Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Wew hiz takwimu unazitoa wap. Ushachukua cha Arusha tayari.

Yaan population density mnazidiwa na kagera na Kilimanjaro.

Hebu soma report hii vzr ya nbs
 
Well said mkuu Kwa vile wewe unajua
Arusha kama unatoka Nairobi 25 kms north west unaanza kukutana Na majengo mazuri same ukiwa unatoka Kia 45 east unakutana Na miji kibao tu Na vile Arusha iko Pana Sana tofauti Na Mwanza Kuna barabara 6 za kutoka mjini tofauti Na Mwanza barabara ni mbili tu tungetegemea kuanzia missungwi Hadi mjini iwe ni mji tu lakini kama unatoka shinyanga unaenda Mwanza unaweza usielewe hata kama unaenda mjini🤣 barabara ni mashimo Hadi kero mixture mapori tu unaweza ukahisi labda umepotea njia na huo Sasa ndo mji Kanda yote ya ziwa wanautegemea kila ofisi kubwa ya Kanda ipo mwanza tofauti Na kaskazini zimegawanyika nyingi ziko Tanga nyingine Moshi tulitegemea Mwanza ingekua very big city vile lake zone imebeba watu wengi but too sad it has nothing special to offer Yan kwangu Bora morogoro au mbeya kuliko Mwanza
Kuna jamaa hapa anakazania kutuma picha za busweru Yan Hadi namuonea huruma vile wamekosa exposure hawa watu sehemu Arusha unaweza linganisha Na uswahilini au Kwa dar hata tabata haiingii alafu ndio Kwa matajiri 🤣
Wanasikitisha Sana hawa watu
Mi nilidhani wangetakiwa wajihoji Mimi tangu nakua naambiwa Mwanza ni mji wa pili but still nothing special to offer, no beautiful skyscrapers, no massive private investments/businesses watakimbilia kukuonesha rockcity mall hotel ya maana hamna ni hiyo wamejengewa Tena hapo capripoint
In General Mwanza haijakaa kuvutia wawekezaji that's the truth mji uko very primitive Na ndo maana watakimbilia kukuonesha sgr sijui daraja la jpm ambalo kwanza linaenda Kwa mwendazake lakini ni government investments Na wamshukuru Sana HAYATI...Amna potential investor anaweza kuwekeza Mwanza Na kitu pekee wanaweza kushindana hapa ni kukuonesha uwekezaji wa serikali sjui stendi sjui soko🤣 ambazo hizo ts just the matter of time kila mji utakua nazo
Mji wenye population kama ya arusha unaviwanda vikubwa Na vinawatu mara tatu Zaidi ya Mwanza sio viwanda vyao vya sayona labda kama wamesahau Clinton alikuja Arusha Bush alikuja kwenye kiwanda cha a to z ukiwauliza wanakuambia mbona hata sisi tuna Nyanza bottling hawaelewi hata kwann kila siku wanatajwa wanaongoza Kwa umaskini sabab kama hamna investment hamna ajira working population ni ndogo sekta zilizopo ni za kipato kidogo kama uvuvi huwezi linganisha impact yake Na utalii Kwa mfano mzunguko mdogo ofisi za kimataifa chache in short Mwanza mji flani local Sana ila inawatu wengi
Mwanza watashindana kwenye public sector investments ila kwenye suala la private sector investments tumewaacha usawa wa mbingu Na ardhi 😎
 
Arusha akuna Ziwa,so kuna mambo Mwanza yapo ila Arusha akuna,na kuna mambo Arusha yapo na Mwanza yapo.

Mpaka hapo tu Arusha mshapigwa fimbo nyingi sana na Mwanza.
Hoteli za ufukweni Mwanza utazipata ila Arusha uwezi pata.

Kutokana na janga la Covid-19 hoteli za Arusha kwasasa ni mabweni ya wanafunzi,Arusha imetikiswa sana na Covid kwasababu ni mji unaotegemewa zaidi na watalii,wakati hoteli za Mwanza bado angalau zinapokea wageni wa nchi za jirani kama Rwanda,Congo,South Sudan,Uganda,Kenya kwa wingi sana kufanya biashara ya mazao,madini,Bondo za Sangara,Samaki,madini n,k.
 
Hotel moja ya ngurdo uliyoisikia🤣 Sasa kama hujui ile Hotel mmiliki wake amefariki Na wanafamilia wakaamua sehemu ya hoteli ile ambayo milele Na milele Mwanza haiwezi kuwa nayo itumike kama hostel
Hotuba ya mama umeiskia lakini utalii ni kipaumbele pili utalii wa mikutano kama nawaona watoto wa iliyokuwa Kanda pendwa mimacho ilivowatoka alafu covid T's atemporary ishu mlivo na uzwazwa mnataka eti iendelee ili Arusha isistawi mmesahau kabisa arusha Niya tatu Kwa viwanda vingi...soko la Tanzanite duniani Na kiwanda pekee cha kuchakata Tanzanite mmejisahaulisha arusha ni makao makuu ya afrika mashariki yenye staff Zaidi ya 500 mahakama ya afrika ofisi kibao za kimataifa
Arusha after 10 years inaenda kuwa kitu kingine
Arusha kama unatoka Nairobi 25 kms north west unaanza kukutana Na majengo mazuri same ukiwa unatoka Kia 45 east unakutana Na miji kibao tu Na vile Arusha iko Pana Sana tofauti Na Mwanza Kuna barabara 6 za kutoka mjini tofauti Na Mwanza barabara ni mbili tu tungetegemea kuanzia missungwi Hadi mjini iwe ni mji tu lakini kama unatoka shinyanga unaenda Mwanza unaweza usielewe hata kama unaenda mjini🤣 barabara ni mashimo Hadi kero mixture mapori tu unaweza ukahisi labda umepotea njia na huo Sasa ndo mji Kanda yote ya ziwa wanautegemea kila ofisi kubwa ya Kanda ipo mwanza tofauti Na kaskazini zimegawanyika nyingi ziko Tanga nyingine Moshi tulitegemea Mwanza ingekua very big city vile lake zone imebeba watu wengi but too sad it has nothing special to offer Yan kwangu Bora morogoro au mbeya kuliko Mwanza
Kuna jamaa hapa anakazania kutuma picha za busweru Yan Hadi namuonea huruma vile wamekosa exposure hawa watu sehemu Arusha unaweza linganisha Na uswahilini au Kwa dar hata tabata haiingii alafu ndio Kwa matajiri 🤣
Wanasikitisha Sana hawa watu
Mi nilidhani wangetakiwa wajihoji Mimi tangu nakua naambiwa Mwanza ni mji wa pili but still nothing special to offer, no beautiful skyscrapers, no massive private investments/businesses watakimbilia kukuonesha rockcity mall hotel ya maana hamna ni hiyo wamejengewa Tena hapo capripoint
In General Mwanza haijakaa kuvutia wawekezaji that's the truth mji uko very primitive Na ndo maana watakimbilia kukuonesha sgr sijui daraja la jpm ambalo kwanza linaenda Kwa mwendazake lakini ni government investments Na wamshukuru Sana HAYATI...Amna potential investor anaweza kuwekeza Mwanza Na kitu pekee wanaweza kushindana hapa ni kukuonesha uwekezaji wa serikali sjui stendi sjui soko🤣 ambazo hizo ts just the matter of time kila mji utakua nazo
Mji wenye population kama ya arusha unaviwanda vikubwa Na vinawatu mara tatu Zaidi ya Mwanza sio viwanda vyao vya sayona labda kama wamesahau Clinton alikuja Arusha Bush alikuja kwenye kiwanda cha a to z ukiwauliza wanakuambia mbona hata sisi tuna Nyanza bottling hawaelewi hata kwann kila siku wanatajwa wanaongoza Kwa umaskini sabab kama hamna investment hamna ajira working population ni ndogo sekta zilizopo ni za kipato kidogo kama uvuvi huwezi linganisha impact yake Na utalii Kwa mfano mzunguko mdogo ofisi za kimataifa chache in short Mwanza mji flani local Sana ila inawatu wengi
Mwanza watashindana kwenye public sector investments ila kwenye suala la private sector investments tumewaacha usawa wa mbingu Na ardhi 😎
 
Hakika umeongea point kubwa sana ata wao wanajua Mwanza ni zaid tena mara dufu kuliko Arusha, najiuliza kwann hawa watu wa Arusha wanapenda kujilinganisha na Mwanza wakati gap kati ya Mwanza na arusha ni kubwa mnoo.Arusha size yake ni Tanga.
 
Uwekezaji wa serikali tu na private sector kwenye usafiri wa maji ni trillions sio billions.
 
Wivu utawaua nyie Mwanza jiji toka mwaka 2000, Arusha imepewa hadhi ya jiji 2012 tena kisiasa tu then unaleta utumbo tu hapa nyie kwel haziwatoshi kichwani
 
Arusha migomba ni mingi kuliko watu, nipo hapa Mrina na watoto wa Kimeru tu..
Una hela ya kuspend arusha wewe
Nyie ndo wale mnakosa sehemu ya kufikia mnafikia kwa shangazi🤣🤣
Watu Wana tag sehemu za maana we inasema uko MRINA
Yani unaenda mrina mkuu ni kama mtu aende dar afikie buguruni malapa😎
Umetoka ziwani na ugwadu huko unafikia breki ya kwanza mrina Kwa Malaya wa 3000 kweli
Ni bora ungepiga puchu kuliko kwenda mrina apo ni ukimwi tu umefata😥
 
Mkuu mimi naishi na kufanya kazi Arusha. Naishi Njiro, Lemara mwisho wa Hiace.... Naijua Arusha vizuri tu....
 
Wewe jama ni fala sana
 
Mkuu mimi naishi na kufanya kazi Arusha. Naishi Njiro, Lemara mwisho wa Hiace.... Naijua Arusha vizuri tu....
🤣🤣🤣Na kutoka kote ziwani umefkia lemara sehemu yenye barabara mbovu arusha
We unajua tu Malaya wa buku jero wa mrina na ukimwi juu😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…