mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,526
- 3,756
Nimegundua wewe ni kilaza umeshindwa kutofautisha kati ya mwanza jiji na mkoa wa mwanza,huna unachoelewaNdio sehemu inayoongoza kwa umaskini mkuu[emoji1787][emoji1787]
Bila shaka hufahamu maana ya maendeleo
🤣🤣🤣Nimegundua wewe ni kilaza umeshindwa kutofautisha kati ya mwanza jiji na mkoa wa mwanza,huna unachoelewa
Ngoja waje wenye Kijiji chao wachezea chatu 😥Nnachochukia mwanza ni washirikina sana...... Arusha is da best
Hizi ndio takwimu pekee ambazo zimeipa Mwanza mbele ya Arusha.Ukitumia The same statistics unatafuta GDP per Capita unakuta Mwanza iko nyuma ya Arusha na Mbeya.Umaskini umaskiniUkubali ukatae lakini Mwanza ni jiji la Pili kwa ukubwa baada ya Dar es Salaam. Hizo zingine ni mbwembwe tu, ukiangalia takwimu za shirika la takwimu la taifa (NBS) utaona kuwa kuanzia 2013-2019 mara zote Mwanza imekuwa ya pili kuchangia Pato la Taifa baada ya Dar es Salaam.
Kuna watu wana akili finyu wanafikiri kuwa na jengo zuri ndo umekuwa tajiri kuliko mwenye jengo la kawaida. Ukibisha uje na takwimu zako ambazo zimetolewa na chanzo cha uhakika kinachotambuliwa na serikali.
Taarifa zangu nimezitoa chanzo cha uhakika tena cha serikali na chenye dhamana ya takwimu.
Na jinsi Arusha inavyotegemea utalii takwimu za 2020 zikitoka itakuwa imeporomoka vibaya mno.
View attachment 1767272
View attachment 1767273
View attachment 1767274
Hapo naona ndio watafurahi kuanzia leo Arusha ni jiji la pili coz hawa wana arusha wakishavuta weed wanaona arusha ndio jiji bora kuliko yote duniani.Mnavyolilia kuwa jiji la pili ,bas tufanye nyie ndo jiji la pili mna kila kitu kizuri kuzidi mwanza,nyie ni matajiri hadhi yenu ni sawa na dsm
Acha mwana mwanza waendelee kuwa nyuma yenu naona hio itapendeza zaidi
Na pia uishaur serikali wabadilishe kwenye taarifa zao zote tz nzima kua baada ya dsm arusha inafuata simple na clear
🤣🤣🤣🤣Arusha is nothing!
Bila utalii Arusha haina chochote
Maana utalii ndo umefanya kuwe na hotel kubwa Arusha na wazungu kupenda kukaa huko kutokana na hali ya hewa ya ubaridi ila tofauti na hapo is nothing. Nakumbuka kipindi Cha corona Kuna watu waliishi maisha magumu sana hasa wale waliokuwa waongoza watalii pale ngorongoro nilikuwa naona huruma kuwaona wamejichokea vby hawakujua wafanye Nini tofauti na kazi walozoea
Ila kwa upande wa mwanza Kuna fulsa nying sana za kibiashara ambapo watu hawapati shida endapo itatokea ishu inayoadhiri uchumi wa mtu mmoja mmoja maana fursa ni nyingi za kutengeneza pesa
Conclusion: Kama wewe ni mtalii,mvuta bange,au mmasai basi Arusha ni
Sehem sahihi kwako ila Kama wewe ni mtafutaji basi mwanza ni sehemu sahihi
Hawa watu ni vichwa vya panzi, sasa wamshauri mama samia afanye arusha liwe jiji la pili sasaUchambuzi bora kabisa ambao unapaswa ufungie mjadala. Lakini sababu ya vichwa vigumu vya watu wa Arusha, bado wanakuwa ving'ang'anizi ktk hoja mujarabu kama yako.
Mbona mnakazania umasikini umasikini hapa tunashindanisha jiji la Mwanza na sio mkoa wa Mwanza, wewe ni fala sana.Hizi ndio takwimu pekee ambazo zimeipa Mwanza mbele ya Arusha.Ukitumia The same statistics unatafuta GDP per Capita unakuta Mwanza iko nyuma ya Arusha na Mbeya.Umaskini umaskini
Kwa kutumia Takwimu hizi hizi Mwanza anachuana na Mbeya hii sasa ni aibu given the size of your population.Mwanza mnatuabisha
Hawa jamaa ni vichwa majiNimegundua wewe ni kilaza umeshindwa kutofautisha kati ya mwanza jiji na mkoa wa mwanza,huna unachoelewa
Hawa wazee wa weed hawatakuelewa wanaona kama mazingaombwe tu, Arusha itahitaji miaka 50 ifike level ya Mwanza.Ukubali ukatae lakini Mwanza ni jiji la Pili kwa ukubwa baada ya Dar es Salaam. Hizo zingine ni mbwembwe tu, ukiangalia takwimu za shirika la takwimu la taifa (NBS) utaona kuwa kuanzia 2013-2019 mara zote Mwanza imekuwa ya pili kuchangia Pato la Taifa baada ya Dar es Salaam.
Kuna watu wana akili finyu wanafikiri kuwa na jengo zuri ndo umekuwa tajiri kuliko mwenye jengo la kawaida. Ukibisha uje na takwimu zako ambazo zimetolewa na chanzo cha uhakika kinachotambuliwa na serikali.
Taarifa zangu nimezitoa chanzo cha uhakika tena cha serikali na chenye dhamana ya takwimu.
Na jinsi Arusha inavyotegemea utalii takwimu za 2020 zikitoka itakuwa imeporomoka vibaya mno.
View attachment 1767272
View attachment 1767273
View attachment 1767274
Kitombile umekula Kweli 🤣🤣Mbona mnakazania umasikini umasikini hapa tunashindanisha jiji la Mwanza na sio mkoa wa Mwanza, wewe ni fala sana.
Kubali kwanza kuwa Mwanza ni kubwa kuliko Arusha ndo tuje kwenye per capitaHizi ndio takwimu pekee ambazo zimeipa Mwanza mbele ya Arusha.Ukitumia The same statistics unatafuta GDP per Capita unakuta Mwanza iko nyuma ya Arusha na Mbeya.Umaskini umaskini
Kwa kutumia Takwimu hizi hizi Mwanza anachuana na Mbeya hii sasa ni aibu given the size of your population.Mwanza mnatuabisha
Na sasa hivi Stendi mpya zinajengwa, Meli kubwa zinajengwa, uwanja wa ndege unajengwa kuwa hadhi ya kimataifa miradi hii ikikamilika Mwanza itaiacha Arusha kilomita 1000 zaidi kwenye uchumi.Hawa wazee wa weed hawatakuelewa wanaona kama mazingaombwe tu, Arusha itahitaji miaka 50 ifike level ya Mwanza.
GDP ni Nini mkuuKubali kwanza kuwa Mwanza ni kubwa kuliko Arusha ndo tuje kwenye per capita
Naona unakimbilia sana kwenye per capita, unajua Arusha ni ya ngapi kwenye per capita? naenda na takwimu sitaki maneno ya blaa blaaaHizi ndio takwimu pekee ambazo zimeipa Mwanza mbele ya Arusha.Ukitumia The same statistics unatafuta GDP per Capita unakuta Mwanza iko nyuma ya Arusha na Mbeya.Umaskini umaskini
Kwa kutumia Takwimu hizi hizi Mwanza anachuana na Mbeya hii sasa ni aibu given the size of your population.Mwanza mnatuabisha
Unatetea hayo mabwawa ya Arusha kwa nguvu kubwa,hivi shughuli za kiuchumi zinazopatikana ziwa Victoria ndo unataka kulinganisha na ivyo vidimbwi vya Arusha?Kumbe unabishana Mkuu.
Ukipewa Fact kaa kwa kutulia kama hauna chakuijibu. Sasa Duluti na Momella ni maziwa wewe unasema mabwawa ni kuwa unataka kubishana au ni unaleta ununda tu Mkuu?
Bora ungesema hayo maziwa hayaunganishi nchi tatu kama Victoria hivyo hayawezi lifikia victoria hasa kiumaarufu. Ningekuona una jambo lakuongelea Mwanza yenu.
Hoteli za Mwanza tunawageni wakutosha wakati hoteli za Arusha ni mabweni ya wanafunzi.D😀😀Yaani hotel hapo ni hiyo nssf tuu hivyo vingine ni bar
Arusha maziwa madogo yana hoteli kali za ufukwe wa kutengeneza,afu mambo ya hotel Acha utaiaibisha Mwanza
Mwanza watu hawana pesa hoteli ujenge ataingia nani Mzee