Myfancyface
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 948
- 900
Mimi kama wewe.....A town ni A town. Mwanza sikuielewa. Nilijaribu kwa uwezo wangu kuwa positive....sehemu za kula, mji...Arusha walioita half london au Geneva ya Africa hawakukosea ...Mimi Mwanza tofauti na yale mawe sijui inazidi nini Arusha
Yule ni mtani wa wasukuma, hujui kuwa yule ni mgogo.Nigeria inaongoza Afrika kwa GDP lakini inaongoza kwa idadi kubwa ya maskini na watu wake kukimbia nchi.
Na mnavyozaliana kwa kasi basi mtabakia maskini mazima .
Spika amewashauri muache kuezeka nyumba kwa masufuria
Macho yako yanamakengeza sio bure utakuta unaona kinyume kitu kibaya unakiona kizuri na kizuri unakiona kibaya, nimeishi Arusha rafiki yangu huwezi kunidanganya na kwa chochote, tena mnapenda kujikuza kwa kujilinganisha na Mwanza kiukweli size yenu ni Tanga ata mbeya hamuiwezi.Mimi kama wewe.....A town ni A town. Mwanza sikuielewa. Nilijaribu kwa uwezo wangu kuwa positive....sehemu za kula, mji...
Hayo ni mapato ya ndani kijana na sio ya serikali kuu ndio maana hapo wamekuandikia domestic kuwa mwelewa punguza muemko kiongozi.
Kweli jombaa wewe mshamba asee. Hebu leta wewe hayo mapato yako ya serikali kuu. 😂Hayo ni mapato ya ndani kijana na sio ya serikali kuu ndio maana hapo wamekuandikia domestic kuwa mwelewa punguza muemko kiongozi.
Sawa mwenye macho yasiyo kengeza.Macho yako yanamakengeza sio bure utakuta unaona kinyume kitu kibaya unakiona kizuri na kizuri unakiona kibaya, nimeishi Arusha rafiki yangu huwezi kunidanganya na kwa chochote, tena mnapenda kujikuza kwa kujilinganisha na Mwanza kiukweli size yenu ni Tanga ata mbeya hamuiwezi.
🤣🤣 Kitombile hajui kuwa mapato ya ndani ni ya tra na ya nje ni kutoka nchi wahisaniKweli jombaa wewe mshamba asee. Hebu leta wewe hayo mapato yako ya serikali kuu. 😂
Hajui kitu huyo mkuu achana naeNimegundua wewe ni kilaza umeshindwa kutofautisha kati ya mwanza jiji na mkoa wa mwanza,huna unachoelewa
Kagoogle NBS utakuta huko statistics zote punguza wenge Mwanza ipo mbali mnoooo kwa arusha.Kweli jombaa wewe mshamba asee. Hebu leta wewe hayo mapato yako ya serikali kuu. 😂
Labda wewe watakuekewa nasjindwa jinsi ya kuwaekewesha waelewa.Halafu watu wa Arusha mbona wabishi hivyo, sijawahi ona watu wabishi kma nyinyi.
Yani mtu amekaa barazani kwao na kisimu chake et anaanza kubishana na takwimu za serikali, yani dunia inajua kuwa baada ya Dar ni Mwanza af mvuta bangi mmoja anakwambia Mwanza ni baada ya Arusha acheni ujinga.
Mwanza ni jiji la mda mrefu sana kuanzia miaka hiyo sasa Arusha hilo jiji kapewa lini ni ujinga mtupu.
Halafu kuna watu waasema Mwanza maskini wanasahau kuwa hapa wanalinganisha Mwanza jiji na Arusha jiji sasa unamkuta mhuni mmoja akishashindwa kwenye hoja anakimbilia Mwanza yote maskini unakaa unajiuliza sasa huyu mtu vipi tena
Mwisho takwimu za kiserikali zinasemaje baada ya Dar anafuata nani?
[emoji115][emoji115] hapa juu ndo kwenye msingi pakijibiwa kwa jinsi data zinadai basi hakuna mabishano tena
Tuletee hapa mzee dingi.Kagoogle NBS utakuta huko statistics zote punguza wenge Mwanza ipo mbali mnoooo kwa arusha.
Hawajielewi haoLabda wewe watakuekewa nasjindwa jinsi ya kuwaekewesha waelewa.
Nyie mnaojisaidia ziwani ndo mnajielewa🤣🤣Hawajielewi hao
Nyie mnaojisaidia ziwani ndo mnajielewa[emoji1787][emoji1787]
Mkoa maskini afrika [emoji41]
Baada ya dar kwa kitu gani mkuuKuna swali hapo juu Mzee
Wewe muache ndugu yangu kitombile unataka kumuaibisha hapa kwamba hajui "kugoogle"🤣🤣Tuletee hapa mzee dingi.
Baada ya dar kwa kitu gani mkuu
Kuna categories nyingi nyingi
Sababu hata dar sio kila kitu inaongoza
Mfano population au investmet au kuongoza kwa kipi haswa???
Dodoma ndio mji wenye City area kubwa Tanzania 2500+ sqkm lakn
Iringa ndio mji wenye NGO's nyingi nchini
Sasa mwanza ni ya pili kwa dar kwa kitu gani?
Najua hapa mtaniambia nyie ni wa pili kwa kuzaliana 😥 hayaaa
Kwa makusanyo arusha ni ya pili uthibitisho huu hapa tena tumewaacha mwanza usawa wa mbingu na ardhi🤣 changanya kanda ya ziwa yote hamgusi arusha
Mnaambiwa mnaongoza kwa umaskini mnasema ni mkoa wa mwanza kwahio jiji la mwanza liko shinyanga au mbeya🤣🤣
Tujiburudishe na data sio hayo magazeti yenu tukiwaambia mtupe source mnatuambia tugoogle🤣🤣View attachment 1773231View attachment 1773231
Mnya ziwani 🤣🤣🤣Bongo lala dah 😀😀😀
Hapo unakosea, Arusha DC ni tofauti na Jiji la Mwanza na Ilemela. Ilemela na Nyamagana ni Manispaa 2 ndani ya MJI wa Mwanza na siyo mkoa wa Mwanza. Wametenganisha jiji liwe Nyamagana(Mwanza CC) kama Ilala hivi majuzi kuwa ndiyo Dar es Salaam. Hivyo hiyo Arusha itafutwe sehemu nyingine ya hapo mjini kama ipo iungane lakini isiwe Arusha DC, kisha ulinganishe na Mwanza CC na Ilemela.Nimecheka wamepigwa kwenye mapato ya ndani na TRA na Arusha wako wanajitetea huko,wanasema inabidi kuunga nguvu ya Mwanza CC na Ilemela huku Arusha nao wanasema wakiunga nguvu ya Arusha DC still Mwanza wanapigwa pamoja na kuunganishwa