Hilo ndiyo kosa kubwa la kiufundi ulilofanya, hata mtu wa dini unagegeda tuHapana mkuu. Sikutaka kuweka hilo jambo kwanza coz niliona mwenzangu mtu wa dini sana so sikutaka kumkwaza na anifikirie labda namtamani kimwili. Can you believe nilikuwa kwa miaka zaidi ya mitatu lakin sikuwahi kumtaka kimapenzi?! Sijui nilirogwa na nani mimi khaaa
Natafuta comment yako kabl ya hii mremboSijaona majina yako teh
Wasabato ni mafarisayo na walimsulubisha yesu kwa unafiki ni mabingwa mi nilikutana na msabato mmoja alinivuruga sana. Kuja stuka nikasema kmmake nilikua nimerogwa .kama mtu kenyewe kafupi sanaWangu alikuwa binti mkimya,msikifu na mcha mungu. Hizo sifa njema alizitumia kama blanket kufunika uovu wake. Hakuwa na huruma tena licha ya kuniona nadhalilika,afya yangu inanyong'onyea, maisha yangu hatarini na kuvurugika kwa mipango yangu. Nashukuru sana Mungu alininusuru nikakwepa mauti japo niliyataman baada ya kuona maisha hayawezekani bila yeye. Wasabato wamenipa somo
Hahahahaaha achana nae njoo kwangu nkuliwazeAndrew I'll be back for u, i'm not done with you yet.
Duh kuna watu wana mazito moyonwewe fidodingo,shenzi wewe,after all that you have done to me ukaona unidhalilishe mbele ya wazazi wangu na ndugu zangu/marafiki......yaani mpaka leo nikiongea nao naona kama wanaona utupu wangu,FUKC YOU again FUKC YOU.......................some people comes in our lives as a lesson,was soo young to be in sexual relationship,na una bahati nimepoa nilikua NITEMBEE/HAVE SEX WITH ALL YOUR FRIENDS NA MAPICHA NIKUTUMIE wewe FISI MAJI WE!
Pole sana ynaJohn..mpenzi wangu wa kwanza huyu nlimpendaga mno..nlitelekeza vitu muhimu kwa ajili yake..nilikua msichana mwema kwake akaja nifanyia ushenzi..na nilimuambia chozi langu haliwezi kukuacha salama..Mungu akakufundisha adabu baada ya mwanamke ulie kua nae kuzaa na mwanaume mwingine..na sasa unaona mapenzi machungu na kila siku waniomba msaamaha kwa ulichonifanyia na unaomba urudi..Go to hell stupid!!
Hawa mabinti wanaojidai wameshika sana dini kuweni nao makini. Mara nyingi dini ni kama cover up lakin wakitoa makucha ni balaa.Wangu alikuwa binti mkimya,msikifu na mcha mungu. Hizo sifa njema alizitumia kama blanket kufunika uovu wake. Hakuwa na huruma tena licha ya kuniona nadhalilika,afya yangu inanyong'onyea, maisha yangu hatarini na kuvurugika kwa mipango yangu. Nashukuru sana Mungu alininusuru nikakwepa mauti japo niliyataman baada ya kuona maisha hayawezekani bila yeye. Wasabato wamenipa somo
Hahahah me bado naandaa list yanguNatafuta comment yako kabl ya hii mrembo
Pampula aka chapombe!!haahha huwa namkumbuka sana na alianza nitongoza yeye ndo akaja pampula wangu!bas kumfaham pampula nikaanza nyoooooooooddddddddo !sipend kukumbuka nilivyokuwa namdharau !naumia ! yupo kwenye kampuni ya minara !Engineer !siwez mtafuta !ila anisamehe tu ! na marafiki nao walinipoteza dadek
Duuh pole mkuu au kuna kaukweli kuhusu wasabato nini maana nami nilikua na huyo kaka wa kisabato ni mstaarabu aisee ila sijui tu akaniletea visavisa kumbe kampata msabato mwenzie, inauma ila ndo hivo maisha lazima yaendeleeWangu alikuwa binti mkimya,msikifu na mcha mungu. Hizo sifa njema alizitumia kama blanket kufunika uovu wake. Hakuwa na huruma tena licha ya kuniona nadhalilika,afya yangu inanyong'onyea, maisha yangu hatarini na kuvurugika kwa mipango yangu. Nashukuru sana Mungu alininusuru nikakwepa mauti japo niliyataman baada ya kuona maisha hayawezekani bila yeye. Wasabato wamenipa somo
Kanunua simu kampa demu walivyoachanaa ...kampokonyaaa.Anjel tusitaniane, pumbavu mkubwa kisirani weee. Wewe ni mnaa sana. Nini kunifanya bwege, unaenda kumbwato na wengine alafu unanijia usiku eti una hamu. Nakataa nasema naumwa, eti unalia. Halafu nakomaa sikuto*** baada ya miezi miwil una mimba. Hujui aliyekupa. Nenda huko malaya weee. Ndio mana saivi we ni singo maza. Sasa rudisha. (1)simu yangu ya tachi (2) na ile sub woofer.
Nb:Zile chupi baki nazo fala wee
DoohBeatrice mungu anakuona kwàkweli sikupnd kama jini
[emoji1] [emoji1]Dooh
Frank ni rafiki yangu, msamehe shem, he is a good guy [emoji4]Wewe FRANK
Nitarudi kukupa kidonge chakooo nyauuuii wewe
Halafu anadhani Michael angetulia kwa mvua za matusi kama hizo!!!Mkuu, katika hali ya kawaida unayapromosha matusi hivi? Teh!!!
Frank wa IFM au frank ganiFrank ni rafiki yangu, msamehe shem, he is a good guy [emoji4]
Wa TIA... Basi huyo wako ni mwingineFrank wa IFM au frank gani