Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

SEMA NINI MTOA STORY WE SHUSHA VITU KUNA MACHOKO HELA YA BANDO MPAKA WAMUIBIE SHEMEJI CHENCH NDO WAJE KUSUMBUA WE FANYA KAMA UNATEMANA NAO NAO. WAKIKUA WATAACHA
 
Wapuuzi wawili watatu hawawezi kukutoa kwenye reli.

Wewe weka bandiko acha watukane wewe usiku watalala.

Watu hata sura hawakujui unawahofia Nini

Dawa ya mjinga na mtu mpumbavu ni kumpuuza.
 
Tatizo chai imezidi apunguze uongo au aseme sio story ya kweli.
Wewe utakuwa na jambo la ziada unataka ndg
Mods tunaomba mtuondolee hawa watu, please kuepusha magomvi na matusi kwenye nyuzi za watu tuondoleni watu kama hawa wapo kukwaza wengine
 
Ndugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.

Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,

Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.

Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.

Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.

Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.

Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.

Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.

ALL THE BEST
Hii Dunia unavyoona sio Kila mtu ni mtu, Kuna majini, vibwengo, mashetani na binadu Hila Kwa macho ya nyama huwezi kuona. Utagundua Kwa matendo kama hayo ya kukatishana tamaa, roho za husda. Mkuu wewe wapotezee Shusha mzigo. Uzi wako ni Bora mno hivyo Wana wivu tu ndo maana una viewer wengi. Kama mtu hataki aache kufatilia. Ukiona mtu anafatilia na kuponda ujue you're the best than them. Wivu tu huo mkuu.
 
Umeandika ujinga.
We ndo mjinga ondoa hiyo Edina isomeke Mama Mjinga, mama zima linang'ang'ana na hadithi za abunuwas si ajabu huyo mtoto umetelekezewa unatafuta fantasy za kukufariji, ma post yako yenyewe ya kipuuzi tu unaonekana unawashwa, zama pm ukunwe
 
Nakusihi tena ndugu mwandishi utakaporudi na hizo episodes zako hakikisha unaandika vitu vya kweli usitufanye watu wajinga hapa, yaani tukae tusome story tukiamini tunajifunza kumbe wewe unatudanganya hilo halitakubalika.
Wewe jamaa utakuwa wasumbuliwa na msongo wa mawazo
 
Nakusihi tena ndugu mwandishi utakaporudi na hizo episodes zako hakikisha unaandika vitu vya kweli usitufanye watu wajinga hapa, yaani tukae tusome story tukiamini tunajifunza kumbe wewe unatudanganya hilo halitakubalika.
Oya dogo hasani killo tuliza matako hayo basi mbn una jihangaisha hivo. Una shida gani?
 
Mods
Acha kususa mtoto wa kiume, kama kuna mahali unawanywesha watu chai lazima uambiwe ukweli, kuna matukio mengi umeyaongeza chumvi na nimelijua hilo kutokana na kwamba huko Dar kabla wewe hujaja chuo kusoma tayari mishe hizi za kuzunguka tumezifanya kwa hiyo ukijaribu kujaza chumvi kidogo tu sisi tunajua.

Matukio yako mengi hasa episode za mbele yamekosa uhalisia kwa sababu umeandika kwa lengo la kujionyesha kuwa wewe ni gentleman, kila demu anakutaka wewe n.k. Ingekuwa kweli usingeachwa na demu wako wa chuo. Halafu kwa nini kila siku wateja wako ni wanawake tu tena wale wenye uwezo wao? Hakuna kupindisha lugha wewe ni muongo.

Tukirudi upande wako halisi ni kuwa wewe ni kweli ni taxi driver na mitaa mingi unaijua kutokana na kazi yako ya udereva ila matukio mengi umeyapika sio halisi, madereva wengi mna laana hiyo ya kuongea uongo kisa mnakutana na watu tofautitofauti.

Anyway usiwanyime watu wako mwendelezo wa hadithi ila nakuonya acha kuandika vitu vya uongo, simulia yale matukio halisi tu bila kujaza sukari au chumvi. Lakini pia ina option ya kuwaomba radhi hadhira yako then uwambie kuwa unachanganya matukio ya kweli na uongo ili kunogesha story, kufanya hivyo sio dhambi.

Mwisho kwa wale wote wanaodhani niko hapa eti namuonea wivu mleta simulizi, acheni huo ujinga. Nimeruka na wanawake wakali Dubai na Marekani miaka hiyo kwa hiyo sina nikichoacha katika mapenzi, ninachofanya ni kuitetea hadhira ya jf wasidanganywe maana huu mtandao sio fb useme utakuja utaandika uongo halafu watu wakuchekee. Humu wako watu critical thinkers ambao kuwadanganya sio rahisi.
Mods sasa hivi wamekuwa wa hovyo Sana kiasi kwamba wanaruhusu mashoga kuaribu stories zinazoletwa hum.
 
Mdugu zangu nitamalizia hii story sababu ya heshima ya JF. Kuna watu wengi wamenitumia ujumbe na watu ambao nawaheshimu wameomba nimalizie story.

Nimegundua story inafuatiliwa na watu wengi sana mpaka sasa tuna views almost 400k ni watu wengi sana.

Nitawapa mwendelezo na huu mwezi 8 story yetu itakuwa imeisha yote.

Kitu kingine sitajibu swali lolote kwa mtu atakayeuliza, ila nitajibu maswali yote baada ya kumaliza kuandika story.

Naomba heshima iwepo kwenye uzi kusiwepo na watu kutukanana sio jambo jema sisi sote ni Watanzania japo kuna foreigners pia wanapitia huu uzi. Kwa mtu ambaye atakiuka na kuleta taharuki nitamreport kwa mods waangalie namna ya kudeal naye.

Kama unaona huwezi kwenda na hii story unaweza uka ignore huu uzi, ukaacha watu ambao wako tayari kusoma.

Nilikua naomba mfanye maamuzi nyinyi wenyewe;

1. Niandike Epsode zote then nizipost?

2. Ndani ya week niwe napost episode 3?

Option ipi kwenu itafaa?

BY INSIDER MAN
Asante sana mkuu kwa maamuzi yako, hakika umewahamasisha wengi sema kila mmoja kuja kukwambia jinsi mapambano yako yalivyomuhamasisha ni kazi.

Kwa upande wangu nnaona chaguo la pili ni zuri zaidi ila tuambie tujue katika siku zipi za juma ndio utaweka hizo episode.

Mwisho, usikubali kuvunjwa moyo na kundi dogo la watu. Hata kama hadithi ni ya uongo binafsi nnajali kuelimilimika na kuburudika.

Huwa sichangii maada yeyote humu ndani ila nimechangia leo maana hadithi ni nzuri na ina mafunzo mengi.

PLZ ENDELEA BRO.
 
Ndugu zangu wana JF kwa heshima ya watu wote humu ndani naomba kuisotisha hii story iishie hapa sitoimaliza maana inaonekana ni chai. Na mimi siwezi kupoteza muda kuandika kitu ambacho watu wanasema ni uongo.

Nina mambo na majukumu mengi ya kufanya na hakuna anayenilipa kwenye hii story, napoteza muda wangu kuwapa watu story kilichonitokea na mpaka nikaamua kuandika lakini inaonekana ni 0,

Nafikiri kila mtu aendelee na mambo yake kwa stage iliyofikia kumaliza story itakua ngumu, nafikiri tuishie hapa. Kama mtu ameshasema story ni chai kuna haja gani ya kuendelea kuandika?.

Kwa wale tuliokuwa pamoja ahsanteni kwa muda tulionza pamoja ila mimi binafsi nimeshindwa kuendelea kuandika, maana watu wanakatisha sana tamaa.

Story haijaisha hapo niko na matukio ya March, lakini mtu kashaaanza kutukana, haters wamekua wengi, lakini hii ni JF kila mtu anahaki ya kuongea. Ustaarabu mngesubiri story iishe hapo ndo muanze kujudge, maana hivi vyote nilivyoandika na ushahidi navyo kwa picha, Contracts nilizoingia nawateja zangu zote ninazo mpaka Iryn.

Story haijaisha mtu watu wameanza kukosoa anyway ndo wabongo walivyo, sinaga muda na JF ila haya matukio yalinitokea ni kweli na nilikua ndo nimeanza kuingia kwenye kiini cha story na nilikua nimepanga kuandika Epsodes 30 tu.

Wabongo tunakosa kitu kinaitwa patient hapa ndo tunafeli sana, story haijaisha hata mjue lengo la kichwa cha story lakini watu wameanza kushout. Siwezi endelea kuandika kwa style hii inakatisha tamaa, ndomana story nyingi za JF zinaishia njiani.

Wale ambao tunawasiliana PM na tumebadlishana namba tutaendelea kuwasiliana tuko pamoja, ila niseme biashara ya Uber ilinipa mafanikio sana na mpaka sasa naendelea kunufaika.

ALL THE BEST
mm naomba tuwasiliane kama kuna haja ya kulipia mm nipo tayari ndugu please
 
Back
Top Bottom