OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Wewe utazunguka tu lakini ukweli unajua kabisa maisha ya watu wa mwanza ni magumu kuliko. Wachaga wote wakiondoka hapo mwanza tunajua kitakachotokea. ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]GDP ni indicator kubwa ya pato la Mkoa, nimefanikiwa kupata records za 2018 Arusha mnachozidi Mwanza ni Per capital income tu japo aibebi uhalisia wa utajiri wa kila mkazi wa Arusha. Tanzania: GDP at current prices, by region | Statista
View attachment 1744458
Aahahaaaa per capital income ndio ina amua. Nimeeleza huko juu Arusha ina watu wenye kipato kikubwa sana japo ni wachache wakitafuta wastani kwa population ya Arusha ndio maaana figure zinaonekana kubwa..Asalimia 42% ya wakazi wa mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla ni masikini wa kutupwa, halafu anakuja mchato mmoja hapa au mgeita au anadai mwanza ni zaidi ya Arusha..kweli???
Ivi vivuko ndo vinawapa kiburi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasukuma wakijaga Arusha hawarudigi tena mwanzaView attachment 1744806
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mkuu fanyeni kazi acheni kuleta porojo. Like ziwa Victoria lina wabeba sana.Aahahaaaa per capital income ndio ina amua. Nimeeleza huko juu Arusha ina watu wenye kipato kikubwa sana japo ni wachache wakitafuta wastani kwa population ya Arusha ndio maaana figure zinaonekana kubwa..
Pita Sinoni, uone nyumba za topeeeMkuu fanyeni kazi acheni kuleta porojo. Like ziwa Victoria lina wabeba sana.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nyamagana ni manispaa toka lini nduguTunapoteza nguvu tu hapa kubishana vitu visivyo na maana wakati ukweli unajulikana HUWEZI KULINGANISHA JIJI LENYE MANISPAA MBILI NA KAJIJI KENYE MANISPAA MOJA YA KUUNGA UNGA.Itoe Nyamagana pembeni, Arusha jiji ilinganishe na manispaa moja tu ya ilemela
Mapanki unatoka kwenye mkoa maskini afrika😃😃View attachment 1744497
View attachment 1744498
Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?
Asalimia 42% ya wakazi wa mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla ni masikini wa kutupwa, halafu anakuja mchato mmoja hapa au mgeita au anadai mwanza ni zaidi ya Arusha..kweli??? Ivi vivuko ndo vinawapa kiburi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wasukuma wakijaga Arusha hawarudigi tena mwanza Sent...www.jamiiforums.com
Duh! We jamaa uwe una-update kichwa chako angalau Mara moja kwa mwaka (kuhusu masuala ya "population").Acha fix mwanza haiwezi kufika watu milioni moja, sensa ya mwisho 2012 mwanza ilikua na watu 650000 kwa growth rate kwa mwaka haizidi asilimia 5 ,sasa kwa staili hiyo watu milioni moja na laki mbili wanafikaje.
View attachment 1744497
View attachment 1744498
Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?
Asalimia 42% ya wakazi wa mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla ni masikini wa kutupwa, halafu anakuja mchato mmoja hapa au mgeita au anadai mwanza ni zaidi ya Arusha..kweli??? Ivi vivuko ndo vinawapa kiburi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wasukuma wakijaga Arusha hawarudigi tena mwanza Sent...www.jamiiforums.com
Wewe ulipita sinoni 2010 njo pita leo uone ..Pita Sinoni, uone nyumba za topeee
Unaweza ukawa umezaliwa mwanza na usiifahamu vizuri. Magu pia ni mwanza, misungwi sengelema nk yote ni mwanza. Unapoongelea city center ya Mwanza huwez kufananisha na miji mingine yote ukiacha DarMimi nimezaliwa Mwanza ila swala la muonekano kwa juu tukiacha ushabiki hakuna tofauti kubwa kati ya Mwanza na Arusha. Tofauti kubwa ni population na ukubwa wa jiji la Mwanza.
Kumbe mabingwa wa mbwembwe na lugha za malkia(unigambire stupid mbere ya mai waifu) vyoo ni tatizo kubwa sana? SalaleeeehHivi munapata wapi ujasiri wa kuilingnisha Arusha na mwanza aise.
Hii mwanza ambayo vyoo ni shida tu ndo muilinganishe na Jiji kama Arusha.? Wasukuma bana [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1744805
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kiongozi unabishana na hao jamaa mate yatakukauka, wewe wakubalie tu wanachotaka kwamba Arusha ni second city nyuma ya Dar, kiuhalisia Arusha+Arusha+Arusha= MWANZA, Alafu Arusha×4=DAR.Shujaaa kwao ni Geita hizo meli hata hazina ratiba ya Geita, Ukarabati tu wa Airport ya Mwanza investment yake unapata Airport mbili za Chato mpya na Chenji inabaki. Daraja na SGR vyote vinajengwa Mwanza na sio Geita. Wacheni kumsema Shujaa ambae bado aliwakumbuka kwa meter gauge rail way iliyokufa kwa zaidi ya miaka 30. Bado akawapa dual carriage road kutoka USA, Barabara la Mzunguko East Africa road.
Serikali makini inapekeka pesa inapoweza kutengeneza mapato zaidi.
projects zote zimejengwa na serikali hii hii ambayo atcl imepata hasara kwa miaka mitano mfululizo na mmepewa miradi ili kuiundermine arusha ili mwanza ionekane iko juu...Real investment unaona kwa private investors wao hawawezi kuinvest kwenye hasara ndo maana hamna serious investmet inayoweza kufanywa mwanza na private sector mkoa wenye population kubwa ya maskini wasiojielewa..Arusha kuna 10+ floor buildings zaidi ya 20 mwanza hata 10 hamna, baada ya dar na pwani Arusha inafuata kwa viwanda working population huku ni kubwa mno nyie wengi mnajichimbia ziwani na vichakan hamna investmet vijana wanakosa ajira ndo maana mnaongoza kwa umaskini kumbuka huku kuna soko la madini afrika, hotels tumewaacha zaidi ya mara 5 tuna viwanda hadi vya kuassemble magari (hanspaul) ila nyie hadi Mall mnajengewa na serikali. Bongo lalaz😎 na ndio maana hata biashara hamuwezi hadi tuje tuwafungulie mji wenyewe umepoa kazi kuzaliana tu kama nyumbu