Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Mkuu tulia uinjoi shoo, Arusha haifikii hata robo Mwanza ambayo ni miongoni mwa majiji pendwa Afrika mashariki, Mwanza imekuwa jiji kitambo sana kipindi ambacho Arusha ilikiwa bado wilaya. Arusha jaribu kidogo kuifananisha na Iringa si Mwanza.
huo uwongo umefundishwa na nani? Mwanza, Arusha, Mbeya na Tanga zote zilitangazwa kuwa majiji siku moja kwa azimio la Bunge Brigedia Hassan Gwilizi akiwa Waziri wa Ardhi, Nyum,ba na Maendeleo ya Makazi. Mji haujitangazi tu kuwa jiji, bali kwa azimio la Bunge. Ndo maana hata baada ya Rais kusema Dodoma itakuwa jiji Azimio lilipelekwa Bungeni mara moja.
 
Thread closed, huu ndo ukweli
 
Tunahitaji kupata maoni mazuri yenye mantiki yatakayotusaidia sote. Mengi ya maoni yatakayotolewa yawe na shahidi za kitafiti zaidi.

Tuepuke hasira, matusi na kejeli katika mjadala huu. Tusitumie hisia kuliko facts mbadala.
Arusha haiwez kuifikia mwanza hta nusu mzee kma arusha wanajisifia kwa utalii hta mwanza wao pia wanajisifia kua kituo kikuu cha mzunguko wa pesa kanda ya ziwa yote
Arusha kuifikia mwanza ngumu sana na haitoweza
 
Arusha haiwez kuifikia mwanza hta nusu mzee kma arusha wanajisifia kwa utalii hta mwanza wao pia wanajisifia kua kituo kikuu cha mzunguko wa pesa kanda ya ziwa yote
Arusha kuifikia mwanza ngumu sana na haitoweza
Any vivid facts?
 
Hii ata kwa akili ya kawaida tu haiingii kichwan yan Mwanza imepitwa Hadi Na Singida, Iringa Lindi, Kagera??? Ahaahahah aliesema tupewe Elimu Elimu Elimu hakukosea
Nadhani utakuwa umeangalia Mtiririko wa Region zilivyopangwa ndo ukaja na hii comment; Angali Figure, i hope utaelewa brother
 
Kumbe jf kuna hadi wakimbizi! Mi nilijua kuna wabongo tu.
 
Nje ya Dar na Pwani viwanda vingi na biashara kubwa iko Arusha,njaa ipi unayoizungumzia wewe tofauti na hiyo ya huko kwenu?
Ningekuelewa kama Mwanza kungekuwa hakuna viwanda na biashara, Arusha uchumi wake unategemea wageni kutoka nje, kukiwa na upungufu wa wageni wana Arusha wanatapatapa.

Nakupa mfano wakati wa corona wageni walivyopigwa stop na nchi zao kutoka kwenye nchi zao

wauza vitu vya asili,

wachonga vinyago,

watembeza wageni,

wamasai wauza sendo na

exportation ya maua ilikoma.

Kwenye vyombo vya habari watu walikuwa walalama, wote walikuwa wanalia hakuna wanachopata na hapo kuna familia zinawategemea, Case ya dizaini hiyo uliiona Mwanza wakati wa corona?
 
Weka takwimu acha porojo. Ni kwa % ngapi raia wa Arusha jiji kipato chao cahatokana na utalii?
 
rudi darasani ukasome tena au google tu ujue mwanza ilipandishwa hadhi kua jiji mwaka gan ?
 
Jiji la Mwanza linaundwa na Manispaa mbili

1. Ilemela
2. Nyamagana

Arusha inaundwa na Manispaa ngapi?

Mwanza inaweza kusavaivu bila Utalii, Arusha utalii ukisheki nayo inasheki!

Acheni kuifananisha Mwanza
Arusha City ni Arusha+Arumeru
 
Jiji la Arusha liko juu. Unataka tukuuzie mojawapo kati ya hayo majiji mzee?
revenue refers to the sum of individual income taxes, business income taxes and other tax revenues a government collects over a given period of time, usually one year. Gross domestic product is the total value of goods and services a nation's economy produces.
 
Mwanza jiji mshindanii wake ni DAR, Arusha iendelee kushindanishwa na Dodoma na akina Mbeya.
 
yaani unazungumzia stori za kwenye makaratasi hata renders bado wakati wenzenu kuna dual carrige inajengwa kuanzia arusha moshi hadi holili mpakani nyie mnaleta stori hapa
Icho unachosema mwanza kisha jengwa na kinakuja cha pili yake na watu tayari wako site, kuanzia kigongo (busisi) linapojengwa daraja kubwa east and central afrika, mpka usagara kuja mjini kati, ukitaka render tembelea site ya mwanza city council!! Na kandarasi ni CRJE. Pole sana![emoji28][emoji119]
 
Najari ku image raisi bush alivyokuja arusha kumbe aliexperience maisha kama ya iringa kwa wakat huo..

Swali langu n hili ivi iringa kwanini makao makuu ya east African community yasingekuwa huko , achilia mbali geographical location maana mengine umesema yanafanana

Mkuu tulia uinjoi shoo, Arusha haifikii hata robo Mwanza ambayo ni miongoni mwa majiji pendwa Afrika mashariki, Mwanza imekuwa jiji kitambo sana kipindi ambacho Arusha ilikiwa bado wilaya. Arusha jaribu kidogo kuifananisha na Iringa si Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…