duhSalima mpaka nimekuwa kibogoyo for you
kudadre kh i hawafai hawa viumbeUlaniwe Jasmine, huyu mbwa miaka mi2 kanichomesha maindi ahadi nyingi na matumaini yeye ni bikra tumalize shule kwanza nipewe,, Kumaliza tu kaolewa na bwana mwingine saivi kaachika analia turudiane bora niwe na mbuzi cio wewe kafiri mjalaana ulaniwe
Duuuh mjomba ulidate na kijijiZuhura,Anna,Hilda,Felister,Marry mkafie mbele
Haa haa haa uliikunywa sumu ukamezea na maziwa eeeh ndio maana haukufwaaErick..... Popote ulipo moto ukuwakie..... Sio kwa maumivu Yale uliyonipa mpk nkanywa sumu daaaah...... Popote ulipo nakuchukia
Haa haa haa inno alikufuata akajua wewe ni ngariba kumbe waapi akakuchinjia kuleeInno go to hell uncircumsude baboon.
Daah nadhani mimi ni mtu ambaye nimewahi kuumizwa kuliko mtu yeyote hapa jamviniDah!sio kwa stahili hii inaonekana walioumizwa kwenye mahusiano ni wengi kuliko kawaida,how emotions are these comments?Na wengi maumivu nikama hayasahauliki.Anyway kama Mungu anasamehe nasisi tusamehe pia tuachilie mioyo yetu isiendelee kuwabeba ili tuwe salama,kibinadam sometimes ni ngumu lakin kwa neema ya Mungu inawezekana.
Mtu anayeweza kumvumilia maria ni yosefu(joseph) tuu sasa kama wewe umejitwika gunia la miba bebbaahawafai hawa wadudu bora kaachika na tamaa zake!!! anadanga danga tuu hana mbele wala nyuma... nahic kwa maumivu aliyoniachia yatabmrudia
Maria kenge mkubwa ww ulinifanya nifilisi duka la anko kisa ww!!
ukaenda kuolewa kabisa yaan bora ungechepuka tuu ningevumilia!! ulinifanya kila usiku picha inanijia unavyokazwa na mumeo!!
Mamayo bora hata ulivyoachika ila naona hiyo adhabu haitoshi
Kima mkubwa ww .....kafie mbali.
Dah ulijuaje aisee, maana hilo shenzi lilikuwa likinona tu linalowa ***** zake, nikimgusa ndio dah anatafuta mahali pa kufanyiwa kumamaeee zake...Alikuwa na maisha magumu akanifanya nimpende sana na kumsaidia ila lastly aliniletea usanii wa laana siwezi kumsahau kummaa kibuyu!!!
Hilo jina usije kumpa mwanao kamwe...
Frank nyauuu ww popote ulipo ndo maana huko ulikokwenda uliachwaa kama kichaaa tena ukome kunitumia sms kuwa unataka turudiane ngederee ww
Lakini kakukomesha kiduchuuu haa haaMshenzi sana yule mwanahayawani, sasa hivi anabaki kutangatanga na mtoto wake.. Maninaa zake!!
Haa haa haa belinda utakufa kwaajili yake hao hawamwachagi mtu salamaIrene... Amenipiga chini na mbaya zaidi kaenda kwa msela wangu wa toka utotoni..
Kumuuliza msela anadai "manzi kanikubali mwenyewe chalii" doh
Sikuwahi kuamini ningekuja kuachana nae na sikutaka kupenda tena ila sasa nampenda sana Belinda daaah kweli moyo una kiherehere..
I hope Belinda nitakufa nae.. Maombi yenu wakuu
Kuna huyu Noreen muongezee maana alichonifanya daahJanet,salma,halima,pendo,swaumu,neema,careen,maureen,sikujua,suzi,eliza,irene,cecilia,hilda....Dunia njia
Lucy ni visirani nilishawahi kuwa na mmoja miaka mitatu kutoa papuchi hataki na akikuona na mwanamke ananuna lucy watemi namkumbuka yule mke wa mwai kibakiLucy kiboko hujui tu wewe. Hajawahi kuonesha kuwa serious na mapenzi
Sasa mjomba ulikuwa unafuga chatu bila kujua anachokula ulitegemea nini kama sio kukula weweEliza popote ulipo sitokusahau popote ulipo ulipo nisaliti tulikiwa chuo kumbe umempata libaba la TRA la huko Iringa hadi nikakataa kukupa mchango wa sendoff yakoo kisa moyo unaumaa
Haa haa haa daah nimecheka sanaaAnna ulijifanya kunisaliti zaidi ya Yuda eti unaolewa na TISS Jambazi mkubwa chakubanga Ulaaniwe wewe na kizazi chako Jina lako nimeliandika mabibo hostel Ulinifanya niishi Kama Kiboko nakula mlo mmoja ili nikufirahishe ila mshenzi ulichonifanyia hadi shetani akinionea huruma nasikia umeolewa mbezi jogoo na shayo TISS alienitishia kuni kill nitakuletea chu**p**i yako
Wanawake kama ardhi hata uwakwatue vipi hawaumiiBrother unaona aise wanaume ndo wengi
Embu tafuta ule wimbo wa fm academia unaitwa anna ujisikilizie haa haaMkuu Anna ni Yuda mkuu nitamtafuta na shayo wake