Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuishi kama inside inahitaji mtu jinsi alivoumbwa na haya yake usoni , kiufupi ni kipaji ndio amejaaliwa ni wengi humu wanaume hatuwezi , kiufupi jamaa ni mtu wa kujichanganya ,kwa lugha lahisi ni mtu wa shobo sana ,kwa mfano mimi siwezi ingia jikoni nikaanza kupika hata kama awe mpenzi wg ,au kisa ni mteja wg nikaanza kukaanga mayai ni ngumu kabisa , yaani na ndevu zg kabisa nikaanza kujipikilisha , kwa hio shobo zinamsaidia jamaa , ni wengi humu hatuwezi
Kabila gn wew mkuu, mbn vitu vya kawaida San hv na very enjoyable
 
Kuna watu hamko serious mjue, mnaomba picha ya Iryn DM tafadhali[emoji23][emoji23]
Broo watu wa humu ni mafalar sana asikuambie mtu ....usijaribu na usije ukarogwa mkuu .

Wamenifanyia ujinga na kunipeperushia ndege wangu ila ndio hivyo mimi kontawa hawajaharibia wamenisumbua tu [emoji16][emoji16] ndio kwanza naenda nakula threesome
 
Mzee hiyo hapo chini ni meseji imetumwa na mwanaume kwenda kwa mtu ....alafu mwisho wa siku kaanza kutongoza yeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Fwd:Ingia mtandao unaitwa www.jamiiforums.com utaona kila kitu. Aliyekuanika anatumia username: miles45.
 
Ahahahahahaha...oya imekuaje tena mzee mpaka wakapata access nae?? 😂😂.
Mi nishakueleza utalia mara 2 kesho..ona ushaanza kulialia leo hii 😆😆
 
Ahahahahahaha...oya imekuaje tena mzee mpaka wakapata access nae?? [emoji23][emoji23].
Mi nishakueleza utalia mara 2 kesho..ona ushaanza kulialia leo hii [emoji38][emoji38]
I will handle this. Uzuri nimesha pata details zao.

But nina threesome kesho hiyo ya kwenda kupunguzia hasira
20230812_224524.jpg
 
Back
Top Bottom