Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kaka INSIDER MAN
Kwa niaba ya wapenda/wafuatiliaji wa stori zako, nakuomba utuletee mwendelezo leo hii kama ulivyotuahidi. Kususa au kutokuileta stori kutawapa credit wapingaji wa hii stori.
Nakuomba sana ndugu yangu, historia inaonyesha hakuna kitu au mtu ambaye atakubalika na watu wote katika dunia hii, hata mitume ya Mungu ilipingwa hata Tanzania yetu sio raia wote wanaomkubali kuanzia Rais wa kwanza Mwl.Nyerere mpaka rais wa sasa Mh.Mama S.S.Hassan, hata nchi zilizoendelea pia ni hivyohivyo hakuna mtu atapendwa na jamii yote inayomzunguka wapo watakaomponda na kumpinga.
Hata Mungu mwenyewe aliyeumba binadamu na dunia wapo watu ambao wanapinga uwepo wake.
Kwahiyo ukiwa kama msomi wewe endelea na stori ili watu wajifunze kupitia stori yako.
Achana na wapingaji watatutoa kwenye reli.
Kwamfano huyu jamaa 2025DG analeta upinzani kwenye hii story halafu anasema "hajawahi kuwa na mashaka na story za UMUGHAKA na Analyse kwasababu stori zao zina uhalisia". Sipingani nae kwasababu ni mawazo yake hata mimi pia ni mmoja wa wapenzi na wafuatiliaji wa story za hao waandishi.
Lakini kiuhalisia hakuna storyteller yeyote humu Jf ambaye ameleta story yake halafu hajakutana na upinzani, hata hao aliowasema "hana mashaka nao" walitokea watu wakasema story zao ni chai na upinzani ulikuwa mkubwa lakini waliendelea na story mpaka mwisho na hii ndiyo sifa ya mwandishi kufikisha ujumbe aliokusudia kwa hadhira yake haijalishi itapokelewa vipi iwe chanya au hasi.
Kwahiyo hakuna story humu ambayo itaungwa mkono asilimia zote
Binafsi nawaheshimu storyteller wote ambao huacha muda wao na kazi zao kwaajili ya kutoa elimu,burudani,hamasa n.k kwa jamii hususani hapa JamiiForums.
 
Madu
Hii ndo siku niliyokwenda kwa Mama J na pembeni utaona kuna karatasi tulikuwa tunaset password. Na hii siku nilikwend kwao ilikua jumatatu baada ya kutoka Dodoma nilikwenda kwao, nikampa simu kama zawadiView attachment 2701779
Madukan zipo nyingi tu unaweza kupiga picha uko na kutuwekea hapa.. anyway ww endelea tumependa Hadith hiii..
 
[emoji120]Nakuombea mungu mkuu

By the way unapenda kujenga ddm sna au ndio kitovu chako kipo hapa mkuu

Hapana Dodoma nilipataga kiwanja wakati nafanyia kazi na Taasisi X nilipataga connection ya kiwanja na mtu nilikutana naye ndo akanipa deal la kiwanja, na kipindi kile Magufuli alikua anaijenga sana Dom nikaona acha ninunue kule so mbaya.

Kwa sasa nitajenga Dsm hapahapa mkuu, ila Dom nakiwanja kingine kipo Ihumwa.
 
Kaka INSIDER MAN
Kwa niaba ya wapenda/wafuatiliaji wa stori zako, nakuomba utuletee mwendelezo leo hii kama ulivyotuahidi. Kususa au kutokuileta stori kutawapa credit wapingaji wa hii stori.
Nakuomba sana ndugu yangu, historia inaonyesha hakuna kitu au mtu ambaye atakubalika na watu wote katika dunia hii, hata mitume ya Mungu ilipingwa hata Tanzania yetu sio raia wote wanaomkubali kuanzia Rais wa kwanza Mwl.Nyerere mpaka rais wa sasa Mh.Mama S.S.Hassan, hata nchi zilizoendelea pia ni hivyohivyo hakuna mtu atapendwa na jamii yote inayomzunguka wapo watakaomponda na kumpinga.
Hata Mungu mwenyewe aliyeumba binadamu na dunia wapo watu ambao wanapinga uwepo wake.
Kwahiyo ukiwa kama msomi wewe endelea na stori ili watu wajifunze kupitia stori yako.
Achana na wapingaji watatutoa kwenye reli.
Kwamfano huyu jamaa 2025DG analeta upinzani kwenye hii story halafu anasema "hajawahi kuwa na mashaka na story za UMUGHAKA na Analyse kwasababu stori zao zina uhalisia". Sipingani nae kwasababu ni mawazo yake hata mimi pia ni mmoja wa wapenzi na wafuatiliaji wa story za hao waandishi.
Lakini kiuhalisia hakuna storyteller yeyote humu Jf ambaye ameleta story yake halafu hajakutana na upinzani, hata hao aliowasema "hana mashaka nao" walitokea watu wakasema story zao ni chai na upinzani ulikuwa mkubwa lakini waliendelea na story mpaka mwisho na hii ndiyo sifa ya mwandishi kufikisha ujumbe aliokusudia kwa hadhira yake haijalishi itapokelewa vipi iwe chanya au hasi.
Kwahiyo hakuna story humu ambayo itaungwa mkono asilimia zote
Binafsi nawaheshimu storyteller wote ambao huacha muda wao na kazi zao kwaajili ya kutoa elimu,burudani,hamasa n.k kwa jamii hususani hapa JamiiForums.

Kaka tunaendelea msijali, nataka niwape episode 2 leo, Mwanaume kamili unaanzaje kususa?
 
Umeandika kichawa kwa lengo la kutaka.

Kuendelea kumbembeleza msimuliaji aendelee na stori.

Sipo hapa kumpinga Ila kitendo cha kusema story ni ya kwel.

Ndo kitu njnachoohoji nimeuliza maswali ya msingi hakuna hata moja nililojibiwa.

Unajua watu mnatetea ugali wenu kwa kutaka kazi ionekane nyepesi utungaji ilhali tunaona ushigongo mwingi kwenye hii stori.
 
Kipindi Cha nyuma nilikuwaga mkozoaji ktk story za watu nikapata upinzani mkubwa mno Basi nikaacha SAS HV mm nikusifiaaa tu mwanzo mwisho of which wadau hawataki ukosoe Wala kuhojihoji

So kakaa sifiaaa hta Kama unaona chai usiandike hapa utatukanwa na mtu Hadi wa namanyiree au namtumbo huko
Acha niendelee pale ulipoishia
 
Kutana na lyn au copy yake live. Wabishi endeleeni kubisha tu eti kwamba jamaa anaweka chai. Kula chuma hicho (unfathomable Beauty)

Lyn
 
Attachments

  • Screenshot_20230729-153233.png
    Screenshot_20230729-153233.png
    139.9 KB · Views: 91
  • Screenshot_20230729-153334.png
    Screenshot_20230729-153334.png
    155.5 KB · Views: 79
Back
Top Bottom