Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Hahahaaa mleta uzi wajisumbua kumchukia lucy..chuki zako hana habari nazo[emoji12] [emoji12]
 
You are brave..wanawake wengi wanafikiria kuwa ni wanaume wote watakaowanyenyekea kwa wapendavyo wao..Mimi pia msimamo wangu ni huo huo
 
Hahahahaaa mie natafuta wa kutoa povu nimekosa...naona umeamua kuvunja ukimya kwa hisani ya JF
Nimewakilisha maana nyie tu ndo mlalamike wakati na sisi tumeguswa panapo, toa povu tu atalipata popote alipo,
 
Anitha
Aneth
Maua
Najma
Belinda
Georgina
Elizabeth
Lisa
Happy
Neema
Cynthia
Zeinabhur
Buthainar
Khauthar
Rahma

mungu anawaona niliwataja hapo juu
Shubameet....!!
 
K
arma alimtembelea
 
Sijaona jina langu popote kweli majina yetu tuko gud kwenye lavidavi tukipenda tunapenda,tukitendwa tunatenda
 
Anitha
Aneth
Maua
Najma
Belinda
Georgina
Elizabeth
Lisa
Happy
Neema
Cynthia
Zeinabhur
Buthainar
Khauthar
Rahma

mungu anawaona niliwataja hapo juu
Shubameet....!!
Hii list imekuumiza au list ya wapokea mishahara???
 
Mkuu unavyomzungumzia huyo mtu as ni mtu ninayemjua pia. Hata jina ni hilo hilo. But labda ni mfanano tu wa ki-coincidence!! Pole sana bro!
Ni noma mkuu huyu alitaka kuja mpaka Kanisani kuzuia ndoa yangu bahati nzuri washikaji wakamtaiti kabla hajangia ndani
 
Shida kwa kuwa nimeongea ukweli??Kwa upande wako wa kufikiri upo sahihi ila kiuhalisia haupo sahihi
Nanogesha story mkuu, tuko pamoja, naelewa ukizaliwa "mwanaume", hata mi nikifunguka hiyo list ni ndogo
 


ha ha hahaaa haaaaaaaa.
mkuu alikufanya uishi kama kiboko..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…