Vijana wa Chadema wanajifanya Wajuaji lakini nimegundua hawafuatilii mambo bali Wanasubiri Mtu aweke Post ikisha wao Wanakurupuka.
Diwani anapomuekea Pingamizi diwani mwenzake, Zitto anahusikaje?...
Huyo jamaa si wa kumuamini hata chembe. Usaliti uko kwenye damu yake. Sijui kama ataacha usaliti huyu.
Atulie hiyo ndio gharama ya demokrasia ni haki yao.
Ndio maana niliwahi kuchangia mchango Fulani humu kwamba, akili zangu hazikubalii kabia kwamba Membe kajiunga upinzani, NAKATAA. Historia ya uanzishwaji wa hiki chama inajulikana; yalikua mawazo ya Jack Zoka na Jack Zoka alikua shushushu aliyekubuhu akifanyia kazi zake Ikulu ya Kikwete by that time, Membe anajulikana kwamba na yeye ni shushushu aliyekubuhu; mtu kama huyo anawezaje kuondoka kirahisi hivyo na asifanywe chochote na system? Hiki ni chama B cha ccm
Membe na ACT yake walikuwa wanafikiri Lissu atakatwa...ishakula kwao
Sasa ni wazi kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Sasa unataka wamuwekee wa C.C.M wa nini wakati yeye ameshamuwekea!
Some people are born rebels when others are born loyalists!
Hatuwezi kamwe kufanana!
Usaliti hata siku moja huwezi kuufananisha na kuwa rebel. Hujui usaliti wa huyo hadi kutaka mabandiko yake yafutwe kwa sababu yalikuwa yanamwanika hadharani jinsi alivyo msaliti.,
CDM nao si wamewawekea pingamizi ACT huko Wazo na Kunduchi? Hawa ndio wanafanya raia wawe barabarani
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye...
Hapana! Namtambua ndugu Zitto tangu kipindi cha Chacha Wangwe na Waraka kwa “Mwenyekiti”
CDM ni ccm A1CUF ni ccm C, TADEA ni ccm D, NRA ni ccm E.
Rebels
a person who rises in opposition or armed resistance against an established government or ruler.
Traitor
a person who betrays a friend, country, principle, etc.
"they see me as a traitor, a sellout to the enemy"
Jomba CDM wenyewe wamewawekea pingamizi ACT huko WAZO. kwahiyo ni mwendo kuruka na kukanyagana tuWakikujibu unitagi ila hawa jamaa ukilala nao chumba kimoja inabidi jicho moja uliache wazi siwaamini hata nukta
Huyo jacob kumuwekea Mkumbo pingamizi si inatisha kwani lazima na ACT wamuwekee pingamizi? Yeye ndo anatoaaagizo ya nani aweke pingamizi na amuwekee nani?
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye...