Sijakueleea kuchanganta vp yaani upishi au hapo upakuaji.Umechanganya nini na nini humo ?
Insider shida yake watoto mabint za watu kuwa ma single maza sio shida zake 😂😂
Sijakuelewa hapo uliishiaHata mimi huwa nawaambia watu waisome. Upo wapi Insider na 8:38pm? 😊
Mtu asije akasema ya kwake tu 😂
Sijakuelewa hapo uliishia
😂😂😂🙌🏿🙌🏿Nimeona picha 8:38pm ndio nikauliza. Labda nikafikiri muda ulipo.
OiNa ww birian yako unauza kwa sura? Nimeuliza biashara iko wapi naona haluna jibu
Hii episode ameandika mambo mengi sana, yanaburudisha. Story ameisukuma mbela parefu sana. Toka Arusha, Dar, Zenji hadi Dar tena... Kiukweli unasoma huku ukifurahi[emoji4][emoji4][emoji4]Kati ya epsode ambazo zimeandikwa vya kutosha hii nayo imo... humu umeandika sana mkuu, ndio maana huwa sishangai unavyochukuaga muda mrefu kuleta epsode mpya... kama kuyaonea tu maneno humu umeyaonea vya kutosha kuanzia kwenye kubend na kutwist maneno kwakiasi kinachomfanya msomaji atabasamu bila kupenda plus floo isiyochosha basi imefanya ladha halisi iweze kupatikana.
KONGOLE.
Kabisa mkuu... ameisukuma sanaHii episode ameandika mambo mengi sana, yanaburudisha. Story ameisukuma mbela parefu sana. Toka Arusha, Dar, Zenji hadi Dar tena... Kiukweli unasoma huku ukifurahi[emoji4][emoji4][emoji4]
INSIDER MAN nakukubali sana kaka na hongera kwa kutuburudisha, usichoke na uzidi kutuvumilia waja wako tunapokosa uvumilivu wa kusubiri next episodes
INSIDER MAN ni muda wa kutengeneza pesa MANSijakuelewa hapo uliishia
Pole!...sote tu wapitaji tu.Tarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace.
Pole sanaTarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace. 😭
InSiDeR unatutisha mwanamke uliempenda sana🤔natumai sio iryn lakni kwamba alkufa wakati anajifungua ama??? Mmh insider sterling Hafi lakini😁👐Tarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace. 😭
Pole sana Kwa Hilo lakini🙏Tarehe ya Leo mwanamke niliyempenda sana alifariki. Rest In Peace. 😭