Jinsi biashara ya forex ilivyonifilisi na kuniacha na madeni

Umeandika upuuzi mtupu.
Haya upuuzi tueleze wewe forex ni nini?, inahusu nini?, kwanini watu wanaofeli wanaishia kutukana kama ninyi?, kwanini nchi jiran kama Kenya wametuzidi uelewa wa haya mambo ya mitandao kuliko sisi tunaoshinda kubishania simba+yanga.

Toa hoja sio matusi, or otherwise utakuwa huna tofauti na wajinga wengine.
Toa hoja za kitaalamu au kama hujui tuache tunaojua tuwafundishe nyie vilaza
 

Hawa wajinga wakishafeli baada ya kutapeliwa wanakuja mitandaoni kujiliza ili kupata attention ya kuwahurumia wakati huo wanajiunga walikuwa kimya, hawa ndio wanaichafua trading ionekane scam sababu ya ujinga wao.

Kuna fursa nyingi ktk trading zenye lower risk lakini ni potential vile vile, sasa mtu anapo invest in highly volatility assets bila kuwa na maarifa lazima apigwe aje kutoa vilio humu.

Mimi huwa siwaachi hawa wapuuzi wanaoichafua trading lazima niwashushie nondo wajifunze waache upuuzi
 
Exactly
 
Wewe ni mpuuzi. Hamia huko Kenya unakosema wana uelewa zaidi. Hakuna hela rahisi ya ku-download mtandaoni. Halafu kwanini msifurahie huo utajiri wenu kimyakimya hadi mtake kufundisha watu wengine wawe matajiri kama nyie? Ingekua hivyo kina Azam na Mo wangekuwa wanafundisha watu jinsi wanavyoingiza pesa. Nyie matapeli ya Forex mnakera sana. Acha kupotosha watu. Pumbav
 
Mwenzako katapeliwa wewe unakuja kuleta blah blah.

Hizo forex humu tumeanza kusikia 2013 huko mpaka leo hakuna mwana JF aliyesema amefanikiwa.....

Nyie vijana mnafikiri kila mtu MBWIGA...
 
pole sana mkuu, stori yako nmeisoma vema ila pattern nlyoinotice kwako hauna utulivu na subira, unaendeshwa sana na greedy, haukuimasta part ya emotion na ndo basic ya fx iko hapo, hz technical na fundamental ni mantiki, hata huko shamba unakotaka kukumblia ukikosa utulivu na subra utapakimbia, sema mi ni autodidact(nmejfundsha mwnywe) nliacha coz ya mtaji mdg ila ck ntarud kwny game.
 
Kuna misamiati mipya nimeipata hapa!
Ku'flipp' ni kufanyaje na 'kuchoma' ndiyo nini?
 
Itabidi nianze kuandika nyuzi za kuwafunda vijana juu ya mambo kadhaa ya kitapeli ..Hizo forex mimi nimepitia miaka 2014 huko na hata hao unawataja ni madogo wa juzi . Hao promoter hawatrade labda zile cent account , anaweka $100 inasoma $100,000 ...yule steve Mauro kelele zote za forex anaishia kuuza machapisho na kozi za online ....Punguzeni tamaa na ushamba , katika maisha ukiwa mshamba basi utaishia kutapeliwa huku umevaa suti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…