RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,547
- 2,751
Kabila gn wew mkuu, mbn vitu vya kawaida San hv na very enjoyableKuishi kama inside inahitaji mtu jinsi alivoumbwa na haya yake usoni , kiufupi ni kipaji ndio amejaaliwa ni wengi humu wanaume hatuwezi , kiufupi jamaa ni mtu wa kujichanganya ,kwa lugha lahisi ni mtu wa shobo sana ,kwa mfano mimi siwezi ingia jikoni nikaanza kupika hata kama awe mpenzi wg ,au kisa ni mteja wg nikaanza kukaanga mayai ni ngumu kabisa , yaani na ndevu zg kabisa nikaanza kujipikilisha , kwa hio shobo zinamsaidia jamaa , ni wengi humu hatuwezi