wewe uliyesema wanajenga ndio thibitisha la sivyo ni porojoIcho unachosema mwanza kisha jengwa na kinakuja cha pili yake na watu tayari wako site, kuanzia kigongo (busisi) linapojengwa daraja kubwa east and central afrika, mpka usagara kuja mjini kati, ukitaka render tembelea site ya mwanza city council!! Na kandarasi ni CRJE. Pole sana![emoji28][emoji119]
Hivi nyie hiyo iringa ina nini au mnaipendea kipi hasa hadi muwe mnaipigia promo hivyo maana haina hata mandhari nzuri ya kimazingira kuzidi arusha,mbeya,babati au Njombe..Pia Iringa ni semi arid sasa hizo sifa za iringa ni zipi hasa mbona siwaelewiNajari ku image raisi bush alivyokuja arusha kumbe aliexperience maisha kama ya iringa kwa wakat huo..
Swali langu n hili ivi iringa kwanini makao makuu ya east African community yasingekuwa huko , achilia mbali geographical location maana mengine umesema yanafanana
Arusha haihusiani na Arumeru but ukiamua ku combine na Arumeru basi Arusha itakuwa na mapato engi kupita mwanza jiji combine na manispaa zakeArusha City ni Arusha+Arumeru
kwa mdomo iko juu ila kiuhalisia sasa inanuka umaskiniMwanza iko juu
kwa hiyo mzee ukaona uweke hako ka section ka chini ya daraja ili kujifariji wakati wenzako Arusha ni km za kuzidi,we jamaa bwana,Mwanza bado sanaBarabara ya chini ya hili daraja ni lanes ngapi?
Hiyo ni added advantage ambayo Arusha wanayo over mwanza,je ulikuta biashara zingine tofauti na hizo hazifanyiki arusha kwa sababu wageni hawajaja? mkuu mwanza mnayumba saana sijui mnakwama wapi,moo weeengi lakini kipato sifuriNingekuelewa kama Mwanza kungekuwa hakuna viwanda na biashara, Arusha uchumi wake unategemea wageni kutoka nje, kukiwa na upungufu wa wageni wana Arusha wanatapatapa.
Nakupa mfano wakati wa corona wageni walivyopigwa stop na nchi zao kutoka kwenye nchi zao
wauza vitu vya asili,
wachonga vinyago,
watembeza wageni,
wamasai wauza sendo na
exportation ya maua ilikoma.
Kwenye vyombo vya habari watu walikuwa walalama, wote walikuwa wanalia hakuna wanachopata na hapo kuna familia zinawategemea, Case ya dizaini hiyo uliiona Mwanza wakati wa corona?
Wasaidie na hii kama hawajui, mwanza ndio jiji lapili kuupokea mradi wa BRT tanzania, wakati wanapambana na NOHA na vile vihice mikate jijiniView attachment 1486829
Asante mkuuJiji la Mwanza linaundwa na Manispaa mbili
1. Ilemela
2. Nyamagana
Arusha inaundwa na Manispaa ngapi?
Mwanza inaweza kusavaivu bila Utalii, Arusha utalii ukisheki nayo inasheki!
Acheni kuifananisha Mwanza
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]Na kama Bangi na marastafari wanaolelewa na vibibivya kizungu ni utajiri then Arusha iko juu.
Huwezi linganisha Rock City na arusha hata siku1.Mwanza tumezungukwa na Border 3 ambayo ni kenya rwamda na uganda.na pia tumezungukwa na migodi ya Dhahabu pamoja na Almasi
Vilevile mwanza tunalima zao linaloingizia pato la kitaifa nchi yetu.zao la Pamba(white gold)
Papo hapo International Airport ipo mbioni kukamilika siku ndege zikianza kutua Direct frm Dubai to Mwanza au Frm China to Mwanza kwanza utalii Arusha utakufa
Kwasababu frm Arusha to Serengeti ni Karibia na 400km lkn frm Mwanza to Serengeti ni 100km tu
Pia mikoa mbalimbali pamoja wilaya zake watakuja watu kupandia ndege mwanza
Kwa mfano mtu atatoka Singida au kahama kuja kupanda ndege mwanza kuelekea Amsterdam mtu atatoka musoma au bukoba au kahama au geita au simiyu au shinyanga kuja mwanza kusafiri kwenda nje hapo wafanyabiashara wa mahoteli watapata riziki zao na pia wafanyabiashara wadogo wadogo ndio itakuwa fursa kwao
Hapo sasa mwanza ndi9 itakuwa untouchable na tutaanza kuifkuzia dar
Hiyo ni added advantage ambayo Arusha wanayo over mwanza,je ulikuta biashara zingine tofauti na hizo hazifanyiki arusha kwa sababu wageni hawajaja? mkuu mwanza mnayumba saana sijui mnakwama wapi,moo weeengi lakini kipato sifuri
Arusha haihusiani na Arumeru but ukiamua ku combine na Arumeru basi Arusha itakuwa na mapato engi kupita mwanza jiji combine na manispaa zake
Hahaha mkuu umenivunja mbavu mie naishi kishiri hapa..ivi unajua kutoka singida to kia ni km ngapi?hata ipite miaka mingapi mwanza itaizidi arusha kwa population but siyo utajiri na fursaHuwezi linganisha Rock City na arusha hata siku1.Mwanza tumezungukwa na Border 3 ambayo ni kenya rwamda na uganda.na pia tumezungukwa na migodi ya Dhahabu pamoja na Almasi
Vilevile mwanza tunalima zao linaloingizia pato la kitaifa nchi yetu.zao la Pamba(white gold)
Papo hapo International Airport ipo mbioni kukamilika siku ndege zikianza kutua Direct frm Dubai to Mwanza au Frm China to Mwanza kwanza utalii Arusha utakufa
Kwasababu frm Arusha to Serengeti ni Karibia na 400km lkn frm Mwanza to Serengeti ni 100km tu
Pia mikoa mbalimbali pamoja wilaya zake watakuja watu kupandia ndege mwanza
Kwa mfano mtu atatoka Singida au kahama kuja kupanda ndege mwanza kuelekea Amsterdam mtu atatoka musoma au bukoba au kahama au geita au simiyu au shinyanga kuja mwanza kusafiri kwenda nje hapo wafanyabiashara wa mahoteli watapata riziki zao na pia wafanyabiashara wadogo wadogo ndio itakuwa fursa kwao
Hapo sasa mwanza ndi9 itakuwa untouchable na tutaanza kuifkuzia dar
Haya bwana ngoja tuendelee kujivinjari makoroboi na fumagila ukuArusha haiwez kuifikia mwanza hta nusu mzee kma arusha wanajisifia kwa utalii hta mwanza wao pia wanajisifia kua kituo kikuu cha mzunguko wa pesa kanda ya ziwa yote
Arusha kuifikia mwanza ngumu sana na haitoweza
Haya bwana ngoja tuendelee kula vumbi la muhandu na sangabuye via igombe to kayenze kote jiji uko[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanza na arusha wapi na wapi [emoji3] nyie level yenu mbeya na dom.