Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Beautiful without brain 😁maisha yangu sizalishwi bila ndoa toka usichana nakwepa na sio ndoa ili mradi ndoa yaani nikuone unafaa kuwa baba na mume hauna mambo mengi,mume wa kwanza tuliowana tukajaaliwa watoto wa 2 tukaachana alipo anza mambo ya wanawake nikasepa mume wa 2 alificha makucha kukaa nae ndani alinionesha mapicha picha nikasema sizai ng'ooo 2013 tukaachana nikasema sasa natuliza komwe langu mpaka 2021 nikaolewa na mume wa sasa tuna watoto wa 2 Alihamdulillah hapa naona kifo tena ndo kitatutenganisha mume wangu katulia hana mambo mengi kazini home baba bora na mume bora kwangu may be umri wake unachangia kashamaliza ujana.nae kuniowa kasota sanaa miaka 10 anaimba aniowe hapo nachuja nani awe mume wangu mpaka kifo 😁nilikuwa pisi kali sasa mshangazi.
Insider shida yake watoto mabint za watu kuwa ma single maza sio shida zake 😂😂
 
Attachments

  • IMG_8945.jpeg
    IMG_8945.jpeg
    402.1 KB · Views: 35
Kati ya epsode ambazo zimeandikwa vya kutosha hii nayo imo... humu umeandika sana mkuu, ndio maana huwa sishangai unavyochukuaga muda mrefu kuleta epsode mpya... kama kuyaonea tu maneno humu umeyaonea vya kutosha kuanzia kwenye kubend na kutwist maneno kwakiasi kinachomfanya msomaji atabasamu bila kupenda plus floo isiyochosha basi imefanya ladha halisi iweze kupatikana.

KONGOLE.
Hii episode ameandika mambo mengi sana, yanaburudisha. Story ameisukuma mbela parefu sana. Toka Arusha, Dar, Zenji hadi Dar tena... Kiukweli unasoma huku ukifurahi[emoji4][emoji4][emoji4]

INSIDER MAN nakukubali sana kaka na hongera kwa kutuburudisha, usichoke na uzidi kutuvumilia waja wako tunapokosa uvumilivu wa kusubiri next episodes
 
Na subiria usumbufu wa Mary

Wanaume wengi humu pia, ulalamika wanapotafutwa kwa simu kila sekunde. Mbona Prisca haukupenda tabia yake king'ang'a hata Maza alikupa warning. Na huyu Mary si damu hiyo hiyo!!! Ila kazidisha kabisaaaa..

Natumaini ulimuacha asepe zake..
 
Hii episode ameandika mambo mengi sana, yanaburudisha. Story ameisukuma mbela parefu sana. Toka Arusha, Dar, Zenji hadi Dar tena... Kiukweli unasoma huku ukifurahi[emoji4][emoji4][emoji4]

INSIDER MAN nakukubali sana kaka na hongera kwa kutuburudisha, usichoke na uzidi kutuvumilia waja wako tunapokosa uvumilivu wa kusubiri next episodes
Kabisa mkuu... ameisukuma sana
 
Ila kiukweli nilifurahia tu ile siku ulivyomtafuna Mary ila sifurahii huu ukaribu wenu wa sasa hivi ukizingatia umetoka kwenye mgogoro mkubwa na Iryn. Hata dada yako hatokusamehe katika hili. Achana na Mary ukizingatia wewe ni mzembe kwenye simu!
 
Back
Top Bottom