we kua na heshima na maswali yakoKwanini unauliza swali hilo la kimasihara namna hiyo?
Unasoma darasa ngapi!?we kua na heshima na maswali yako
jitathimin ujiulize y chuga mlinyanganywa hadhi ya jj had mlipopewa tena na jk 2012?
arusha hotel zenu za mchin zisiwapagawishe mkajiona ni bora sana
in reality arusha cty ni sawa tu na nyamagana
Sasa Arusha aliyekwambia Jiji la Arusha lina mbuga ya wanyama nani? mbuga za wanyama Ngorongoro, hapa tunachoongelea ni Jiji kama jiji
Hapo Kwenye shopping mall umeteleza mkuu, huenda hujazunguka vizuri mji wa Dar, napia kwenye running way ikitoka JK na KIA inafata Songwe international AirportNtaanza na arusha,
*population ndogo naiko cetralized haija tanuka na bado mji umejifinya
*utalii ndo moyo wa arusha:
*climatic condition nzuri
*sehemu za starehe nyingi
*maisha yako juu sababu ya utalii
*barabara nzuri na kiwango sana
*biashara ni zile zinazo husika na utalii tu, nje ya hapo hamna kitu
*uchangamfu wa mji uko vizuri
*majengo marefu yapo ya wastani
*usafi na mpangilio wa mji kawaida
*huduma za afya wastani nadhani arusha rufaa ni KCMC iko kilimanjaro
* bado kuna tu hice katikati ya mji na noa kama vyombo vya usafiri
Mwanza
*population kubwa na mji ni umetanuka sana hakuna utengano wa ilemela, nyamagana, misungwi na magu(kisesa) unaeza jua ni mji mmoja
* kila biashara mpaka utalii unafanyika mwanza
*climatic condition ya wastani
*sehemu za starehe ni nyingi sana
*maisha very cheap, yoyote anaishi mwanza
*bara bara nzuri kiwango kawaida
*uchangamfu wa mji wakiwango cha juu
* majengo marefu yapo mengi
*usafi na mpangilio wa mji uko vizuri kulingana na ukubwa wa mji
*huduma za afya rufaa ni BUGANDO, kuna zngine zenye hadhi kama uhuru hospital, mwananchi, kwasabato pale pasiansi.
*urefu wa root za costa, mwanza ina ruti ndefu zaid kuliko arusha na hakuna noha ingawa hice bado zipo zipo
FACTS
*Kwa root za ndani za ndege mwanza - Dar dar -mwanza ndio root inayo ongoza kwa root za ndani za ndege na mapato pia!
*mwanza ndio air port yenye run way kubwa kuliko zote Tanzania
*mwanza ndio mji unao weza kufika nchi zote za afrika ya mashariki kuliko mkoa wowote tanzania
*mwanza ndio jiji pekee linalo jengwa kwa mapato ya wanajiji lake tofauti na dar, dodoma na hiyo arusha
*mwanza ndio jiji lenye shoping mall kubwa tanzania
*mwanza air port kwa sasa baada ya DSM na KIA ndio airport ndege inaweza nyanyuka moja kwa moja mpka taifa lolote lile duniani!!
*mwanza ndio mji wenye meli nyingi baada ya DSM
NB: arusha ni jiji lakini hata rank za kiserikali,
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Mjipange wenyewe huko!!
Wew unaishi tz ya wap?Jiji la Mwanza halina halmashauri mbili kama unavyodai. Tembelea tovuti ya Tamisemi kwa clarity zaidi
sawa sasa wewe ndugu huoni aibu hapo maana bln 21 vs bln 17 as far as population is concernedNi kweli Arusha city(17,978,653,000) imeoneka kuwa na pato kubwa kuliko Mwanza city(13,785,496,776) kwenye ripoti uliyoambatanisha, lakini Mwanza ina manispaa ya Ilemela pia(8,051,895,514) ambayo inajitegemea kimapato hata kwenye hiyo ripoti yako. Hivyo basi ukijumulisha pato la Mwanza Jiji na Ilemela manispaa utapata (21,837,392,290) where Arusha city itazidiwa. So Mwanza itaendelea kuwa bora zaidi ya Arusha hata kama ukiamua kutumia mapato kama kilinganishi cha miji hii shindani.
Ahsante kwa takwimu.
serikali imejenga jiji la arusha wapi? weka maelezoMoja ya sifa ya jiji ni kwamba ni jiji lililojengwa na kuendelezwa na wana Mwanza wenyewe kwa upambanaji wao sio kama majiji ya Dar, Arusha na Dom yanayojengwa na serikali.
Mleta mada next time usiilinganishe Mwanza na hiyo mbuga ya wanyama
acha uchuro mkuu,kila mji una aina ya shughuli kuu.Pale mwanza bila uvuvi hakuna maisha..pili kwani ukitoa dar na pwani viwanda vingi vinapatikana wapi zaidi ya arusha? kwamba huko arusha kila myu yuko sekta ya utalii au..muwe mnafikiria kabla ya kuandikaBinafsi Kama mkazi temporale wa Arusha, Arusha bila utalii ni hovyo sana , mwanza ni mji mkubwa sana haswa kwa coverage na population na wanashughuri nyingi sana za kuwaingizia kipato tofauti na chuga, chuga ni utalii sana, wenye kampuni za utalii na watu wa madini ndo wenye ela the rest kiana tu,
Kingine Arusha maisha ni tough sana kwa mwanainchi wa kipato cha chini kisa hawa watalii wanakuja ku spend san huku na kuifanya hela kuwa nyepesi kupatikana kumbe hawajui maisha kwa watu wa kawaida yanapanda
we jamaa kajipange,huko mwanza mumelundikana lakini hakuna pesa..Tofauti na Dar na Dodoma ,Arusha ndio jiji ukienda baada ya mwaka unakuta mji umebadilika maana majengo yanasimama kila sikuNtaanza na arusha,
*population ndogo naiko cetralized haija tanuka na bado mji umejifinya
*utalii ndo moyo wa arusha:
*climatic condition nzuri
*sehemu za starehe nyingi
*maisha yako juu sababu ya utalii
*barabara nzuri na kiwango sana
*biashara ni zile zinazo husika na utalii tu, nje ya hapo hamna kitu
*uchangamfu wa mji uko vizuri
*majengo marefu yapo ya wastani
*usafi na mpangilio wa mji kawaida
*huduma za afya wastani nadhani arusha rufaa ni KCMC iko kilimanjaro
* bado kuna tu hice katikati ya mji na noa kama vyombo vya usafiri
Mwanza
*population kubwa na mji ni umetanuka sana hakuna utengano wa ilemela, nyamagana, misungwi na magu(kisesa) unaeza jua ni mji mmoja
* kila biashara mpaka utalii unafanyika mwanza
*climatic condition ya wastani
*sehemu za starehe ni nyingi sana
*maisha very cheap, yoyote anaishi mwanza
*bara bara nzuri kiwango kawaida
*uchangamfu wa mji wakiwango cha juu
* majengo marefu yapo mengi
*usafi na mpangilio wa mji uko vizuri kulingana na ukubwa wa mji
*huduma za afya rufaa ni BUGANDO, kuna zngine zenye hadhi kama uhuru hospital, mwananchi, kwasabato pale pasiansi.
*urefu wa root za costa, mwanza ina ruti ndefu zaid kuliko arusha na hakuna noha ingawa hice bado zipo zipo
FACTS
*Kwa root za ndani za ndege mwanza - Dar dar -mwanza ndio root inayo ongoza kwa root za ndani za ndege na mapato pia!
*mwanza ndio air port yenye run way kubwa kuliko zote Tanzania
*mwanza ndio mji unao weza kufika nchi zote za afrika ya mashariki kuliko mkoa wowote tanzania
*mwanza ndio jiji pekee linalo jengwa kwa mapato ya wanajiji lake tofauti na dar, dodoma na hiyo arusha
*mwanza ndio jiji lenye shoping mall kubwa tanzania
*mwanza air port kwa sasa baada ya DSM na KIA ndio airport ndege inaweza nyanyuka moja kwa moja mpka taifa lolote lile duniani!!
*mwanza ndio mji wenye meli nyingi baada ya DSM
NB: arusha ni jiji lakini hata rank za kiserikali,
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Mjipange wenyewe huko!!
Kwamba mwanza hapajengwi.w
we jamaa kajipange,huko mwanza mumelundikana lakini hakuna pesa..Tofauti na Dar na Dodoma ,Arusha ndio jiji ukienda baada ya mwaka unakuta mji umebadilika maana majengo yanasimama kila siku
acha kukurupuka kama hii sio futuhi,tulia usome kwa makini nilichoandika..nimesema kasi ya ujenzi hasa majengo ya ghorofa ni kubwa kwa Dar,Dom na Arusha kiasi kwamba ukienda baada ya mwaka unakuta mabadiliko ,miji mingine inajikongoja ukiwemo mwanza..kwa mwanza labda vijumba vya kawaidaKwamba mwanza hapajengwi.
Mwanza imepanuka kiasi kwamba wilaya za magu zimeanza kuvamiwa( kisesa) na wilaya ya misungwi ( usagara na nyashishi).
Mjini Kati kuna majengo kibao yanajengwa bila kusahau huko busweru Hadi isela watu wanajenga sana
Wewe unamjua ChoiceVariable wewe? Itakuwa ndo unakutana nae mara ya kwanza sekta hizi.Watu washanyanyua mikono hapo.Saa mbili hii wahi kazini.Kwamba mwanza hapajengwi.
Mwanza imepanuka kiasi kwamba wilaya za magu zimeanza kuvamiwa( kisesa) na wilaya ya misungwi ( usagara na nyashishi).
Mjini Kati kuna majengo kibao yanajengwa bila kusahau huko busweru Hadi isela watu wanajenga sana
Eti mwanza inajikongoja!!!acha kukurupuka kama hii sio futuhi,tulia usome kwa makini nilichoandika..nimesema kasi ya ujenzi hasa majengo ya ghorofa ni kubwa kwa Dar,Dom na Arusha kiasi kwamba ukienda baada ya mwaka unakuta mabadiliko ,miji mingine inajikongoja ukiwemo mwanza..kwa mwanza labda vijumba vya kawaida
Namfahamu vzr.Wewe unamjua ChoiceVariable wewe? Itakuwa ndo unakutana nae mara ya kwanza sekta hizi.Watu washanyanyua mikono hapo.Saa mbili hii wahi kazini.
Acha utoto!Eti mwanza inajikongoja!!!
Mwanza hii inayojenga stendi mbili Kwa wakati mmoja nyegezi,na nyamhongolo.
Mwanza hii inayojenga soko kuu pale mjini Kati.
Mwanza hii kunapojengwa jengo kubwa la wasafiri wa ndege.
Mwanza hii kunapojengwa meli mpya kubwa na nyingine mbili zimekarabatwa na bandari ya kusini imejengewa chelezo la kujengea meli.
Mwanza hii ambayo barabara za busweru national, busweru ilemela, zipo zinajengwa.
Mwanza hii ambayo hiace zinaanza kufifia mjini na macosta tena Yale marefu yanaongezeka Kwa Kasi.
Nk nk.
Mnatapa tapa sana nyie..utasikia mwanza inajijenga yenyewe sio serikali sasa hiyo miradi sio ya serikali? Kwanza hoja yangu ilikuwa kiujumla jumla kati ya sekta binafsi na serikali na hasa kwenye majengo ya sekta binafsi Arusha imechangamka na iko speed kuliko Mwanza..tukianza ku mention miradi hapa mtakimbia ndio maana kuna mdau kasema acheni utotoEti mwanza inajikongoja!!!
Mwanza hii inayojenga stendi mbili Kwa wakati mmoja nyegezi,na nyamhongolo.
Mwanza hii inayojenga soko kuu pale mjini Kati.
Mwanza hii kunapojengwa jengo kubwa la wasafiri wa ndege.
Mwanza hii kunapojengwa meli mpya kubwa na nyingine mbili zimekarabatwa na bandari ya kusini imejengewa chelezo la kujengea meli.
Mwanza hii ambayo barabara za busweru national, busweru ilemela, zipo zinajengwa.
Mwanza hii ambayo hiace zinaanza kufifia mjini na macosta tena Yale marefu yanaongezeka Kwa Kasi.
Nk nk.
Haya bishana na hizi shida mnabisha bisha tu hamjui hata mnabisha niniHapo Kwenye shopping mall umeteleza mkuu, huenda hujazunguka vizuri mji wa Dar, napia kwenye running way ikitoka JK na KIA inafata Songwe international Airport
Ntaanza na arusha,Ntaanza na arusha,