Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.

Mkuu kwa niaba na heshima ya waungwana wote tuliokuwa pamoja nawe kila hatua, nakuomba umalizie mkuu...

Wabongo wengi hawajaumbiwa uvumilivu lakini wewe kupitia stori hii katika hayo unayoyasimulia yaonesha ni mtu mvumilivu, hivyo wapuuzie wanaosema ni chai...

JamiiForums na Maxence Melo kama kuna uwezekano, wekeni functionality kwa mleta mada kuwa na uwezo wa ku-admin uzi wake ikiwemo kuban au kuhide uzi wake kwa baadhi ya watu...

JF ya sasa ina tabaka fulani la watu wenye kujawa na matusi, kauli mbaya mbaya, kujihesabia haki na wote wa namna hiyo...
 
Muhimu uwe unaandika vitu vya kweli la sivyo spana ziko palepale, hatuwezi kukuona unawadanganya watu eti kwa sababu tu waburudike ikiwa mwenyewe umesema ni story ya kweli. Ukidanganya matukio tutaendelea kukusakama maana ndio kazi yetu kurekebisha tabia. Mtu mzima kudanganywa tena na mtu hata humjui ni ujinga.
 
Ana

Anapenda kunywesha watu chai hataki wahoji kwann imezidi sukari ha aha haaa...!!na mitanzania inapenda Sana kudanganywa thus why kile chama kinatawala milele
Mkuu hawa misukule ni ngumu kuibadilisha, watu wanadanganywa ila wanakenua tu. Nimeshamwambia mtunzi azingatie matukio yawe na uhalisia au aweke wazi mapema tu kuwa ni story ya uongo. Haiwezekani watu na pumbu zetu tukae chini tusome uongo unaodaiwa ni kweli.
 
Shusha vitu achana na hao wasengelema wachache wasio na exposure na kukatia mauno maisha ya watu.
 
Tusipangiane Maisha ....then peleka upumbavu wako uko kama unapendwa kudanganywa ni wewe sio Kila mtu..nishakuambia tupo jf Kwa sabb mbalimbal.. idiot kabisa
Nashukuru wewe mwerevu, ila tahadhari siyo kila mtu anafaa kutukanwa ndg kuwa makini na zingatia hilo
 
OYA KAMA UNAONA NI UONGO SI UPITE KUSHOTO MTOTO WA KIUME UNATOA WAPI TABIA ZA KIKE
 
Tena wasichezee kabisa kuleta story za uongo hapa, matukio ya uongo halafu watu wanakenua tu. Mimi nitakuwepo kutwa nzima hapa kuhakikisha jamaa haleti uongo wake hapa.
Hamisi kilo tuliza mshono mtu mwenyewe umepaukiana kama kitumbua cha stendi

Au ndio njia ya kutafuta mabwana..,

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Woyooooooooo
 
Mkuu! Hapo twende na option 1 (andika na utupostie episodes zote)
 
Episodes tatu ndani ya wiki itakuwa poa..
 
Tena wasichezee kabisa kuleta story za uongo hapa, matukio ya uongo halafu watu wanakenua tu. Mimi nitakuwepo kutwa nzima hapa kuhakikisha jamaa haleti uongo wake hapa.
Acha uboya basi uende peponi fala wewe
 
Sikuwahi kujua kama unaweza kumuignore mtu. Leo nimeignore waktusha. Watu wanakera mno. Ila hongera bro Insider man kwa kuendelea. Just ignore them bro.
 
Sasa unatakiwa uniombe kama wenzio walivyokuja pm kuniomba niache jamaa aendelee na story, bila ya kuniomba nitaendelea kuwatetea walaji wa humu jf wasiokuwa na uwezo wa kusema.
Hebu tutajie walaji waliokuomba uwatete kuwa hii ni chai, unajua ni kiasi gani watu husoma hii story hata kama ni fiction. Kwani ungekaa kimya ungepunguziwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…