Nadhani lawama na hasira zote nizielekezee kwa moderators, namshukuru aliyumpaa ban yule mbaba anajiita 2025.
Nailaumu jf haisimamii haki,hailindi watumiaji. Baadaya yule na wenzake kupigwa ban bado niliona mtu kaandika ujinga Tena nahisi
INSIDER MAN hata WhatsApp unaweza ukatupa ujuzi huu ulialoanza kutupa hapa.
Tupatie link wadau tutakuja. Ni wazo langu.
Lkn sitaacha kuilaumu jf na hata ikitaka inipe ban tu. Kuwakosa watu wastaarabu kama
INSIDER MAN na Kuna mtunzi mwingine anaitwa
UMUGHAKA yaani waandishi nyie muwastaarabu sana. Mungu awalipe mnachostahili