Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

NAONA MMEAMUA KUMTETEA BWANA WENU.

Tajiri niliobahatika kukutana nao ni wagumu Sana kwenye malipo.

Swali langu nauliza Hata kama story ni ya ukweli.

Ila kwa mtu mwenye jicho la tatu lazima ujue msimuliaji kaamua kuongeza sukari kunogesha genge.

City vingi anavyooongea havina.uhalisia na haviendani na maisha ya sasa.

Kama iryn aliweza Kubagain nae malipo mwanzoni kabisa mpaka ikawa laki 3 sidhani sass ataweza kuwa mrahisi kutoa hela ovyoovyo kwa kiasi hicho.

From no where muajemi anakupa million 3.

From no where prisca tena mwanafunzi wa chuo anakupa laki 3.

Ofa unapata wewe tu.

Hadi umemsahau mke wako.

Mzee hizi kamba zako tumegundua usitupange Sana punguza.
Wewe yanakuhusu nini?
 
Off course hata mm nimegundua hilo funika kombe mwanaharamu apite.

Vitu vingi sio uhalisia .

Yaani.mtu Ana mabiashara ya mabilion kutwa yupo kwenye Ka ist ka mshikaji.
Hili linafikirisha, millionaire bila gari zito??? Hata kama hawezi endesha/hapendi angeajiri dereva!!
Anyway shusha story tuendeleee ....😄😄
 
Jf imekua na majitu mengi ya hovyo sana, majitu vijana hayana Exposure, mashambashamba yametoka makwao huko umasikini umegandana na ngozi sasa yanadhani ulimwengu ni sawa na kule swekeni kwao. Hapa Tz kuna vijana wadogo wana pesa mingi, wanatumia na haziishi kabisa. Kuna watu wanaingia maksino huko wanamwaga milion 20 na zinaliwa na anaondoka anaenda mahala kula maisha na kesho tena anaenda. Kuna hoteli hapa mjini chumba milion na nusu na kila siku vimejaa, na hawashangai sasa mtu ushazoea kula magimbi kwenu mashambani huko unadhani dunia nzima kama kwenu. Alaf unajitutumua kueleza na kukataa vitu ambavyo huvijui. Ushamba mzigo
 
NAONA MMEAMUA KUMTETEA BWANA WENU.

Tajiri niliobahatika kukutana nao ni wagumu Sana kwenye malipo.

Swali langu nauliza Hata kama story ni ya ukweli.

Ila kwa mtu mwenye jicho la tatu lazima ujue msimuliaji kaamua kuongeza sukari kunogesha genge.

City vingi anavyooongea havina.uhalisia na haviendani na maisha ya sasa.

Kama iryn aliweza Kubagain nae malipo mwanzoni kabisa mpaka ikawa laki 3 sidhani sass ataweza kuwa mrahisi kutoa hela ovyoovyo kwa kiasi hicho.

From no where muajemi anakupa million 3.

From no where prisca tena mwanafunzi wa chuo anakupa laki 3.

Ofa unapata wewe tu.

Hadi umemsahau mke wako.

Mzee hizi kamba zako tumegundua usitupange Sana punguza.
Hii nchi ina watu wa ajabu sana so umeona uwatukane kabisa bwana wao.
 
Yap hapo umenena. Kuna watu waajabu sans humu.yaani utadhani ssio wanaume....huyu 2025DG SI was mblock?
Bora umemrudisha INSIDER MAN mchezoni maana kuna wapuuzi wanataka kumtoa mchezoni na hawa wapuuzi wapo toka enzi za Analyse wakapita pia kwenye njia za UMUGHAKA tukajakukutana nao kw BM X6 na hawakuishia hpo wakatokea kw marehemu leadermoe r.i.p huku wala si wakuwashangaa hawa na wajinga hawataisha milele so tuishi nao huku tukiendelea kuwaelimisha km hivi
 
Ni kweli maisha ni magumu kiasi cha kuona wenye nafuu kama si wenzetu. Lakini kamwe tusiruhusu hali zetu ngumu zitutie upofu, wivu, husda na chuki kwa wenye nafuu. Nafsi yenye wivu na chuki haifanikiwi kamwe. Tufungue nafsi zetu, mioyo yetu itakuwa na furaha na amani, akili zetu zitakuwa huru na kutupa fikra chanya, ambazo ndio huona fursa. TUFUNGUE NAFSI.
 
Jf imekua na majitu mengi ya hovyo sana, majitu vijana hayana Exposure, mashambashamba yametoka makwao huko umasikini umegandana na ngozi sasa yanadhani ulimwengu ni sawa na kule swekeni kwao. Hapa Tz kuna vijana wadogo wana pesa mingi, wanatumia na haziishi kabisa. Kuna watu wanaingia maksino huko wanamwaga milion 20 na zinaliwa na anaondoka anaenda mahala kula maisha na kesho tena anaenda. Kuna hoteli hapa mjini chumba milion na nusu na kila siku vimejaa, na hawashangai sasa mtu ushazoea kula magimbi kwenu mashambani huko unadhani dunia nzima kama kwenu. Alaf unajitutumua kueleza na kukataa vitu ambavyo huvijui. Ushamba mzigo
Wewe Una Exposure gani ya maana hadi muda huu ?
 
Leo nimepita eneo ambalo linahistoria kubwa sana kwenye maisha yangu.[emoji23]
IMG_1986.jpg
 
Inseder kasema anasubiri humu patulie ndiyo aendelee na story kama vipi embu wanandugu tumpe muda bila kuchangia lolote mpaka hapo atakapo kuwa na utayari huo, maana aliahidi ni leo mapema sana na mpaka sasa ni saa 12:37pm bado hajaleta muendelezo,
Nafikiri tutulie ili aweze kuja na mwendelezo lakini tukiendelea kuchangia hapa anaweza asilete mwendelezo
Hauna kazi za kufanya mkuu hadi.unasubiri story
 
Haya mambo mtu kama hayupo kwenye system ya ulaji hawezi yajua

Mimi kuna mshikaji nilifanya nae kazi mwaka 2012 tulikuwa same level economic hata mshahara

Baadae mshahara wake ukaanza kupanda na vyeo na akapata connection kuhama ofice nyingine...na hiyo ofice ina malupu lupu kibao...

Alinipiga gap la hatari...now yupo vizuri saana kiuchuni...ana gari 3 zenye thamna ya 240milion, ana ghorofa ya kuishi...ashajenga apartment yenye ghorofa Goba Goba...kwenye list ya magari imo Range

Hii inamanisha kuna mtu mambo yake yakiwa sawa au akifunguliwa na Mungu...kuhonga milioni moja /3 kwake sio issue

Na maisha yanatofautiana

Mfano mwingine

Hivi mnajua mtu anaueishi apartment zile za upanga za akina Fida Hissein analipa kodi 2,500$ Usd...kwa madafu ni kama 5.8 kwa mwezi....je mtu huyu kwa mwaka anaingiza sh ngapi?? kama kodi ya mwezi tu analipia milion 6

Kuna watu wanamaisha basi tu
Kwa hiyooo sisi wengine tuna vifoo? [emoji26][emoji26][emoji26]
 
Back
Top Bottom