Jf imekua na majitu mengi ya hovyo sana, majitu vijana hayana Exposure, mashambashamba yametoka makwao huko umasikini umegandana na ngozi sasa yanadhani ulimwengu ni sawa na kule swekeni kwao. Hapa Tz kuna vijana wadogo wana pesa mingi, wanatumia na haziishi kabisa. Kuna watu wanaingia maksino huko wanamwaga milion 20 na zinaliwa na anaondoka anaenda mahala kula maisha na kesho tena anaenda. Kuna hoteli hapa mjini chumba milion na nusu na kila siku vimejaa, na hawashangai sasa mtu ushazoea kula magimbi kwenu mashambani huko unadhani dunia nzima kama kwenu. Alaf unajitutumua kueleza na kukataa vitu ambavyo huvijui. Ushamba mzigo