Wamejifungia huko juu ya mawe hawana exposure wanaamini mwanza ndio kila kitu kumbe hamna lolote.Over Swiss kijani kibiiichii mji umepangika mauwa ya kila aina ndege wa kila aina ara chugga mpo juu Mwanza huwa nashaangaa yale mawe tu.
Bila kusahau asilimia kubwa ya wakazi wa huko hawana vyoo wanajisaidia ziwani sasa siku umetembelewa na mkwe kutoka mfano awe wa kutoka kaskazini utampeleka chio cha jijiArusha hakuna jipya kabisa labda kwa ambao hawajafika
Hahaaaa hembu waulize kwa nini hawana vyooWamejifungia huko juu ya mawe hawana exposure wanaamini mwanza ndio kila kitu kumbe hamna lolote.
Wamegeuza ziwa choo....kwanza mwanza ni miongoni mwa mikoa maskini tanzania...TRA wanaonyesha mwanza inazidiwa na arusha kwa ukusanyaji wa kodi,,nashangaa wanapata wapi jeuri ya kuanzisha thread za kujilinganisha arusha!Hahaaaa hembu waulize kwa nini hawana vyoo
Uko sahihi kabisaMwanza na arusha ni vi2 viwili tofaut
Mwanza ni mji pekee unaoukimbiza dar kwa mbali
ARUSHA ni mji usiokuwa na milima ulipangwa vizuri mwanzoni, ila sasa umevurugika, hauna barabara za kutosha ndio maana husababisha misongamano ya ajabu ajabu
Kila siku tunawapiga za uso lakini hawakomi tu kujilinganisha arusha!
Mji wowote mkubwa lazima uwe na mishe mishe barabarani nyakati za asubuhi na jioni....arusha barabara zipo mpaka zinamwagika...!ARUSHA ni mji usiokuwa na milima ulipangwa vizuri mwanzoni, ila sasa umevurugika, hauna barabara za kutosha ndio maana husababisha misongamano ya ajabu ajabu
Teh teh..eti mwanza vs dar....!lack of exposure will kill you people...!Mwanza vs Dar es salaam ningeelewa!
Level ya Arusha ni Mbeya