Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Wewe huijui Mwanza! eti bila uvuvi Mwanza hakuna kitu,Mwanza kuna kila aina ya shughuli za kiuchumi na zote zipo vizuri ila Arusha bila utalii watu wanalala njaa
 
w

we jamaa kajipange,huko mwanza mumelundikana lakini hakuna pesa..Tofauti na Dar na Dodoma ,Arusha ndio jiji ukienda baada ya mwaka unakuta mji umebadilika maana majengo yanasimama kila siku
Kwa hiyo Mwanza ndo hayasimami hayo majengo si ndio, yani majengo ya Mwanza unataka kuyalinganisha na tumajengo twa Arusha tunatohesabika..!
 
No bias Niko Mwanza nina mpango wa kuondoka soon. Arusha inapata kura yangu no offense. Biashara hapa inategemea sana ni ya nini. Majority ya watu hali mbaya.
 
Arusha bado wanatumia Noah na hiace halafu route sasa utacheka mwenyewe
 
No bias Niko Mwanza nina mpango wa kuondoka soon. Arusha inapata kura yangu no offense. Biashara hapa inategemea sana ni ya nini. Majority ya watu hali mbaya.
Pole mkuu, lakini wewe unafikiri umeshindwa kufanikiwa kwenye biashara yako kwa sababu unafanyia mwanza? vipi kuhusu maelfu ya biashara zilizofanikiwa hapo mwanza tena nyingi za watu kutoka mikoa ya kaskazini, jitathimini vizuri kabla hujahama kuja arusha pengine kuna ulichokosea kwenye biashara yako maana hata arusha biashara nyingi sana zinafungwa pengine kutoka na mdororo wa kiuchumi kwa ujumla
 

Duh! Mwanza ni
🔥🔥🔥🔥
 
 
Wewe huijui Mwanza! eti bila uvuvi Mwanza hakuna kitu,Mwanza kuna kila aina ya shughuli za kiuchumi na zote zipo vizuri ila Arusha bila utalii watu wanalala njaa
Nje ya Dar na Pwani viwanda vingi na biashara kubwa iko Arusha,njaa ipi unayoizungumzia wewe tofauti na hiyo ya huko kwenu?
 
Aibu gani mkuu? kwani 21b vs 17b ipi kubwa? na arusha kufikisha hiyo 17b probably ni makusanyo ya kipindi cha high season ya utalii no wonder kipindi cha low season makusanyo ni less than that
acha wishful thinking ukiacha utalii arusha ni jiji la viwanda
 
Wasaidie na hii kama hawajui, mwanza ndio jiji lapili kuupokea mradi wa BRT tanzania, wakati wanapambana na NOHA na vile vihice mikate jijiniView attachment 1486829
yaani unazungumzia stori za kwenye makaratasi hata renders bado wakati wenzenu kuna dual carrige inajengwa kuanzia arusha moshi hadi holili mpakani nyie mnaleta stori hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…