Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Bado unakwepa jambo la msingi unaniletea vitakwimu uchwara vya 2013, nimekwambia utaje ni viwanda vipi hivyo mlivyonavyo unaishia kumbwelambwela tu huna lolote, hili ni tatizo lakujifanya wajuaji lakini vichwani hamna kitu na nje ya mikoa yenu hamjui chochote zaidi ya kuamini Mwanza wanaishi watu washamba na masikini kumbe hamjui nje ya neno mwanza kama jiji kuna wilaya zake pia ambazo ndo zinazochangia umasikini huo zikijumuishwa.

kiufupi huko kaskazini anayeheshimika ni mchagga tu sababu ya biashara na kidogo wapare wamesomasoma pia na wala siyo murangi,muarusha,mwiraki, mmeru au mmasai tukitoboa sana ni matour guide au tunatorosha madini ya tanzanite hawa ni kundi moja tu na wasukuma ambao ni wakulima na magwiji wa biashara ya dhahabu hivyo hatuchekani.
 
Umejibu vyema
Arusha ilinyanganywa hadhi ya Jiji 2005 Na hiyo ni kutokana Na mvutano baina ya halmashauri ya arusha dc, meru Na arusha manispaa wakati huo hizo halmashauri zingine walikataa kumega baadhi ya maeneo Yao ili kuingizwa ndani ya manispaa ili kuipatia hadhi ya Jiji Hadi baada ya sensa mwaka 2012 serikali ya Jk wakaona haina namna haiwezekani arusha yenye kmsq 93 iwe Na watu 416000 wakati ilemela ina kmsq237 ina watu 365000 tu mbeya ina kmsq 685 haina hata watu 400000 Dodoma kwenye 2500sqkm ndio kwanza ina 410000
2014 masterplans za arusha Na Mwanza ziliandaliwa Na kupitishwa kisheria arusha kuwa Na 600+sqkm kwenye halmashauri 3 za arusha cc, arusha dc Na meru dc mwanza zimebaki zile zile 422sqkm🤣🤣 subiri sensa ya mwakani tutakimbiana humu
Alafu braza usiwe mvivu wa kuchanganua mambo wewe nenda Google maps weka satellite view alafu uangalie Arusha Na hicho Kijiji chenu nan Zaidi
NB: USIJISAHAULISHE UNATOKA KWENYE MKOA MASKINI AFRIKA 😎
 
Unajikuta eti Na wewe unapajua mjin🤣🤣
Zwazwa wa ziwani tangu lini akaja mjini Na kama ulikuja ulifikia Kwa shangazi yako eti impala kwahio impala ina gorofa 10
We Taja list yako ya uko ziwani nmekuambia nitajie 10 tu yenye 10 floors mi nakupa 20😎
Mji wenyewe umepoa barabara finyu ukitoka usagara town uende Tena kisesa umeimaliza Tena hapo nimekupendelea manake kisesa iko magu usagara iko misungwi
Bongo lalaz nyie Hadi mall mnajengewa Na serikali bado occupany yake hata 80% haifiki
 

We kweli maandazi sikujua najibishana na mtu mwenye upeo mdogo namna hii.
 
Porojo tuu unaleta,weka picha tuone

Barabara gani za maana inazo Mwanza? Kuwa nyingi ni sababu ya kuwa na mitaa mingi ila quality hata wewe unajua

Kama ni airport hiyo KIA ina serve zaidi Arusha kuliko huko Kilanjaro sasa ukichanganya na ile Arusha airport nadhani unajua wapi kuko busy.

Huko Mwanza kumepoa kwa sababu Mji umejaa maskini hakuna misheni town za kufanya na si kusingizia utalii.Yaani hata Mbeya iko busy kuliko Mwanza.

Vyuo na malls hicho kijiji kikubwa cha Mwanza hakiwezi kusogeza pua kwa Arusha,ndio maana hata kale ka mall kamoja kako empty,wasukuma na mall wapi na wapi.

Ukija kwenye majengo ya ghorofa na muonekano wa Mji,Arusha inapendeza kwa sababu ina majengo marefu mengi na kila siku yanajengwa ukilinganisha na Mwanza,ina kajengo karefu kamoja na many dwarf ugly buildings

Kiufupi Mwanza inaizidi Arusha wingi wa maskini mjini na ushamba tuu
 
Kila Mji una miradi iliko mbioni,ukiambiwa onyesha dual road kama ile ya Arusha mnayo nyie?

Miundombinu ndugu yangu kila Mji itajengwa ni ishu ya wapi inaanza na wapi inafuata mf.kama ni masoko au stand arusha iko mbioni kujenga,kule hakuna ziwa hadi uzungumzie meli hapa..unaweweseka vibaya
 
Kwanza picha zinavutia,,afu sensa ya 2012 Arusha ilitumia mipaka ya Manispaa nadhani taswira halisi itapatikana kwenye sensa ya 2022

Ujue huwa nasikia raha Sana naposafiri kwenda Arusha,Dar au Dom

Ile ushawishi wa Jiji unaanzia mbali sana kiasi kwamba kila kijiji au Mji ulio karibu na Miji hiyo unaanza kukutana na maendeleo makubwa hasa makazi kama magorofa nk

Tofauti na unavyoenda Mwanza ni mpaka uingie mjini kabisa ndio unaanza kuona sura ya jiji
 
Ukigusa sekta ya viwanda unawaoneo wasukuma ndugu yangu ,wao waambie wanaongoza kwa masoko na watu
 
1. Watu wa Mwanza ni washamba compared na Arusha, yaani Arusha ni wajanja sana from way they dress na Maisha kwa ujumla.

2. Sehemu za ku chill, Arusha wapo juu, maeneo kibao na classic ya ku chill Mwanza is only Malaika na capri.

3. Wanawake wa Arusha ni very beautiful compared to Mwanza. Mademu wa mwanza not look good wapo wapo tu khaaaa....

4. Mitaa ya Mwanza mingi ipo milimani bila mpangilio. Fyuuuuuu.

Ongeza yako.......
 
Tuache ushabiki pembeni. Mwanza ni kubwa na imeendelea zaidi kuliko Arusha.

Naskia wanataka kuanzisha manispaa ya kisesa mwanza inapanuka sana
 
Washamba wapo Arusha,uvaaji gani sasahuu.ukivaa namna hii unawathibitishia watu pasinashaka wewe ni mwehu.
 
Kwa maelezo zaidi waone hapa
 
Kwa maelezo zaidi waone hapa
Tuache ushabiki pembeni. Mwanza ni kubwa na imeendelea zaidi kuliko Arusha.

Naskia wanataka kuanzisha manispaa ya kisesa mwanza inapanuka sana
Hiyo nyamagana yenyewe haijawa manispaa ndio hiyo kisesa
Acha kuota ndugu
 
Kwa maelezo zaidi waone hapa
Hiyo nyamagana yenyewe haijawa manispaa ndio hiyo kisesa
Acha kuota ndugu
Hiyo nyamagana si ndo jina la wilaya ambapo mwanza jiji ipo


Acheni kulinganisha mwanza na Arusha
 
Bangi za Arusha zinafanya watu vibaya.
Tuache utani huwezi linganisha mwanza na Arusha
 
Nyamagana peke yake inatosha kuisambaratisha Arusha yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…