Ule mradi wa Benki ya dunia ambayo mikoa 7 ilibahatika kuipata yaani Tanzania Stategic Cities Project(Arusha, Tanga, Mbeya, Dodoma, Mtwara, Kigoma na Mwanza), ni ya kujipigia chapuo kweli? Kila mji ukifanya mambo yake ikiwemo barabara, dampo za taka, stendi za mabasi na au daladala nk, hapo kipya ni nini?Kila Mji una miradi iliko mbioni,ukiambiwa onyesha dual road kama ile ya Arusha mnayo nyie?
Miundombinu ndugu yangu kila Mji itajengwa ni ishu ya wapi inaanza na wapi inafuata mf.kama ni masoko au stand arusha iko mbioni kujenga,kule hakuna ziwa hadi uzungumzie meli hapa..unaweweseka vibaya
Mmmh, Una maanisha USA RIVER kuna hayo mambo? Mbona hata Usagara, Buhongwa ambako ni nje ya Mwanza ni sawa tu na Usa river, Kimandolu, Mtumba, Nane nane, Kimara, Mbezi, Kibamba, Mbalizi, Uyole,Igawilo, Kange, Pongwe(nimeweka pembezoni mwa majiji yetu yote)!Kwanza picha zinavutia,,afu sensa ya 2012 Arusha ilitumia mipaka ya Manispaa nadhani taswira halisi itapatikana kwenye sensa ya 2022
Ujue huwa nasikia raha Sana naposafiri kwenda Arusha,Dar au Dom
Ile ushawishi wa Jiji unaanzia mbali sana kiasi kwamba kila kijiji au Mji ulio karibu na Miji hiyo unaanza kukutana na maendeleo makubwa hasa makazi kama magorofa nk
Tofauti na unavyoenda Mwanza ni mpaka uingie mjini kabisa ndio unaanza kuona sura ya jiji
Mbona hizi ni pumba?!1. Watu wa Mwanza ni washamba compared na Arusha, yaani Arusha ni wajanja sana from way they dress na Maisha kwa ujumla.
2. Sehemu za ku chill, Arusha wapo juu, maeneo kibao na classic ya ku chill Mwanza is only Malaika na capri.
3. Wanawake wa Arusha ni very beautiful compared to Mwanza. Mademu wa mwanza not look good wapo wapo tu khaaaa....
4. Mitaa ya Mwanza mingi ipo milimani bila mpangilio. Fyuuuuuu.
Ongeza yako.......
We jamaa ni mwongo sana aiseeWell said mkuu Kwa vile wewe unajua
Arusha kama unatoka Nairobi 25 kms north west unaanza kukutana Na majengo mazuri same ukiwa unatoka Kia 45 east unakutana Na miji kibao tu Na vile Arusha iko Pana Sana tofauti Na Mwanza Kuna barabara 6 za kutoka mjini tofauti Na Mwanza barabara ni mbili tu tungetegemea kuanzia missungwi Hadi mjini iwe ni mji tu lakini kama unatoka shinyanga unaenda Mwanza unaweza usielewe hata kama unaenda mjini[emoji1787] barabara ni mashimo Hadi kero mixture mapori tu unaweza ukahisi labda umepotea njia na huo Sasa ndo mji Kanda yote ya ziwa wanautegemea kila ofisi kubwa ya Kanda ipo mwanza tofauti Na kaskazini zimegawanyika nyingi ziko Tanga nyingine Moshi tulitegemea Mwanza ingekua very big city vile lake zone imebeba watu wengi but too sad it has nothing special to offer Yan kwangu Bora morogoro au mbeya kuliko Mwanza
Kuna jamaa hapa anakazania kutuma picha za busweru Yan Hadi namuonea huruma vile wamekosa exposure hawa watu sehemu Arusha unaweza linganisha Na uswahilini au Kwa dar hata tabata haiingii alafu ndio Kwa matajiri [emoji1787]
Wanasikitisha Sana hawa watu
Mi nilidhani wangetakiwa wajihoji Mimi tangu nakua naambiwa Mwanza ni mji wa pili but still nothing special to offer, no beautiful skyscrapers, no massive private investments/businesses watakimbilia kukuonesha rockcity mall hotel ya maana hamna ni hiyo wamejengewa Tena hapo capripoint
In General Mwanza haijakaa kuvutia wawekezaji that's the truth mji uko very primitive Na ndo maana watakimbilia kukuonesha sgr sijui daraja la jpm ambalo kwanza linaenda Kwa mwendazake lakini ni government investments Na wamshukuru Sana HAYATI...Amna potential investor anaweza kuwekeza Mwanza Na kitu pekee wanaweza kushindana hapa ni kukuonesha uwekezaji wa serikali sjui stendi sjui soko[emoji1787] ambazo hizo ts just the matter of time kila mji utakua nazo
Mji wenye population kama ya arusha unaviwanda vikubwa Na vinawatu mara tatu Zaidi ya Mwanza sio viwanda vyao vya sayona labda kama wamesahau Clinton alikuja Arusha Bush alikuja kwenye kiwanda cha a to z ukiwauliza wanakuambia mbona hata sisi tuna Nyanza bottling hawaelewi hata kwann kila siku wanatajwa wanaongoza Kwa umaskini sabab kama hamna investment hamna ajira working population ni ndogo sekta zilizopo ni za kipato kidogo kama uvuvi huwezi linganisha impact yake Na utalii Kwa mfano mzunguko mdogo ofisi za kimataifa chache in short Mwanza mji flani local Sana ila inawatu wengi
Mwanza watashindana kwenye public sector investments ila kwenye suala la private sector investments tumewaacha usawa wa mbingu Na ardhi [emoji41]
Mabwawa hayo unaita ziwa????? [emoji2][emoji2][emoji2]
Ni kubwa ila haijaendelea kuliko Arusha,,Arusha ina majengo marefu mengi kuliko Mwanza,ina barabara nzuri kuliko Mwanza,ina kila kitu kizuriTuache ushabiki pembeni. Mwanza ni kubwa na imeendelea zaidi kuliko Arusha.
Naskia wanataka kuanzisha manispaa ya kisesa mwanza inapanuka sana
Neiberhoods kama hizi ni nyingi sana Arusha hata wewe unajuaBusweru neighborhood mwanzaView attachment 1762759View attachment 1762760View attachment 1762761View attachment 1762762
[emoji13][emoji13][emoji13]Halafu unasikia mtu anasema watu wa mwanza maskini yeye anapanga ungalimitedView attachment 1762763View attachment 1762764View attachment 1762765View attachment 1762766View attachment 1762767
Miji mingi katitkati ni tatizo, mitaa imebana mkuuJengeni mji wenu, Katikati ya mji mijengo ya kizamani, barabara finyu Msipokua makini kahama na Geita itawapiku
Kwani hiyo picha ndio Arusha yote?Nyamagana peke yake inatosha kuisambaratisha Arusha yoteView attachment 1762782
Nimemwambia kwamba mitaa kama busweru ni mingi Sana Arusha tena kali kuliko huo upuuzi hapo.Well said mkuu Kwa vile wewe unajua
Arusha kama unatoka Nairobi 25 kms north west unaanza kukutana Na majengo mazuri same ukiwa unatoka Kia 45 east unakutana Na miji kibao tu Na vile Arusha iko Pana Sana tofauti Na Mwanza Kuna barabara 6 za kutoka mjini tofauti Na Mwanza barabara ni mbili tu tungetegemea kuanzia missungwi Hadi mjini iwe ni mji tu lakini kama unatoka shinyanga unaenda Mwanza unaweza usielewe hata kama unaenda mjini[emoji1787] barabara ni mashimo Hadi kero mixture mapori tu unaweza ukahisi labda umepotea njia na huo Sasa ndo mji Kanda yote ya ziwa wanautegemea kila ofisi kubwa ya Kanda ipo mwanza tofauti Na kaskazini zimegawanyika nyingi ziko Tanga nyingine Moshi tulitegemea Mwanza ingekua very big city vile lake zone imebeba watu wengi but too sad it has nothing special to offer Yan kwangu Bora morogoro au mbeya kuliko Mwanza
Kuna jamaa hapa anakazania kutuma picha za busweru Yan Hadi namuonea huruma vile wamekosa exposure hawa watu sehemu Arusha unaweza linganisha Na uswahilini au Kwa dar hata tabata haiingii alafu ndio Kwa matajiri [emoji1787]
Wanasikitisha Sana hawa watu
Mi nilidhani wangetakiwa wajihoji Mimi tangu nakua naambiwa Mwanza ni mji wa pili but still nothing special to offer, no beautiful skyscrapers, no massive private investments/businesses watakimbilia kukuonesha rockcity mall hotel ya maana hamna ni hiyo wamejengewa Tena hapo capripoint
In General Mwanza haijakaa kuvutia wawekezaji that's the truth mji uko very primitive Na ndo maana watakimbilia kukuonesha sgr sijui daraja la jpm ambalo kwanza linaenda Kwa mwendazake lakini ni government investments Na wamshukuru Sana HAYATI...Amna potential investor anaweza kuwekeza Mwanza Na kitu pekee wanaweza kushindana hapa ni kukuonesha uwekezaji wa serikali sjui stendi sjui soko[emoji1787] ambazo hizo ts just the matter of time kila mji utakua nazo
Mji wenye population kama ya arusha unaviwanda vikubwa Na vinawatu mara tatu Zaidi ya Mwanza sio viwanda vyao vya sayona labda kama wamesahau Clinton alikuja Arusha Bush alikuja kwenye kiwanda cha a to z ukiwauliza wanakuambia mbona hata sisi tuna Nyanza bottling hawaelewi hata kwann kila siku wanatajwa wanaongoza Kwa umaskini sabab kama hamna investment hamna ajira working population ni ndogo sekta zilizopo ni za kipato kidogo kama uvuvi huwezi linganisha impact yake Na utalii Kwa mfano mzunguko mdogo ofisi za kimataifa chache in short Mwanza mji flani local Sana ila inawatu wengi
Mwanza watashindana kwenye public sector investments ila kwenye suala la private sector investments tumewaacha usawa wa mbingu Na ardhi [emoji41]
Yaani hotel hapo ni hiyo nssf tuu hivyo vingine ni barArusha akuna Ziwa,so kuna mambo Mwanza yapo ila Arusha akuna,na kuna mambo Arusha yapo na Mwanza yapo.
Mpaka hapo tu Arusha mshapigwa fimbo nyingi sana na Mwanza.
Hoteli za ufukweni Mwanza utazipata ila Arusha uwezi pata.
Kutokana na janga la Covid-19 hoteli za Arusha kwasasa ni mabweni ya wanafunzi,Arusha imetikiswa sana na Covid kwasababu ni mji unaotegemewa zaidi na watalii,wakati hoteli za Mwanza bado angalau zinapokea wageni wa nchi za jirani kama Rwanda,Congo,South Sudan,Uganda,Kenya kwa wingi sana kufanya biashara ya mazao,madini,Bondo za Sangara,Samaki,madini n,k.
View attachment 1762821View attachment 1762824View attachment 1762826View attachment 1762828View attachment 1762829View attachment 1762830
We jamaa bwana,, mbona mawe ni mengi Sana Mwanza kuliko watu?Arusha migomba ni mingi kuliko watu, nipo hapa Mrina na watoto wa Kimeru tu..
Mwanza Mtakapokalishwa na Dom by 2025 msije mkaanza kulaumuHakika umeongea point kubwa sana ata wao wanajua Mwanza ni zaid tena mara dufu kuliko Arusha, najiuliza kwann hawa watu wa Arusha wanapenda kujilinganisha na Mwanza wakati gap kati ya Mwanza na arusha ni kubwa mnoo.Arusha size yake ni Tanga.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] moja ya sifa ya Chuga hiyo , watoto wakaliWacha nitafune wameru tu hapa.,[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji867][emoji867][emoji23][emoji23][emoji23]Una hela ya kuspend arusha wewe
Nyie ndo wale mnakosa sehemu ya kufikia mnafikia kwa shangazi[emoji1787][emoji1787]
Watu Wana tag sehemu za maana we inasema uko MRINA
Yani unaenda mrina mkuu ni kama mtu aende dar afikie buguruni malapa[emoji41]
Umetoka ziwani na ugwadu huko unafikia breki ya kwanza mrina Kwa Malaya wa 3000 kweli
Ni bora ungepiga puchu kuliko kwenda mrina apo ni ukimwi tu umefata[emoji26]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Huyu unaebishana nae ni Mkulima wa Parachichi huko Njombe. Hajawahi fika Arusha wala Mwanza....
Mbalizi huko ndio sawa na mitaa ya kwenu Mwanza ,,usiifananishe mitaa ja Chuga na hivyo vimagulio vya machingaMmmh, Una maanisha USA RIVER kuna hayo mambo? Mbona hata Usagara, Buhongwa ambako ni nje ya Mwanza ni sawa tu na Usa river, Kimandolu, Mtumba, Nane nane, Kimara, Mbezi, Kibamba, Mbalizi, Uyole,Igawilo, Kange, Pongwe(nimeweka pembezoni mwa majiji yetu yote)!
Hujui unachoongea ,mradi wa dual carriage sio huo wa TSCP bali huu ni mradi wa benki ya Dunia utaijenga hiyo barabara hadi mpaka wa holiliUle mradi wa Benki ya dunia ambayo mikoa 7 ilibahatika kuipata yaani Tanzania Stategic Cities Project(Arusha, Tanga, Mbeya, Dodoma, Mtwara, Kigoma na Mwanza), ni ya kujipigia chapuo kweli? Kila mji ukifanya mambo yake ikiwemo barabara, dampo za taka, stendi za mabasi na au daladala nk, hapo kipya ni nini?
Ukienda Tanga pale Kange kuna Stendi, sawa na Nane nane Mbeya nk