupambana na giants tu. Sijawahi ona uzi wa dar vs mwanza ila humu nyuzi za dar vs arusha sijui mwanza vs arusha zimejaa kama nini halafu mnaozianzisha ni ninyi! Sasa wewe upambane na Dar yenye manispaa 5 wewe unayo moja kama kina Tanga utaiweza?
Halafu hamjui tu hata huko nje mnajulikana kama mji wa utalii tu sijui ninyi binafsi mnajionaje.
Endeleeni kujenga mji wenu ambao hata bila lockdown umekuwa hoi kupindukia
taxes2.png
 
Not region we're talking of cities! Mwanza city & Arusha city...Hata population tumetoa za cities! Bring it on!
Usipende kufanya kila kitu ni mashindano. I can learn from you and you can learn from me. Usipende kupoteza muda kama jambo unalofanya halina faida kwako.
Wewe una data za jiji la mwanza? Mimi sina, unazo za jiji la Arusha? Mimi sina.
Ila nakuhakikishia, na nimeangalia mambo mengi kuwa Jiji la Mwanza halikjachangamka kiuchumi zaidi ya Arusha. Naona unazungumzia sijui Bombardier wakati Arusha hata Dar haiifikii kwa civil aviation.
Matajiri wa Arusha wana ndege uwani na husafiria Cessna zao. Hii ni Culture ya matajiri wa Arusha tangu enzi za Nyerere. Wewe unazungumza Bombardier??
Bruh, from the looks of thangs you seem to be a bit misinformed but thats just me thinking.
 
Usipende kufanya kila kitu ni mashindano. I can learn from you and you can learn from me. Usipende kupoteza muda kama jambo unalofanya halina faida kwako.
Wewe una data za jiji la mwanza? Mimi sina, unazo za jiji la Arusha? Mimi sina.
Ila nakuhakikishia, na nimeangalia mambo mengi kuwa Jiji la Mwanza halikjachangamka kiuchumi zaidi ya Arusha. Naona unazungumzia sijui Bombardier wakati Arusha hata Dar haiifikii kwa civil aviation.
Matajiri wa Arusha wana nsege uwani na husafiria Cessna zao. Hii ni Culture ya matajiri wa Arusha tangu enzi za Nyerere. Wewe unazungumza Bombardier??
Beuh, from the looks of thangs you seem to be a bit misinformed but thats just me thinking.
Dah hiyo bombardier wewe unaelewa imetokea nini hadi nimeiongeleaje? Hiyo mada mmeileta ninyi. Kwanza mmeanza kuushusha hadhi uwanja wetu,mkasema sio uwanja ni kituko tu,haya,mkaendelea mkasema ninyi mna KIA,..halafu mkamaliza kwa kusema kuwa Dar-KIA-Ars ni safari saba kwa siku!! Sasa mi ndo nikauliza Hiyo Dar-KIA-Ars ni route gan ilhali hata ndege aina ya Bombardier ukiachilia mbali Airbus haiwezi tua kiwanja chenu?,...Sasa naona wewe ndo ukaamua kushika hapo kwenye bombardier na hata sijaelewa kosa langu ni lipi hapo.

Naona umekazania pia kuwa hiyo sehemu yenu ipo juu zaidi. Mnasema kwa tathmini yenu na vigezo vyenu,hivyo vigezo hatuvioni.Ila uzur kila kitu kipo wazi,hata serikali imetuweka wazi.Na mara kwa mara viongozi wa serikali wanasema.Kwamba this is first commercial city,..na ile ni ya pili..na kuendelea.

Naona umekomalia suala la per capita! Umeleta za region. Basi sawa tuseme hizo ndo ziwe za city hizi mbili respectively. Nikakuuliza nchi tajiri zaidi Africa ni IPI? Ukaniuliza in terms of what,..basi tufanye in terms of per capita hiyo unayoikomalia,jibu hapo ni Equatorial Guinea!! Sasa nikuulize kuna mtu ana muda ni hiyo nchi hapa kwetu?

Kama hicho ndo kipimo cha uchumi mzuri why watu wasikimbilie huko kutafuta life? Haya twende upande wa pili ambao ni tajiri in terms of GDP,Ni Nigeria akifuatiwa na South Africa... Sasa si ndo nchi hizo zinazojulikana kama giants of Africa? Watu wa West Africa wana ndoto na Nigeria. Wewe huna ndoto ya kufika South Africa? Si ndo wengi wanapokimbilia huko kutafuta life zuri?....Hata tukija worldwide tunaowaita mabingwa wa Uchumi si ni USA na China?

Kuna nchi inayoongoza kwa per capita hapo? Wanaoongoza si ni kina Luxembourg huko.Au nao watajiita mabingwa wa uchumi ilhali Luxembourg karibia 20 zinaingia kwa jiji moja tu la New York.

Yaani hicho ndo kipimo utake usitake.Watu wakihama Arusha kwenda Mwanza hapo wanaiongeza per capita ya Arusha na ya Mwanza wanaishusha.Hivyo hivyo wakienda Dar per capita yake wataishusha.Per capita sanasana inapima average ya quality of life,wakichukua GDP gawa kwa idadi watu. Mwaka jana si walisema zinazoongoza kwa quality of life ni Njombe, Dar na Kilimanjaro?

Sasa kwa nini mtu mwanza asiende Njombe ila badala yake wa Njombe au Kilimanjaro anakimbilia huku? Hapo unapata jibu kuwa per capita sio kipimo cha kupima nguvu ya uchumi wa nchi au jiji.Na huwa tunapredict kuwa tunataka hadi kipindi fulani GDP yetu ifikie kiasi fulani,na sio hicho unakomalia wewe.

Kwa maana hiyo, miji yote duniani huwa inapangwa kwa GDP ranking.Kwamba Tokyo tops the list of wealthiest cities in the world because of it's GDP($1.5 trillions). Au kama unalisti waliyopanga tofauti na hivyo weka hapa. So mambo ndo yapo hivyo,kulazimisha mambo mnaonekana kichwa ngumu na wajinga.

Again: Dar es salaam $ 25 Billions... Mwanza $ 4 Billions.

Case closed.
 
Unajua shida hujaelewa mada inasema nini!,Hapa tunazungumzia majiji(CITY COUNCIL)siyo mkoa mzima,Kwa takwimu za sensa ya mwaka 2012 Arusha (Jiji) lilikuwa na watu zaidi ya laki 4 lakini Mwanza (Jiji)lilikuwa na watu zaidi ya milioni 2
Mkuu acha kudanganya uma, Mwanza ni kubwa na nzuri kuliko Arusha kwa maoni yangu sababu nimeishi majiji yote na hivi sasa nipo moja ya haya majiji lakini takwimu zako sio za kweli.

Mwanza City haikuwa na watu mil. 2 sensa ya 2012, kama ilikuwa na watu laki 7 japo kwa sasa Mwanza inaongezeko kubwa la watu yaani ukitembelea masoko au viunga mbalimbali vya jiji hasa nyakati za jioni unaweza usiamini macho yako.

Hii ni fursa nzuri ya kibiashara hivyo ni vyema wawekezaji hasa walioko Dar waache kubanana huko waende Mwanza wanaweza pata faida maradufu maana soko lipo na kuna mzunguko mkubwa wa pesa usio na msimu, maana asubuhi watu wanauza dagaa samaki na mabondo na jioni pia hivyo hivyo hii hulifanya jiji la mwanza kuwa na mzunguko wa pesa wa uwakika kwa waliyewahi kutembelea masoko ya samaki ya Mwanza ya kirumba, sabasaba, ilogazara, Mwaloni watanielewa.
 
Back
Top Bottom