MadamAchana na hao pundamilia
Ulianza vizuri kukosoa hii story tena kwa point zenye mashiko ila unapoelekea sasa ni kutafuta sifa za kijinga za kuliwaHauna kazi mkuu.
Mbona unakuwa kama maskini fulani kufuatilia story muda wote
Nakula vichwa vya kodi toka December
Umechanganya hapa kaka! Anyway mbona leo kimya? Ulituahidi mapema jumamosi.Mbona nilikwambia ujenzi uliisha na nilishapangisha pale nakula kodi toka februari mwaka huu.
Madukan zipo nyingi tu unaweza kupiga picha uko na kutuwekea hapa.. anyway ww endelea tumependa Hadith hiii..Hii ndo siku niliyokwenda kwa Mama J na pembeni utaona kuna karatasi tulikuwa tunaset password. Na hii siku nilikwend kwao ilikua jumatatu baada ya kutoka Dodoma nilikwenda kwao, nikampa simu kama zawadiView attachment 2701779
[emoji120]Nakuombea mungu mkuu
By the way unapenda kujenga ddm sna au ndio kitovu chako kipo hapa mkuu
Kaka INSIDER MAN
Kwa niaba ya wapenda/wafuatiliaji wa stori zako, nakuomba utuletee mwendelezo leo hii kama ulivyotuahidi. Kususa au kutokuileta stori kutawapa credit wapingaji wa hii stori.
Nakuomba sana ndugu yangu, historia inaonyesha hakuna kitu au mtu ambaye atakubalika na watu wote katika dunia hii, hata mitume ya Mungu ilipingwa hata Tanzania yetu sio raia wote wanaomkubali kuanzia Rais wa kwanza Mwl.Nyerere mpaka rais wa sasa Mh.Mama S.S.Hassan, hata nchi zilizoendelea pia ni hivyohivyo hakuna mtu atapendwa na jamii yote inayomzunguka wapo watakaomponda na kumpinga.
Hata Mungu mwenyewe aliyeumba binadamu na dunia wapo watu ambao wanapinga uwepo wake.
Kwahiyo ukiwa kama msomi wewe endelea na stori ili watu wajifunze kupitia stori yako.
Achana na wapingaji watatutoa kwenye reli.
Kwamfano huyu jamaa 2025DG analeta upinzani kwenye hii story halafu anasema "hajawahi kuwa na mashaka na story za UMUGHAKA na Analyse kwasababu stori zao zina uhalisia". Sipingani nae kwasababu ni mawazo yake hata mimi pia ni mmoja wa wapenzi na wafuatiliaji wa story za hao waandishi.
Lakini kiuhalisia hakuna storyteller yeyote humu Jf ambaye ameleta story yake halafu hajakutana na upinzani, hata hao aliowasema "hana mashaka nao" walitokea watu wakasema story zao ni chai na upinzani ulikuwa mkubwa lakini waliendelea na story mpaka mwisho na hii ndiyo sifa ya mwandishi kufikisha ujumbe aliokusudia kwa hadhira yake haijalishi itapokelewa vipi iwe chanya au hasi.
Kwahiyo hakuna story humu ambayo itaungwa mkono asilimia zote
Binafsi nawaheshimu storyteller wote ambao huacha muda wao na kazi zao kwaajili ya kutoa elimu,burudani,hamasa n.k kwa jamii hususani hapa JamiiForums.
amejilipua kweli. hakika anastahili msaada.Nimetamani kulia ulivyojieleza. Kila la heri mkuu
Cc FaizaFoxyStory Yako umetunga vizur sana Ina akisi uhalisia japo ni chai ...sema Ina makosa mengi ya kiufundi kama Quran.
Story Yako umetunga vizur sana Ina akisi uhalisia japo ni chai ...sema Ina makosa mengi ya kiufundi kama Quran.
Umeandika kichawa kwa lengo la kutaka.Kaka INSIDER MAN
Kwa niaba ya wapenda/wafuatiliaji wa stori zako, nakuomba utuletee mwendelezo leo hii kama ulivyotuahidi. Kususa au kutokuileta stori kutawapa credit wapingaji wa hii stori.
Nakuomba sana ndugu yangu, historia inaonyesha hakuna kitu au mtu ambaye atakubalika na watu wote katika dunia hii, hata mitume ya Mungu ilipingwa hata Tanzania yetu sio raia wote wanaomkubali kuanzia Rais wa kwanza Mwl.Nyerere mpaka rais wa sasa Mh.Mama S.S.Hassan, hata nchi zilizoendelea pia ni hivyohivyo hakuna mtu atapendwa na jamii yote inayomzunguka wapo watakaomponda na kumpinga.
Hata Mungu mwenyewe aliyeumba binadamu na dunia wapo watu ambao wanapinga uwepo wake.
Kwahiyo ukiwa kama msomi wewe endelea na stori ili watu wajifunze kupitia stori yako.
Achana na wapingaji watatutoa kwenye reli.
Kwamfano huyu jamaa 2025DG analeta upinzani kwenye hii story halafu anasema "hajawahi kuwa na mashaka na story za UMUGHAKA na Analyse kwasababu stori zao zina uhalisia". Sipingani nae kwasababu ni mawazo yake hata mimi pia ni mmoja wa wapenzi na wafuatiliaji wa story za hao waandishi.
Lakini kiuhalisia hakuna storyteller yeyote humu Jf ambaye ameleta story yake halafu hajakutana na upinzani, hata hao aliowasema "hana mashaka nao" walitokea watu wakasema story zao ni chai na upinzani ulikuwa mkubwa lakini waliendelea na story mpaka mwisho na hii ndiyo sifa ya mwandishi kufikisha ujumbe aliokusudia kwa hadhira yake haijalishi itapokelewa vipi iwe chanya au hasi.
Kwahiyo hakuna story humu ambayo itaungwa mkono asilimia zote
Binafsi nawaheshimu storyteller wote ambao huacha muda wao na kazi zao kwaajili ya kutoa elimu,burudani,hamasa n.k kwa jamii hususani hapa JamiiForums.
Tafuta kazi ya kuweka busyDah! Siamini kama toka page ya 71 hadi 81 hakuna muendelezo bali kutafuta uthibitisho kama Iryn ana hela ama la. INSIDER MAN tupatie muendelezo halafu tutachagua wenyewe kama tuendelee kubisha au tusoma story.
Acha niendelee pale ulipoishiaKipindi Cha nyuma nilikuwaga mkozoaji ktk story za watu nikapata upinzani mkubwa mno Basi nikaacha SAS HV mm nikusifiaaa tu mwanzo mwisho of which wadau hawataki ukosoe Wala kuhojihoji
So kakaa sifiaaa hta Kama unaona chai usiandike hapa utatukanwa na mtu Hadi wa namanyiree au namtumbo huko
Msaidie sasa
Acha kuharibu nyuzi za watu...Acha niendelee pale ulipoishia
Unatakan kusemaAcha kuharibu nyuzi za watu...