Kabila gn wew mkuu, mbn vitu vya kawaida San hv na very enjoyableKuishi kama inside inahitaji mtu jinsi alivoumbwa na haya yake usoni , kiufupi ni kipaji ndio amejaaliwa ni wengi humu wanaume hatuwezi , kiufupi jamaa ni mtu wa kujichanganya ,kwa lugha lahisi ni mtu wa shobo sana ,kwa mfano mimi siwezi ingia jikoni nikaanza kupika hata kama awe mpenzi wg ,au kisa ni mteja wg nikaanza kukaanga mayai ni ngumu kabisa , yaani na ndevu zg kabisa nikaanza kujipikilisha , kwa hio shobo zinamsaidia jamaa , ni wengi humu hatuwezi
Kesho una shusha uzi mda gani mkuu πKesho nitawapa 2 mkuu, kuweni humble. Story ipo tayari ila sijaifanyia mapitio. Huku tunakokwenda sasa andaeni popcorn tu maana ni kutamu balaa.
Mobeto?Kwani ni nani asiejua kama iryn ni mobeto
Bora uweke tatu kabisa iwe kama fine kwakutoleta leo[emoji17]Kesho nitawapa 2 mkuu, kuweni humble. Story ipo tayari ila sijaifanyia mapitio. Huku tunakokwenda sasa andaeni popcorn tu maana ni kutamu balaa.
Broo watu wa humu ni mafalar sana asikuambie mtu ....usijaribu na usije ukarogwa mkuu .Kuna watu hamko serious mjue, mnaomba picha ya Iryn DM tafadhali[emoji23][emoji23]
Narudia tena watakuharibia na kukushushia heshima so dontMwisho wa story nitawapa option kwa watakaotaka kumwona Iryn kuweni humble.
Ahahahahahaha...oya imekuaje tena mzee mpaka wakapata access nae?? ππ.Mzee hiyo hapo chini ni meseji imetumwa na mwanaume kwenda kwa mtu ....alafu mwisho wa siku kaanza kutongoza yeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fwd:Ingia mtandao unaitwa www.jamiiforums.com utaona kila kitu. Aliyekuanika anatumia username: miles45.
I will handle this. Uzuri nimesha pata details zao.Ahahahahahaha...oya imekuaje tena mzee mpaka wakapata access nae?? [emoji23][emoji23].
Mi nishakueleza utalia mara 2 kesho..ona ushaanza kulialia leo hii [emoji38][emoji38]
anhaa, sawasawaKesho nitawapa 2 mkuu, kuweni humble. Story ipo tayari ila sijaifanyia mapitio. Huku tunakokwenda sasa andaeni popcorn tu maana ni kutamu balaa.
ππππnimekaa kwakutulia nikisubiriaMwisho wa story nitawapa option kwa watakaotaka kumwona Iryn kuweni humble.
Shida yako nini mrembo?
Wewe inakuhusu nn acc ya mama j .....?hv hii story mama j hana account humu kwel