Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sure, thread ikikosa critisim haiwezi toboa ht, kwnz insider anatakiwa ajivunie maana wafuatiliaji wamekua Ni active na wengi,
Nilikua nawaza hivi yani, hawa haters naona kwa namna moja au nyingine wanachangamsha uzi piaπŸ˜‚ coz story zote nilizosoma humu sijawahi kuona watu wanakubaliana mwanzo mwisho.. challenge ni kitu cha kawaida sana kwenye maisha, BM X6 alitukanwa weee na bado hakumind akashusha ma episodes
 
INSIDER MAN
wapuuzi wa5 wasifanye watu 10,000 wakose uhondo!

Asante kwa kuamua kuimalizia story, andika yote uitupie episodes zote.

Ukikwama bando twaweza changia.
 
Hauna u smart wowote ....hiyo milion tano aliahidiwa tatu ndio akaongesewa 2 ikawa tano . Mzee watu wanahonga usifanye mchezo kama wakina harmonizer wanahonga range ....wakina musofe walihonga hadi nyumba


Punguza ushamba na ujuaji mkuu
Mjini umekuja huna krismas mbili unabishana na mimi wewe ni fool idiot
 
Episode 5 kwa wiki mkuu itakua dose nzuri tunajifunza mengi wahuni wapotezee
 
Oyoooo Uzi Uzi uziiiiiii
 
Uzi kukatika haiumi sana, kinacho uma zaidi ni ile chupi ya rangi ya pink iliyoonekana kule hotelini.... Insider hajanyandua
 
Ikienda haraka hata hao Wanaopenda kuuliza uliza maswali yasiyo na maana wanakosa muda ..ila ikikaa muda mrefu kati ya episode Moja na nyingine ndipo watu huanza kuzozana na to question everything...kwangu naona speed ya ku post uliyokuwa nayo ni nzuri na hata uongeze kidogo
Ila nadhani usijali kusoma comments za watu na kuzijibu Bali u concrete ktk kile ambacho umepanga kukifanya
 
Mkuu shusha vitu ila usikawie sana kutupa ukimnyandua iryn maana wanga watajipanga kuja kukuangasha tena ukatuacha na arosto πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
tupo jf Kwa sabb tofautitofauti,,but wengine tupo straight hatupend uongo!! Tupo na aregi na kitu inaitwa uongo..

Bila kujalisha nani anadanganywa!!
Sasa unafanya nini hapa alafu punguza kujikuta mjuaji ni vyema ukamuukiza maswali mtoa mada kuliko kujifanya unajua kuliko mtoa habari,
Kama unahisi wadanganywa pita mbali na uzi huu,
 
Sasa unafanya nini hapa alafu punguza kujikuta mjuaji ni vyema ukamuukiza maswali mtoa mada kuliko kujifanya unajua kuliko mtoa habari,
Kama unahisi wadanganywa pita mbali na uzi huu,
Tusipangiane Maisha ....then peleka upumbavu wako uko kama unapendwa kudanganywa ni wewe sio Kila mtu..nishakuambia tupo jf Kwa sabb mbalimbal.. idiot kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…