Arusha wanawake wazuri!1. Watu wa Mwanza ni washamba compared na Arusha, yaani Arusha ni wajanja sana from way they dress na Maisha kwa ujumla.
2. Sehemu za ku chill, Arusha wapo juu, maeneo kibao na classic ya ku chill Mwanza is only Malaika na capri.
3. Wanawake wa Arusha ni very beautiful compared to Mwanza. Mademu wa mwanza not look good wapo wapo tu khaaaa....
4. Mitaa ya Mwanza mingi ipo milimani bila mpangilio. Fyuuuuuu.
Ongeza yako.......
Unajivunia barabara,Mwanza panajengwa sgr,barabara ni jambo rahisi kuliko sgr,nyinyi Arusha sgr mtaipata mwaka 2100.Hujui unachoongea ,mradi wa dual carriage sio huo wa TSCP bali huu ni mradi wa benki ya Dunia utaijenga hiyo barabara hadi mpaka wa holili
Barabara ya dizaini hii Mwanza mtaipata 2100
Tanga-Moshi-Arusha-Musoma sgr is loadingUnajivunia barabara,Mwanza panajengwa sgr,barabara ni jambo rahisi kuliko sgr,nyinyi Arusha sgr mtaipata mwaka 2100.
Tunawapiga mapato kila mwaka toka korona ianze kuharibu utalii, Arusha ni industrial and business City,utalii unachagiza tuu ila sio kwamba ndio kila kituTaarifa kwa macharii ya Ara:
Corona inazidi kukita mizizi haijulikani itaisha mwaka gani,utalii unaowabebaga miaka yote sasa mnahangukia kuti kavu.
Maisha ya Arusha nje ya utalii ni magumu kwa vijana wengi,hameni njooni Dar na Mwanza mpate nafuu ya maisha.
Wabheja sana nkoi.
Mbona mwanza hujaiweka hapo,haaaaaaaaNaona unakimbilia sana kwenye per capita, unajua Arusha ni ya ngapi kwenye per capita? naenda na takwimu sitaki maneno ya blaa blaaa
1. Dar es Salaam
2. Iringa
3. Mbeya
4. Kilimanjaro
5. Ruvuma
6. Arusha
Sasa kama unajisifia kwenye per capita na unaona per capita ndo utajiri wa mkoa mbona umepitwa mpaka na Ruvuma? Basi kiri mwenyewe kuwa watu wa Ruvuma ni matajiri kuliko Arusha yaani Arusha ni masikini zaidi kuliko Ruvuma.
View attachment 1767538
Fala ni wewe kwani hujui per capita ya jiji lenu nyie ni maskini wa kutupwa? Mbona wewe ulileta takwimu za mkoa? Mwanza CC(Ilemela including) 22b/7k=3.1 VS 19b/4k=4.7Mbona mnakazania umasikini umasikini hapa tunashindanisha jiji la Mwanza na sio mkoa wa Mwanza, wewe ni fala sana.
Arusha bangi nyingi sana.Hawa watu ni vichwa vya panzi, sasa wamshauri mama samia afanye arusha liwe jiji la pili sasa
π€£π€£π€£Mkoa maskini afrikaFala ni wewe kwani hujui per capita ya jiji lenu nyie ni maskini wa kutupwa? Mbona wewe ulileta takwimu za mkoa? Mwanza CC(Ilemela including) 22b/7k=3.1 VS 19b/4k=4.7
Nani maskini hapo? You will forever remain maskini tuu
Nilitaka uone kuwa kumbe Arusha nayo ni masikini mbele ya RuvumaMbona mwanza hujaiweka hapo,haaaaaaaa
Unatetea hayo mabwawa ya Arusha kwa nguvu kubwa,hivi shughuli za kiuchumi zinazopatikana ziwa Victoria ndo unataka kulinganisha na ivyo vidimbwi vya Arusha?
Pole kwa maumivu uliyopata.Punguza kukariri Mkuu itakusaidia
Katoa mlio wa Mbwa koko aliyekoswa koswa na kokotoo la Bwiruu [emoji1][emoji1][emoji1]Pole kwa maumivu uliyopata.
Mwanza ni mkoa masikini kama unavyodai lakini ni mkoa wa pili kitaifa kuchangia pato la taifa we endelea kutembelea nyota za wenzioFala ni wewe kwani hujui per capita ya jiji lenu nyie ni maskini wa kutupwa? Mbona wewe ulileta takwimu za mkoa? Mwanza CC(Ilemela including) 22b/7k=3.1 VS 19b/4k=4.7
Nani maskini hapo? You will forever remain maskini tuu
Nigeria inaongoza Afrika kwa GDP lakini inaongoza kwa idadi kubwa ya maskini na watu wake kukimbia nchi.Mwanza ni mkoa masikini kama unavyodai lakini ni mkoa wa pili kitaifa kuchangia pato la taifa we endelea kutembelea nyota za wenzio
We kitombile wewe wewe hiiiπ€£π€£Mwanza ni mkoa masikini kama unavyodai lakini ni mkoa wa pili kitaifa kuchangia pato la taifa we endelea kutembelea nyota za wenzio
Ngoja niwasaidie hawa yani mapato ya arusha ukichanganya mikoa yote ya kanda ya ziwa bado haifikii arusha alafu Ona sisi tulivo Na population ndogo hawa ndugu zetu tunawabeba Sana hawaelewi tuπ₯ yani tungekua Na utawala wa majimbo arusha ingekua ulaya nyingine πNigeria inaongoza Afrika kwa GDP lakini inaongoza kwa idadi kubwa ya maskini na watu wake kukimbia nchi.
Na mnavyozaliana kwa kasi basi mtabakia maskini mazima .
Spika amewashauri muache kuezeka nyumba kwa masufuria
Jamaa unahangaika na mwanza dah πππNgoja niwasaidie hawa yani mapato ya arusha ukichanganya mikoa yote ya kanda ya ziwa bado haifikii arusha alafu Ona sisi tulivo Na population ndogo hawa ndugu zetu tunawabeba Sana hawaelewi tuπ₯ yani tungekua Na utawala wa majimbo arusha ingekua ulaya nyingine π
View attachment 1770410
π€£π€£ Basi tuishi humu Kwa mara ya mwishoJamaa unahangaika na mwanza dah πππ
Mara umasikin ,mara barabara mbovu,wazaliana sana na utopolo mwingine
Nyie si jiji la pili tumekubaliana
Basi tuishi humo