Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Kitombile kitombile
Unajua maana ya serikali
Kwahio halmashauri sio serikali
Na hiyo lapf ni shirika la Nini
Hamna mwekezaji serious anayeweza wekeza Mwanza
Ondoka huko ziwani panakudumaza akili 😎
Shauri yako
 
Kitombile kitombile
Unajua maana ya serikali
Kwahio halmashauri sio serikali
Na hiyo lapf ni shirika la Nini
Hamna mwekezaji serious anayeweza wekeza Mwanza
Ondoka huko ziwani panakudumaza akili [emoji41]
Shauri yako

Kitombile hajui tofauti kati ya central gov na local gov
Hii ndio shida ya wasukuma,
Shule hawataki alafu wakija mtaani wanatusumbua
 

Kitombile akili huna halmashauri ya jiji la mwanza ni serikali pia inaangukia kwenye local government
Ungeenda shule usingekuja kutusumbua huku

Narudia tena kasome shule ni muhimu
 
Haaa sgr Arusha wataishia kuisoma kwenye vichwa vya habari tu.
 
Washamba wapo Arusha asee,mtu unamguu wa kuvaa namba 38 anaenda kununua kiatu namba 45 na shati over size.
Ni mkoa gani watu wanavaa tai na shati over size,raba over size kama sio Arusha?
 
Haaa sgr Arusha wataishia kuisoma kwenye vichwa vya habari tu.
Mwendazake hayupo tena 😄😄
Nani asiyejua kua sgr ya musoma arusha tanga ilikua planned tangu kipind cha jk
Nani asiyejua sgr plan ya kwanza kabisa ilifanyika 2012 ya arusha to Moshi
Jiulize mabasi mengi ya abiria kutoka dar yanaenda wapi kama sio Arusha Na Moshi
Anyway tuna utawala mpya let's wait and see Kwa sababu sgr ilipangwa ije Arusha kusolve tatizo la msongamano kumbuka barabara ya arusha to moshi ndio inaongoza kwa magari mengi kati ya mkoa Na mkoa
Sasa ngoja uone kwanini unaambiwa adui yako mpende
Biashara ya mabasi itaendelea kama kawaida Arusha Na wenye mabasi wataendelea kunufaika
Biashara ya mizigo Kwa wenye malori hivyo hivyo
Sasa turudi Kanda ya ziwa Kwa nyie wavuvi mikoa inayoongoza Kwa umaskini😎
Yaani ndio maskini ananyanywa hata kidogo alicho nacho
Biashara ya mabasi itakufa, vijana wenu watakosa ajira hata za utingo kwenye malori, zile biashara za malori zitakufa mbaya zaidi pesa zenu za nauli zinarudi serikalini Kwa sababu mradi ni wa serikali chini ya mama Samia Sasa😄
Sasa hebu jiulize hapa who wins in this???
 
Mabasi gani tena hayo? Kanda ya ziwa inaongoza kwa kuwa na idadi ya safari za mabasi na safari za ndege kutoka DAR - Mwz-BKB. Mwanza tayari kwa kuliona hilo la Mabasi wanaongeza Idadi ya stand za Mabasi kufikia Stand mbili. Stand kuu ya NYEGEZI na Stand ya Nyamhongolo. Na hizo Stand zote ujenzi unaendelea. Wenye picha naomba muwasaidie hawa vijana wenye meno ya dhahabu washangae .[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
😄😄
 
Umeandika pointless tupu hapa.
Faida za sgr ni nyingi kuliko hasara,Ni vile hukujua namna ya kupambana hapa kwa hoja ndo maana umechorachora tu.
 
Mkuu si ushamba ni swagger ya Ar hiyo[emoji1]
Kwaiyo hizo ndo swaga,kuvaa shati na viatu over size ndo swaga!?
Basi kama ni Swaga Blaza K anavaa shati over size kama nyinyi kuchekesha watu kwenye comedy ya Star tv.

Kumbuka Star tv & Radio free ni vyombo vya habari vinavyorusha matangazo yake Tanzania nzima na baadhi ya nchi za jirani,je nyinyi AR mna kipi cha kujivunia kama watu wa jiji la Mwanza kwenye tasnia ya vyombo vya habari?
 
Hayo majina yenu tu huyu mapanki huyu mwingine anaitwa nawatafuna😂😂
 
Huyu mwingine anasema dar mwanza bukoba ndio route inayoongoza Kwa ndege😀😀
 
Bila kua na biasness, kwa mizania karibia zote, Mwanza ni bora kuliko Arusha(ukiachilia Utalii na Ofisi kadhaa za Kimataifa), Mwanza iko juu ya Arusha.
 
Bila kua na biasness, kwa mizania karibia zote, Mwanza ni bora kuliko Arusha(ukiachilia Utalii na Ofisi kadhaa za Kimataifa), Mwanza iko juu ya Arusha.
Kwahio mlichoizidi arusha nnini mkuu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…