Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Uongo huo. Hii picha ipo mtandaoni muda mrefu sana.Niliipiga mimi hii picha
kiberiti nalo ni jina la mtu nilisomaga naye olevel
Singida kuna kijiji kinaitwa senge
kidegembasi
kumbe wapo wengi akina kiberiti,, basi mimi nilikua naliona jina la ajabu eti 😂😂😂Huyu kiberiti hata Mimi nimesoma nae chuo
Halafu kuna mdada alikuwa jirani yangu pale kino anaitwa Chausiku Magoli yaani nilikuwa nacheka sana
Iringa 1 hiyooooKinengembasi...
Iringa 1 hiyoooo