Young murrah
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 415
- 460
Asante bro ila Anna poa tuDah pole brother
Huwezi sema kirahisi hivyo ukiwa kwenye system...samehe songa mbele achana na anna...Mkuu now na Mimi niko kwenye system nawatafuta Sana ipo siku ila Anna time will tell Anna
Take it easy brother, poleKuna mtu anaitwa Marry, wewe ni mpumbav Sana mamake zako, mtu Gan usiejua kupendwa na imagine sijui ulianza lin kunicheat? Nakuombea mabaya mara mia moja, maumivi ulioniachia yakurudie..... Mbwa wewe usie haya
Mkuu ungemjua Dada yake Mary,, duuhh mpaka sasa alinisababisha Depression, nikitoka kazn, namkuta anaangalia movie, halafu cm iko bize, utafkiri yeye ni customer care,,, yaaaan,,, mkuu acha kabisa hiyo mambo,, ......niksema yaaan naaamanisha yaaaanLucy kiboko hujui tu wewe. Hajawahi kuonesha kuwa serious na mapenzi
Mkuu Anna ni Yuda mkuu nitamtafuta na shayo wakeHuwezi sema kirahisi hivyo ukiwa kwenye system...samehe songa mbele achana na anna...
What goes around comes around brother pole ...karma is working for herMaria kenge mkubwa ww ulinifanya nifilisi duka la anko kisa ww!!
ukaenda kuolewa kabisa yaan bora ungechepuka tuu ningevumilia!! ulinifanya kila usiku picha inanijia unavyokazwa na mumeo!!
Mamayo bora hata ulivyoachika ila naona hiyo adhabu haitoshi
Kima mkubwa ww .....kafie mbali.
Watajifanya hayawahusuLaiti hawa ma x mnaowataja wakiona hizi comments wengi wataanguka kwa presha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
[emoji23]Frank nyauuu ww popote ulipo ndo maana huko ulikokwenda uliachwaa kama kichaaa tena ukome kunitumia sms kuwa unataka turudiane ngederee ww
Ahsante brotherBrother pole sana ..
[emoji23][emoji23]Kutokana na utafiti wa TWAWEZA wa thread hii, nimebaini:
1. Majina mengi ni ya kinyamwezi (kizungu)
2. Majina asilimia 99.9 ni ya kikristo.
3. Kuna majina ambayo ni vizuri uyaweke kwenye blacklist ukiwa unatafuta mwenza. E.g. Jackline, Lucy, Mary, etc.
4. Maumivu ya mapenzi hayafutiki, bali yanapungua.
5. Mtu akikuambia amekusamehe baada ya kumsaliti, ni anakudanganya. Usiamini pia eti anakuombea baraka.
Analysis inaendelea. Kutakuwa na hafla ya kukabidhi ripoti ikulu.
How can you proof wanaumiza wengine?Wanaonifurahisha ni wale ambao wanalaani wenzao kisa usaliti ilihali Na wao wanaendelea umiza wengine hahaaa hakunaga laana za hivo wakuu
Bora hata umewahi kusema weweJackline, this bitch was a horror story