Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sisi tunafuatikia hadithi ya insider ninyi mnafuatilia maisha yake. Wanaume hamna haya nyie
 
Ungepiga picha upande wa visa zinapogongwa..wengi tuna passport pia tukiamua kuzitupia hapa..weka pages za visa zilipogongwa
 
Hapa wewe ndio unaonekana mtoto pampja na kuwa u member humu Toka enzi zile SUMAYE,LOWASSA, KINGUNGE wakiimba slogan ya Mabadiliko Lowasa... MUNGU anakosolewa kwa lipi Sasa? Na wapi huko hukosolewa??
hata haqa jf kuna nyuzi kibao zimeandlkwa za kumkosoa Mungu, zitafute utaziona.
 
Hoja yako ina mashiko mkuu, wanaopinga hii story sio wajinga na wanaikubali nao sio wajinga. Kila mmoja anaifuatilia hadithi kwa mtazamo wake, mwingine anataka tu kuburudika basi akalale ila mwingine anapima je hadithi ina uhalisia au la, kama msimualiaji alisema kuwa ni hadithi ya kweli basi lazima apate upinzani pale watu wanapoona uhalisia umepotea.
 
Shule za kata tena?
 
Hivi unapata shida gani huko moyoni juu ya hii story? Mbona ccm inakudanganya Kila siku na bado unaitikia hewala🤲.

Kama mnaona hii story inauongo Basi mtuambia ukweli ni upi.
Afu siwezi pata shida moyoni kwa mtu nisiyemjua wala kumtambua, wanangu wana chakula cha kutosha miezi mbili mbele na emergency juu,
Sema siku zote msema ukweli hapendwi watu wanapenda constant reassurance kwamba what they believe is true even if its not as long as it's their comfort zone ukikosoa tu fita mura, hilo ni tatizo kisaikolojia 'cognitive resonance' I know what I'm dealing with
 
Hii story inahamasisha watu kujiunga na uber. Kitu ambacho ni kizuri kwa kuongeza ajira na vipato. sasa wale wenye ubinafsi waliopo humo uber hawataki watu wajue waingie. Ndio chanzo cha kumshambulia mleta mada. Mleta mada angelijua hili lisingemsumbua kuwaignore hawa watu.
Mleta mada kuwakomoa watu wa aina hii wewe ungeendelea kwa nia ya kuwasaidia wengine wapate mwanga. Kusitisha ni sawa na kuwaacha wenye nia ovu washinde.
cc. INSIDER MAN
 
Vipi asiposema? Medecin atakufa? Atapungua urefu?

If you can't stand the heat, you get out of the kitchen. Mbona maisha ni rahisi mazee!
 
Hawa jamaa kumbe ni Uber wenzie, dah
 
Bro@InsiderMan,,kwel unaacha kutupa ,,historia yenye mapito na mafanikio kwa ajili ya wajinga wachache,,,,,,loh binafs utakuwa umeniumiza mno,,hii story nimeanza kusoma jana ,,,now ndo nafika kwenye utamu Halisi unaistopisha,Bro badili mawazo tafadhal,,,hapo ni dunia kuna kila aina ya watu laiti ungekuwa unamsikiliza kila. Mtu hata maisha yako usingetusua jombaaa Tafadhal endelea Ndg
 
Pole dogo achana na watu ambao hako exposed na maisha na wanadhani Kwa kuwa wao hawana Hela basi ni watu wote Kuna watu hapa mjini hawajui shida weka mambo tuendelee kujifunza binafsi hii story imenifundisha mengi
 
Sisi tunafuatikia hadithi ya insider ninyi mnafuatilia maisha yake. Wanaume hamna haya nyie
Angesema hadithi sawa lakini ye katuaminisha mwanzo ni true story ndo alipokosea, hajui kuna watu humu jf hatuna bongo nyepesi yaani hatuangalii Netflix wala hatujashikwa na series za kikorea, hivyo ukisema kitu ni true story tunafuatilia tupate la kujifunza ila ukisema ni hadithi tu pia tutafuatilia labda tutapata la kutuburudisha kama hamna tutaondoka kimyakimya.
Sio unasema true story afu unawafunga kamba watu, lazima tuloshtuka tukupopoe kwa sababu umetupotezea muda tumefuatilia true story isiyo burudisha, elimisha wala kusisimua zaidi ya kujimwambafy na kujipigia promo kwa jf's b*tchz, angetoa tangulizo this is for the ladies, maniqqa tungepita kushoto.
Bandiko lolote litalonipotezea muda kulisoma afu mwisho wa siku nigundue anatufunga kamba lazima nimpe za uso kabla ya kuacha kulisoma.
 
Hii story imenirudisha jf mkuu imalizie tu. Hao wanaosema chai achana nao hata kuandika paragraph ya kujielezea hawawezi. Tupe muendelezo wengi tunaipenda na imetufunza mengi katika harakati za haya maisha.
 
Afadhali yako Masterpiece umetuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…